Tanzania kushirikiana na Korea kusini kujenga bandari ya uvuvi Bagamoyo
Serikali ya Tanzania imetolea ufafanuzi juu ya mkopo iliyopokea kutoka Korea Kusini, ulioambatana na makubaliano ya ushirikiano katika sekta ya uvuvi pamoja na madini.
Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi…
