×

Tag: USAJILI

Kifaa Cha Kwanza Rasmi Yanga Utambulisho Wake Waandaliwa Maalum

IMEBAINIKA kuwa, kuna chuma kipya Yanga kipo mjini tayari na huenda kikatambulishwa kupitia mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika...

READ MORE

Kiungo Fundi Raia wa Nigeria Victor Akpan Atua Rasmi Simba, Asaini Miaka Miwili

KLABU ya  Simba imetangaza kukamilisha usajili  wa Kiungo Victor Patrick Akpan kutoka Coastal Union raia wa Nigeria kwa mkataba wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Serikali Kuhakiki Mpya Usajili Laini za Simu

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amesema huenda wakaanzisha zoezi jipya la uhakiki wa laini za...

READ MORE

Deal Done Zimbwe Aongeza Mkataba Msimbazi

NAHODHA msaidizi wa Simba Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’, leo Aprili 28 ameongeza mkataba wa kuendelea kukipiga kwenye timu hiyo. Kupitia...

READ MORE

Utapeli Unavyofanyika Kwenye Usajili Laini za Simu

KUMEKUWA na kasumba ya mawakala wanapofanya usajili wa laini za simu kumtaka mteja kurudia mara kadhaa kuweka alama ya kidole...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Simba Wasajili Mkata Umeme, Kuziba Pengo la Fraga

KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Uganda Taddeo Lwanga amesaini dili la miaka miwili kuitumia Klabu ya...

READ MORE

Mtambo wa Mabao Watua Yanga SC

WAKATI Kocha wa Yanga, Cedric Kaze akiwa analia juu ya safu yake ya ushambuliaji kutokuwa namakali, leo Jumatatu anatarajia kuupokea...

READ MORE

Mo Dewji Amaliza Utata Chama na Mukoko

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji, amethibitisha kuwa mchezaji Clatous Chama, amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Zawadi Mauya Atua Yanga, Asaini Miaka Miwili

  KIUNGO mkabaji wa Kagera Sugar, Zawadi Peter Mauya, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga SC. Mauya amesaini mbele...

READ MORE

Mbelgiji Aja na Mikakati Mikali ya Kusuka Kikosi

KATIKA kuhakikisha anakuwa na kikosi imara cha kubeba makombe, Kocha Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amewaambia mabosi wake kuwa katika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

Laini Zote Ambazo Hazijasajiliwa Kuzimwa Jumamosi

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kazi ya kuzima laini zote za simu, ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole kwa...

READ MORE

Ofisa NIDA Mbaroni Kuwatoza Wananchi Sh 30,000

OFISA  Msajili Msaidizi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida),  mkoani Shinyanga, Haruna Mushi,  na wakala wa usajili laini za...

READ MORE

Makonda: Wasio na Kitambulisho cha NIDA, Namba ni Wambea

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amesema wananchi wa mkoa huo ambao hadi jana Jumapili Januari 19,...

READ MORE

Wananchi Wabuni Mbinu Mpya ya Kusajili Laini

DAR: WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika kwa muda wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole,...

READ MORE

TCRA Yasisitiza, Laini Ambazo Hazijasajiliwa Zitafungwa Desemba 31

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kwamba hakuna laini ya simu itakayofungwa kabla ya tarehe hiyo. Aidha, imesema wananchi...

READ MORE

Simba Yaingilia Usajili Yanga

VITA kubwa ya usajili imehamia kwa beki wa kati wa timu ya taifa, Taifa Stars na klabu ya Coastal Union,...

READ MORE

Mastaa 13 wanaotemwa Yanga Hawa Hapa!

KAMA wewe ni mchezaji mzawa na unataka kusaini Yanga, usiote ndoto za milioni 50 wala milioni 100 utakuwa unajisumbua. Dau...

READ MORE

Aliyeitungua Simba akaribia kutua Yanga SC

UNAMKUMBUKA yule winga matata aliyemchambua beki wa Simba, Zana Coulibaly na kutupia? anaitwa Hassan Kabunda wa KMC, unaambiwa anakaribia kutua...

READ MORE

Wazungu Wamuita Ndemla Ulaya

  UWEZEKANO wa kiungo mkabaji wa Simba, Said Ndemla kuichezea timu hiyo ni mdogo. Ni baada ya kupata ofa ya...

READ MORE

Soka: Tetesi Mpya za Usajili Ulaya

  MSHAMBULIAJI  wa Paris St-Germain na Brazil Neymar ataruhusiwa kujiunga na Real Madrid, lakini kwa makubaliano ya iwapo ataisaidia timu...

READ MORE

STRAIKA MPYA WA SIMBA HUYU HAPA, NI HATARI TUPU!

HARAKATI za usajili wa wachezaji katika vilabu vya soka la Tanzania, zinaendelea kwa nguvu huku Klabu ya Simba ikikaribia kumsajili...

READ MORE

OKWI: SASA NAANZA KAZI TUKUTANE UHURU

  STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda, amesema kuwa kuanzia leo katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi...

READ MORE

Yanga SC Yaufyata, Yapeleka Mechi Chamazi

  HAKUNA namna kwani Yanga imebidi ikubali kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting, leo Jumamosi kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Usajili Ghali Wa Wachezaji Kwa Miaka Yote

MCHEZAJI bora husajiliwa na fedha nyingi, na ili timu yako ionekane pia kuwa na thamani na kuwavutia wachezaji mbalimbali basi...

READ MORE

Tetesi za Usajili Man U, Arsenal, Liverpool, AC Millan, Man City, Chelsea, Liverpool

  NIMEKUWEKEA HAPA TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA Arsenal wameambiwa lazima walipe pauni milioni 57 ili kumsajili Alexandre Lacazette, 26,...

READ MORE

Live: Hatimaye Yanga Yafungukia Usajili Wake, Kuondoka kwa Manji na Ishu ya Msuva

  GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Kaimu Ofisa Habari wa Timu ya...

READ MORE

Usajili Bongo ni Mwendo wa Fedha Tu

HABARI ya mjini kwa sasa ni kuhusiana na usajili ambao unaendelea kufanywa na timu zote 16 zitakazoshiriki Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Simba Yampandisha Ndege Kiboko ya Niyonzima Awahi Kusaini

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI |GPL SIMBA imeonekana kudhamiria kufanya makubwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Kombe...

READ MORE

Kazi imeanza Ajibu Kutua Yanga

Musa Mateja na Said Ally| CHAMPIONI| GPL STRAIKA wa Simba mwenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira, Ibrahim Ajibu, muda wowote...

READ MORE

Wazambia Wavuruga Usajili wa Niyonzima

Wilbert Molandi | CHAMPIONI | Dar es Salaam IMEFAHAMIKA kuwa, mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayowakutanisha Yanga na Zanaco...

READ MORE