×

Tag: singida

Singida Fontaine Gate Yawaadhibu Vinara Wa Ligi Kuu Zanzibar JKU

Klabu ya Singida Fontaine Gate imewaadhibu vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, JKU FC ya Zanzibar jumla ya magoli 4-1 katika...

READ MORE

Kipa Simba Azipambanisha Azam, Singida Azungumza na Spoti Xtra

BAADA ya mkataba wake kugota mwisho ndani ya kikosi cha Simba, kipa Beno Kakolanya ameziingiza vitani Azam FC na Singida...

READ MORE

DTB FC Yabadilisha Jina, Yamtambulisha Rasmi Msemaji Wao Pamoja na Makao Makuu

KLABU ya DTB iliyopanda Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao imebadilishwa jina rasmi na kuwa Singida Big Stars Football...

READ MORE

Singida Kinara Matokeo ya Mtihani Kidato cha Sita 2021

Mkoa wa Singida umetajwa kuwa kinara wa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 2021.   Akitangaza matokeo...

READ MORE

Breaking News: 14 Wafariki Ajalini Singida

WATI  14 wamepoteza maisha na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea mkoani Singida baada ya gari dogo la...

READ MORE

Nyalandu Aangushwa Ubunge Singida

Mgombea ubunge kupitia Chadema Lazaro Nyalandu ameshindwa ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini baada ya kushindwa na mgombea wa CCM,...

READ MORE

Ahukumiwa Jela kwa Kuropoka Atamuua Rais Magufuli

MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Ashinda Kura za Maoni Kumrithi Lissu

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Singida Mashariki, wamepiga kura kupata mwana CCM mmoja ambaye atapeperusha bendera ya...

READ MORE

DED WA ADAIWA KUUA MKULIMA KANISANI KWA RISASI – VIDEO

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi, mkoani Singida, Pius Luhende na Askari wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

SINGIDA UNITED YAMCHUKUA ‘KOCHA WA SIMBA’

KLABU ya Singida United imemwajiri Kocha Mserbia Dragan Popadic kuchukua Mikoba ya Kocha Moroco mwenye majukumu ya kitaifa ya maandalizi...

READ MORE

Mahakama Yapiga Chini Kesi ya Rushwa ya Hussein Gulamali

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imetupilia mbali kesi ya rushwa iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara, Haidar Hussein Gulamali baada ya...

READ MORE

SINGIDA YANYOOSHA MIKONO KWA FEI TOTO

Uongozi wa klabu ya Singida United, umekubali kumuacha kiungo Fei Toto kujiunga na Yanga. Uamuzi wa Singida United unatokana na...

READ MORE

Jaramba la Mwisho la AFC Leopards Kabla ya Kuwavaa Singida United

Kikosi cha AFC Leopards ya Kenya kimejifua mapema leo asubuhi kabla ya kukabiliana na Singida United katika mchezo wa SportPesa...

READ MORE

RC, SINGIDA AWATAKA WAKULIMA, WAFANYABIASHARA KUWEKA FEDHA BENKI

  WAKULIMA na wafanyabiashara wametakiwa kutumia taasisi za kifedha hasa mabenki kutunza fedha ili kuepuka matumizi yasiyo ya lazima, badala...

READ MORE

‘NDUGU WA NEYMAR’ ATUA SINGIDA UNITED

KLABU ya Singida United, imemtangaza mshambuliaji wake mpya Felipe Olveira Dos Santos ambaye ni raia wa Brazil ambako anatokea Straiker...

READ MORE

KUTOKA UWANJA WA TAIFA: YANGA 1-1 SINGIDA UTD – FT

FULL TIME DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 90 Kiggi anakwenda kuchonga hiyo kona, Kambale anaruka peke yake na kupuga kichwa,...

READ MORE

SPOTI HAUSI: Yanga Yapata Mchekea kwa Singida, Mastaa Watimka

Kipindi cha Spoti Hausi leo kitachambua mambo mengi kuhusiana na soka la Tanzania lakini kubwa kabisa ni ushauri kama kweli...

READ MORE

Aliyemuua Mkewe na Kumficha Mbuyuni… Undani ni Huu!

UNDANI wa mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida kugundulika na jeshi la polisi mkoani humo kuwa...

READ MORE

Lori la Mafuta Lateketea Vibaya na Kuua Wawili Singida – Video

TAARIFA kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke,...

READ MORE

Singida: Amuua Mkewe, Aificha Maiti Kwenye Mbuyu Miaka 8

MWANAMUME mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kumuua mke...

READ MORE

Yanga Wapelekwa kwa Babu Singida, Kazi Ipo!

Droo ya upangaji wa timu zitakazokuwa zinacheza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho imefanyika asubuhi ya leo katika...

READ MORE

Kumbe Mabeki Walimzingua Pluijm Singida United

KOCHA wa Singida United, Hans van Der Pluijm raia wa Uholanzi, amesema anaamini kipigo cha mabao 4-0 kutoka Simba kwa...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (15)

  ILIPOISHIA… Nililala usingizi wa matumaini. Niliamini ni lazima ningempata Samike. Nikiwa usingizini, niliota mseto wa ndoto za zamani na...

READ MORE

ALICHOKIFANYA MWANACHUO HUYU NI AIBU!

ALICHOKIFANYA MWANACHUO HUYU…   DaDa mmoja anayedai ni mwanafunzi wa chuo huko jijini Mwanza, agnes Mmassy, mkazi wa Singida, alichokifanya...

READ MORE

Kaseke: Subiri Muone Singida Utd ni Timu Bora

  KIUNGO wa zamani wa Klabu ya Yanga, Deus Kaseke amesema japokuwa wamepoteza mechi yao ya kirafiki dhidi ya timu...

READ MORE

LIVE: Rais Magufuli Awahutubia Wananchi wa Singida

Leo Julai 25, 2017, Rais John Magufuli anaendelea na ziara yake na leo yuko wilayani Itigi mkoani Singida kufungua Barabara...

READ MORE

SINGIDA: Polisi Wanamshikilia Mtuhumiwa kwa Kukutwa na Viungo vya Binadamu

Jeshi la Polisi mkoani Singida lina mshikilia mkazi moja wa mkoa wa Tabora wilaya ya Igunga wa kijiji cha Itumba...

READ MORE

Mtoto wa Miaka 12 Auawa, Anyofolewa Sehemu za Siri na Macho

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto wa miaka 12, Dorcas Meshak mkazi wa kitongoji cha Mbughantigha kijiji cha Matongo tarafa...

READ MORE