Mkuu wa wilaya ya Rungwe Afanya ziara Ikuti na Kukagua Miradi ya Maendeleo
Mkuu wa wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo.
Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya…
