×

Tag: wema

Wema wa Buguruni Amwaga Machozi “Nampenda Wema, Nikilala Namuota”

KATIKA kipindi cha ‘KATA MBUGA‘ cha Global Radio, leo Desemba 28, imepiga stori na mwanadada anayejiita, Wema Sepetu wa Buguruni,...

READ MORE

Wema wa Buguruni Afunga Mtaa

MWANADADA Rachel Said maarufu kama Wema wa Buguruni, mkazi wa Buguruni Rozana, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita...

READ MORE

 Fetty: Wema Aje Nimrejeshee Mwili Wake

  MKURUGENZI wa Fettilicious Kiboko ya Vitambi, Fatina Deus almaarufu Fetty amemtaka staa mkubwa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu,...

READ MORE

Wema Sina Stress za Mapenzi Kwa Sasa

BAADA ya kuwa kwenye uhusiano wa siri kwa muda mrefu, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuwa kwa sasa ana...

READ MORE

Wema: Nikipata Mtoto Nitachanganyikiwa

MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia ulimwengo wa Bongo Muvi, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya na kusema kuwa siku Mungu akimjalia...

READ MORE

Wema Aanika Alivyoteseka Baada ya Zari Kupata Mimba ya Mondi

  NDIO hivyo Bwana! Mrembo kutoka katika kiwanda cha filamu nchini Wema Sepetu hivi karibuni amesema kuwa hakuna kitu kilimuumiza...

READ MORE

Wema, Mobeto Walianzisha kumzima Zari

BAADA ya zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuteka mitandaoni na mitaani baada ya mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Kweli Duniani Wawili Wawili!

  Ni jambo la kawaida kuambiwa umefanana na mtu fulani, kwa sababu duniani wawili wawili kuna ambao hukutana na mikasa...

READ MORE

Wema, Carlinhos Imeisha Hiyo!

I MEISHA hiyo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kufahamika kwamba, picha za kimahaba zinazosambaa za staa wa sinema za Kibongo,...

READ MORE

Wema Atikisa Ndoa ya Carlinhos

STAA wa filamu nchini, Wema Sepetu amedaiwa kuitikisa ndoa ya mchezaji wa timu Yanga, Carlos Carlinhos ambaye ni raia wa...

READ MORE

K-Lynn Aibuka, Amvaa Wema!

MISS Tanzania wa mwaka 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ au ‘Jack Mengi’ ameibuka na kumvaa mnyange mwenzake aliyetwaa taji hilo mwaka...

READ MORE

Wema, Kajala Ilikuwa Umbeya Kama Wote!

MALKIA wa fi lamu za Kibongo, mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, Wema Isaac Sepetu amesema kuwa, yeye...

READ MORE

Ishu ya Kudanganya Umri, Wema Yamkuta Mazito

ZIKIWA zimepita siku 14, tangu Malkia wa Bongo Movies, Wema Sepetu kuzua gumzo kwa kukiri kudanganya umri, hatimaye Baraza la...

READ MORE

Idris Afunguka Ugomvi na Wema!

MCHEKESHAJI maarufu Bongo ambaye ni Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan amefunguka juu ya kile...

READ MORE

Mambo 6 Miaka 30 ya Wema

MSANII na nyota wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu siku ya leo Septemba 29 anatimiza miaka 30, ambapo kupitia instagram...

READ MORE

Maxrioba: Mimi Si Meneja Tena wa Wema, Mobeto

ALIYEWAHI kuwa meneja wa Hamisa Mobetto, Max Rioba, ameweka wazi kuwa kwa sasa yeye si meneja wa Hamisa Mobetto tena...

READ MORE

Petitman: Inaniuma Kuitwa Mbeba Pochi wa Wema

MENEJA na mjasiriamali Petitman Wakuache amefunguka kuwa alikuwa anaumizwa na maneno ya watu mitandaoni kiasi cha kufikia hatua ya kuchanganyikwa...

READ MORE

Baada ya Mwanaye Kukondeana, Mama Wema Ataja Wauaji wa Mwanaye

VUNJA ukimya! Mama wa mwigizaji Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu amevunja ukimya na kuwataka wale wanaojadili kukonda kwa binti yake,...

