Wanigeria Wamuachia Ujumbe Mzito Sven Simba
ABDUL Maikaba, Kocha Mkuu wa Plateau United, amefichua kuwa Simba wana timu nzuri katika michuano hiyo lakini amemtaka kocha mkuu wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kuhakikisha anafanya mabadiliko ya kiufundi ikiwa anataka kufika mbali…
