×

Tag: rosa ree

Ishu Ya Rosa Ree Kusainiwa Kwenye Lebo ya Rapa Rick Ross Iko Hivi…Ukweli Upo Hapa

  ROSA REE; ni rapa mkali wa kike Bongo ambaye amefunguka kuhusu ishu ya kusainiwa kwenye lebo ya rapa mkubwa...

READ MORE

Rick Ross Akubali Michano ya Rosa Ree, Ampatia Bonge la Shavu Marekani

RICK ROSS au The Boss; ni rapa wa kiwango cha Dunia wa Marekani ambaye huenda amevutiwa na kipaji cha rapa...

READ MORE

Rosa Ree Akiri Kulizwa na Mapenzi

RAPA mkali wa kike Bongo, Rosary Robert ‘Rosa Ree’ amekiri kulia kwa ajili ya mapenzi.   Akistorisha na IJUMAA SHOWBIZ,...

READ MORE

Rosa Ree Atoa Somo Kwa Wanaokata Tamaa

ROSA Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Rasary Robert ‘Rosa Ree’, amewapa somo badhi ya watu wanaokatishwa tamaa ya...

READ MORE

Rosa Ree Hataki Mazoea Na Wanawake!

RAPA Rasary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kitu ambacho kitamfanya agombane na mpenzi wake ni kuwa na mazoea na wanawake....

READ MORE

Rosa Ree Amfungulia Kesi Harmonize

MSANII wa muziki Bongo, Rosa Ree, amefunguka kuwa kesi yake dhidi ya msanii Harmonize kwa sasa ipo kwenye mikono ya...

READ MORE

RoSa Ree Alipopenya Katikati ya Msitu wa Wanaume

  BADO ile Ngoma ya Mchizi Wangu Remix iliyofanywa zaidi ya miaka kumi iliyopita pale MJ Records na Producer Marco...

READ MORE

Rosa Ree: Sina Mpango Na Kiki

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Rosery Robert ‘Rosa Ree’ ambaye anatamba na Ngoma ya Nazichanga ameeleza kuwa katika kazi yake hiyo...

READ MORE

Rosa Ree Atoa Somo la Urembo

MREMBO anayefanya Hip Hop Bongo, Rasery Roberty ‘Rosa Ree’ amesema kuwa anajiamini kwamba yeye ni mzuri, ndio maana haoni sababu...

READ MORE

Staa wa Uganda Atua Bongo Kusaka Kolabo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Uganda, Namukwaya Hajara Diana, maarufu kwa jina la ‘Spice Diana’ ametua Bongo...

READ MORE

IJUMAA SEXIEST GIRL 2019… ROSA REE OUT!

KURA zimeanza kupigwa kwa spidi ya ajabu ambapo wiki hii msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree (17), ameoneshwa mlango wa...

READ MORE

Breaking News: Rosaree Afungiwa na BASATA-VIDEO

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia msanii wa Bongofleva nchini Tanzania, Roza Ree kutojihusisha na muziki kwa miezi 6...

READ MORE

ROSa Ree Siyo Yule ‘Mungu Mwanamke’

MIONGONI mwa mabinti wenye vipaji vikubwa mno wanaofanya muziki huu wa Bongo Fleva katika kipengele cha ‘Keep It Hip Hop’...

READ MORE

Rosa Ree vs Basata Nani wa Kulaumiwa? – Video

IMEKLUWA gumzo tokea Rosaree na Timmy Tdat walipotoa ngoma yao ya VITAMIN U ambapo wengi wanalalamika kutokana na video hiyo...

READ MORE

BEHIND THE SCENE VIDEO: Rosa Ree Alipotembelea Ofisi za Global Group

 Msanii Rapper wa kike, Rosa Ree leo Juni 26, 2019 ametembelea Ofisi za Global Group zilizopo Sinza, Mori Jijini...

READ MORE

ROSA REE AMEBANA AMEACHIA , UGUMU TUPA KULE

Rosa Ree ni mmoja wa mabinti wanaokuja kwa kasi kwenye muziki wa Hip Hop barani Afrika akitokea Bongo Flevani.   ...

READ MORE

ROSA REE ATOA SIRI YA GARI LAKE

SIKU kadhaa baada ya kuanika gari aina ya BMW nyekundu, staa wa kike anayekimbiza katika Muziki wa Hip Hop Bongo,...

READ MORE

VIDEOMPYA: Rosa Ree Alivyojiachia Kwenye Club Banger ‘Dip And Whine’

  Rapa wa kike bongo Rosa Ree ameileta video ya ngoma yake mpya Dip And Whine ambayo inafanya powa katika...

READ MORE

Rosa Ree akana kuwa mgumu, hapendi kujibebisha tu!

MWANAMUZIKI wa kike wa miondoko ya Hip Hop Bongo, Rose Robert ‘Rosa Ree’ anayetamba na Wimbo wa ‘One Way’ amesema...

READ MORE

SIRI YA ROSA REE KUTOBOA NI HII

MWANAMUZIKI Rosary Robert, ambaye anafanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva na Afrika kwa sasa na Wimbo wa...

READ MORE

ROSA REE AIVURUGA SAUZI

RAPA wa kike kutoka Bongo, Rosary Robert ‘Rosa Ree’, anaendelea kuivuruga Afrika Kusini ‘Sauz’ kutokana na ‘media tour’ anayoifanya kwa...

READ MORE

Rosa Ree na Siri ya Kuzidi Kutusua

MWANADADA ambaye hivi sasa anakimbiza na wimbo wake wa Way Up, Rosary Robert ‘Rosa Ree’, ametoboa siri nyingine ya kuzidi...

READ MORE

ROSA REE AFUNGUKA MJENGO WAKE WA MILI. 400, KUMILIKI SUPERMARKET

MWANAMUZIKI wa kike anayekimbiza kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosary Robert ‘Rosa Ree’ ambaye anapenda kujiita pia...

READ MORE

Rosa Ree Aeleza Alivyomtosa FID Q

MWANAMUZIKI chipukizi anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Bongo Fleva, Rosa Ree ameeleza jinsi alivyomtosa Fid Q kwenye kolabo ya...

READ MORE

Rosa Ree: Sioni tatizo kujiachia nusu utupu

M SANII anayekuja vizuri kwenye muziki wa Hip Hop, Rose Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa hasumbuliwi na maneno ya watu...

READ MORE

Rosa Ree na Changamoto ya Kuombwa Penzi

NA ALLY KATALAMBULA | UWAZI–SHOWBIZ ROSA Ree, ni moja ya majina ya marapa wa kike ambao kwa sasa wameliteka gemu...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Itazame Studio Session Ya Rosa Ree Ndani Ya The Industry Studios- (Video)

Tunazidi kuikaribia weekend na bado nipo na wale watu wangu wenye mapenzi makubwa na Bongo Fleva.  Nilianza kwa kuileta kwako...

READ MORE

PICHAZ: Rosa Ree, Barnaba & Feza Kessy Walivyokamua Uzinduzi wa Video ya SHUGA ya Mimi Mars

Tarehe 17 Februari 2017, Club Next Door iliyopo jijini Dar es salaam ilishuhudia uwepo wa mastaa kutoka Bongo Flevani ambao...

READ MORE