READ MORE

OFM Yanasa Siri Bifu la Wema, Batuli

UNAJUA bifu la msanii Wema Sepetu na Yobnesh Yusuph Hassan ‘Batuli’, lililoteka mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita, limetokana...

READ MORE

Wema Jela Inamuita

wemaKWA mara nyingine, jela au Segerea inamuita Malkia wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu, Risasi Jumamosi limedokezwa. Kwa mujibu wa...

READ MORE

Wema Agoma Kumtusi Zari!

STAA wa Bongo Movies; Wema Isaac Sepetu, amekanusha taarifa kuwa, ameungana na timu ya wazazi wenza wa aliyekuwa mwandani wake,...

READ MORE

Wema Akataa Mahari Milioni 500!

NDOA sasa inanukia! Kama ulikuwa hujui, taarifa ikufi kie kwamba, bidada Wema Isaac Sepetu yupo kwenye uchumba ‘siriaz’, lakini mwenyewe...

READ MORE

Kajala Amtaja Shetani Bifu na Wema!

MWANAMAMA mkali mbele ya kamera za Bongo Movies, Kajala Masanja, amesema kuwa, alijua tu kwamba angepatana na mwigizaji mwenzake, Wema...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wema: Sina ‘Tatuu’ ya Mwanaume Mwilini Mwangu

STAA mwenye jina kubwa Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa kamwe hawezi kuchora tatuu ya jina la mwanaume mwingine yeyote kwenye...

READ MORE

Wema: Jamani Anayeolewa na Mondi Siyo Mimi!

STAA kiwango wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu, ameweka wazi na kuvunja minong’ono kwamba, huwenda yeye ndiye mtarajiwa wa mwanamuziki...

READ MORE

Ishu ya Mtoto Bado Inamtesa Wema!

DAR: Bado ishu ya kutopata mtoto inamtesa kinoma staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu. Wema ameonesha kukerwa na kuchukizwa...

READ MORE

Mama Afungukia Wema Kuzimia

MAMA mzazi wa msanii wa filamu nchini Wema Sepetu, Miriam Sepetu amefungukia ishu ya mwanaye kudaiwa kuanguka na kuzimia. Mwishoni...

READ MORE

Kajala: Sitamsahau Wema Hadi Kaburini

DAR: Staa mwenye viwango vyake kunako Bongo Movies; Kajala Masanja, ametamka waziwazi kuwa; “Sitamsahau Wema hadi nakufa!” Kajala ameamua kuweka...

READ MORE

Wema Akiri Kuwa na Miguu Mibaya

STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema kuwa anajijua kuwa ana miguu mibaya, lakini hiyo isiwafanye watu kuwa ndiyo...

READ MORE

Exclusive! Wema Aibuka na Kipigo cha Mondi

KWA walioimisi ile kapo ya kihistoria Bongo ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mrembo mwenye nyota zake mjini, Wema...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa-Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa-Wikienda  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Wolper Amfunika Wema kwa Wachumba

    WIKIENDI iliyopita staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe mwenye umri wa miaka 33, amechumbiwa na mfanyabiashara...

READ MORE

Ukistaajabu ya Wema, Utaona ya Celine Dion

  UKIKUTANA na staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, bado utakuwa unajiuliza ni nini kilimpata. Kutoka kwenye lile...

READ MORE

Wema: Nt’aachika Kwa Mengine Sio Mapishi

WEMA Sepetu amesema kuwa hana wasiwasi kwenye kumridhisha mwanaume atakayekuja kuwa mumewe katika kipengele cha mapishi, kwani yupo vizuri.  ...

READ MORE

Tanasha Soma Hiyo Kutoka Kwa Wema, Mobeto!

MAUMIVU mengine hupotea baada ya siku kadhaa. Mengine wiki au miezi kadhaa. Mengine huchukua miaka kupotea na kuna mengine hayapotei...

READ MORE

Taarifa ya Kipigo cha Wema yazua Taharuki

DAR: Taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa msanii maarufu wa Bongo Muvi, Wema Isaac Sepetu amelazwa Hospitali ya...

READ MORE

Wema, Mobeto Wapewa Makavu

MASELEBRITI wawili Bongo, Isaac Sepetu na Hamisa Mobeto wapepewa makavu na mshabiki wao baada ya kuoneshana ushosti wa kukomentiana kwenye...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE