Mbaloni kwa Kukutwa na Viungo vya Binadamu Kwenye Friji
MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 28 anashikiliwa na polisi kwa mauaji mkoa wa Bono. Polisi nchini Ghana wanachunguza mauaji ya watu watatu ambayo yanaonekana kuwa mauaji ya mfululizo. Mshukiwa wa mauaji hayo alikamatwa Ijumaa katika…
