Roma Mkatoliki Awachana Wasanii wa Zamani
KUTOKA kwenye ukurasa wa Instagram anaoutumia msanii Roma Mkatoliki ame-post video akiwachana baadhi ya wasanii wa zamani kwa kusema wanawaangusha mashabiki zao pale wanapopewa kipaza sauti na kupanda jukwaani kufanya show.
…
