Poshy Aanika Ukweli Kumfumania Mumewe
MWANAMAMA mjasiriamali mwenye umbo matata ambaye ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii Bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’, ameanika ukweli juu ya madai mazito kwamba wiki kadhaa zilizopita alimfumania mumewe ambaye ni raia wa Nigeria…
