DC Gondwe Asisitiza Usafi Kinondoni ni Kila Siku na Ada ya Usafi ni kwa Kila Familia
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe ameongoza kwa mfano katika zoezi la usafi lililofanika maeneo ya Kata ya Wazo, Tegeta Magereji Jijini Dar es Salaam.
Katika zoezi hilo Gondwe amewaasa wananchi kuendelea kutekeleza…
