CMC Automobiles Yapiga Jeki Mradi wa Madawati wa Rotary
MRADI wa kutoa madawati kwa shule za umma unaoendeshwa na klabu ya Rotary ya Dar es Salaam taongeza idadi ya madawati yanayotolewa baada ya kupata msaada wa gari jipya aina ya Renault kutoka kampuni ya uuzaji magari ya CMC ya jijini Dar…
