Shinda Nyumba Awamu ya Pili… Kesho CCM Mwinjuma
DROO ya pili ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili itafanyika kesho Ijumaa katika Viwanja vya CCM Mwinjuma, Mwananyamala Kinondoni jijini Dar es Salaam. Ofisa Masoko wa Global Publishers, Yohana Mkanda, alisema jana kuwa…
