Picha za Mazishi: Pumzika kwa Amani Akwilina
MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini umezikwa nyumbani kwa wazazi wake kijiji cha Olele wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro.
Akwilina leo Februari 23, 2018 saa 8:45 mchana huku…
