The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Wasafi

Siri Ya Zuchu Sauzi Yafichuka

HIVI karibuni, staa mpya wa kike wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman ‘Zuchu’ alisafiri kwenda nchni Afrika Kusini (Sauzi) ambapo siri ya safari hiyo imefichuka, IJUMAA limedokezwa.Habari za ndani…

Wasafi TV Yalegezewa Kitanzi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekiruhusu kituo cha televisheni, Wasafi TV, kuanza tena kurusha matangazo kuanzia Machi Mosi 2021, baada ya kupunguza adhabu waliyopewa. Januari 5, 2021 TCRA ilitoa uamuzi…

Kumekucha Zuchu na Rayvanny

ACHANA na rekodi za wimbo wao wa Number One unaendelea kukiamsha mitaani na mtandaoni, lakini habari nzito ni kwamba eti kuna kitu kinaendelea kati ya memba wawili wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa…

Video: Zuchu Apata Dili Nono la Ubalozi

Muimbaji  Zuchu kutoka lebo ya WCB  amelamba dili la ubalozi kupitia kampuni ya Nywele ya  Darling, msanii huyo ameambatana na meneja wake Sallam Sk katika hoteli ya Hyatt, jijini Dar es Salaam. 

Pacha wa Mondi Aibua Mazito

BABA mzazi wa msanii mahiri wa Bongo fleva nchini, Nasib Abdul ‘Diamond Platinums’, Abdul Juma ‘Baba D’, ameibuka na kumkana kijana anayedai kuwa ndugu na mtoto wake huyo. Kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Chibu Rapper…

Sallam Aibua utata kujitoa wasafi

DAR: Mmoja wa mameneja wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sallam Ahmed Sharaff ‘Mendez’ ameibua utata mpya wa kudaiwa kujitoa kwenye lebo hiyo ambayo inatajwa kuwa na mafanikio makubwa zaidi Bongo, IJUMAA WIKIENDA limekukusanyia habari…

Harmonize Awazimia Data Mazima!

WAKATI mashabiki wakiendelea kujiuliza nini itakuwa hatima ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na lebo iliyomlea kimuziki ya Wasafi Classic Baby (WCB), jamaa huyo ameamua kuzima data mazima baada ya kuonesha viashiria vya…