FOA ya Mondi, Madee na Roma watia neno
Madee au Rais wa Manzese Music na Roma Mkatoliki, wamekuwa ni watu wa kutaniana mno kiasi kwamba kama hujui ni utani unaweza ukakurupuka na kudai wana ugomvi.
Sasa; Madee na Roma wameendelea utani wao, kila mmoja akijaribu kutoa…
