×

Tag: wema

WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU, AKANIOMBA NIKAMKUBALIA

MSANII wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa alipigiwa simu na X wake ambaye ni Diamond Platinumz akimuomba afike Hyatt...

READ MORE

Suprise: Wema Sepetu Alivyompandisha Diamond Plutnumz Jukwani – Video

SURPRISE ya nguvu imefanyika usiku wa kuamkia leo pale Hyatt Regency Hotel baada ya Malkia wa Bongo Movies, Wema Seetu kumpandisha...

READ MORE

Wema Afungukia Penzi na Mohombi

  STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu amefungukia madai ya kubanjuka kimapenzi na mwanamuziki mwenye asili ya Congo, Mohombi...

READ MORE

Breaking News: Kibatala Ajiengua Kesi ya Wema, Msando Akomaa Nayo

WAKILI Peter Kibatala ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiomba kujitoa kumuwakilisha Diva wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika...

READ MORE

Wema: Tunajivunia Kumpata RC Mwenye Akili Nyingi

QUEEN wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni akitokea CHADEMA, amefunguka ya moyoni kuhusu...

READ MORE

Wema: Siwezi Kuvunja Kiapo cha Kufunga Kizazi

WEMA Isaac Sepetu amefunguka kuwa, kamwe hawezi kuvunja kiapo alichoweka kuwa akitimiza umri wa miaka 30 bila kupata mtoto atafunga...

READ MORE

Kigwangalla Awakutanisha Wema na Jokate

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Hamisi Kigwangalla jana Desemba 21, 2017 aliteua majina mengine ya Kamati ya Kitaifa ya kuandaa...

READ MORE

Ramsey Alivyowalipua Ray, Wema!

STAA wa sinema za Nigeria (Nollywood), Ramsey Nouah amewalipua waigizaji wa filamu za Kibongo kwa kushindwa kuendeleza sanaa hiyo kwa...

READ MORE

Hatimaye Wema, Makonda ‘Bifu’ Kwisha!

BAADA ya madai ya muda mrefu juu ya uwepo wa bifu kati ya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na...

READ MORE

Mama Amlipua Wema LIVE, Adai Steve Nyerere ni Bomu (Video)

IKIWA ni takribani saa 15 tangu mwanaye ambaye ni Queen wa Filamu za Bongo na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006,...

READ MORE

Kisa Wema, Nyerere Amvaa Polepole: Hiki Chama Hujakiunda… Wewe ni Nani?

HEADLINE inayobamba mitandaoni na kwenye vyombo vya ahabri kuanzia jana jioni ni kuhusu Malkia wa Filamu Bongo, Wema Sepetu kuhama...

READ MORE

Wema Sepetu Atangaza Rasmi Kurudi CCM -(Video)

MSANII maarufu wa Bongo Movie, Wema Sepetu leo Ijumaa, Desemba 1, 2017 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Mahakama Yapokea Kielelezo cha Ukamataji Mali Nyumbani kwa Wema

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya...

READ MORE

Picha za Wema, Bwana’ke Wakiwa Bafuni Zavuja

DAR ES SALAAM: MREMBO mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Madam’ ameendelea ‘ku-shine’, safari hii zimevuja picha mpya...

READ MORE

Yaliyojiri Kisutu Kuhusu Uamuzi Kesi ya Wema Sepetu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kutoa uamuzi wa ama kupokea au kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani...

READ MORE

TEAM WEMA WAFANYA KUFURU BIRTHDAY YA WEMA!

  Ikiwa leo Septemba 28, 2017, mwigizaji mahiri Bongo, Wema Isaac Sepetu almaarufu Keki ya Taifa, anasheherekea birthday yake, mashabiki...

READ MORE

TAMKO LA GLOBAL KUHUSU HABARI YA WEMA NA BWANA MPYA

WAPENZI wasomaji wetu, mara kadhaa Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa Magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi Mchanganyiko, Risasi Jumamosi,...

READ MORE

Ua la Idris Lamtoa Machozi Wema

STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Ua alilodaiwa kumpelekea Idris ambalo si lake limemsababishia kugombana...

READ MORE

Wema Anaswa Live Kwenye Sofa Kochi na Kidume Kipya -Video

MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao...

READ MORE

Wema Akesha Akimlilia Tundu Lissu

TUKIO la kushambuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida-Mashariki, Tundu Lissu ambaye ni wakili na Mwanashieria Mkuu wa Chama...

READ MORE

Mastaa 7 Bongo Wachuana Kwa Mitungo ya Ngono

BAADHI ya mastaa Bongo wamekuwa na tabia ya kubadilisha wanaume baada ya muda mfupi wanapokuwa nao kwenye uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

KISA GAUNI, WEMA ASHINDWA KUHUDHURIA UZINDUZI WA IDRISS

Diva anayebamba kunako tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kuhudhuria uzinduzi wa viatu...

READ MORE

VITA KUU YA MTOTO, MOBETO KICHEKO, ZARI KILIO

HALI si shwari kati ya mwanamitindo matata wa Bongo, Hamisa Hassan Mobeto na mwanamama mjasiriamali wa Afrika Mashariki ambaye ni...

READ MORE

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Wema Kuhusu Vielelezo vya Bangi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeiahirisha tena kesi inayomkabili staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na wenzake wawili  kwa...

READ MORE

SANCHI AELEZA SIRI YA KUMFUNIKA WEMA KWA KALIO!

WIKI iliyopita ilikuwa ya kihistoria katika Shindano la Figa Bomba 2017 linaloendeshwa na gazeti hili baada ya kufika kilele na...

READ MORE

Wema: Sijawahi ‘Kummisi’ Kajala, Muna

STAA wa filamu mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa hajawahi kuwakumbuka (kuwamis) waliokuwa...

READ MORE

VIDEO: Tundu Lissu Afafanua Kilichotokea Kuhusu ‘Mkojo wa Wema’

Kufuatia skata la kesi ya Wema Sepetu ambaye anadaiwa mkojo wake ulikutwa na chembechembe za bangi baada ya kupimwa na...

READ MORE

Kesi ya Wema; Wakili Apinga Ushahidi wa Mkemia Mkuu

KESI inayomkabili staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, imeahirishwa hadi Agosti 4 mwaka huu ambapo Hakimu Mkazi, Thomas Simba, atatoa...

READ MORE

WEMA: NISIPOPATA MTOTO NAFUNGA KIZAZI

  Exclusive! Hapo nyuma kumepita matukio mengi yaliyomhusu staa mwenye jina lake kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Wema Abraham...

READ MORE

VIDEO: Wema Sepetu na Gabo Walivyozindua Filamu Yao Mpya – KISOGO

Wasanii wa filamu, Gabo Zigamba na Wema Sepetu, wamezindua filamu mpya ya kisasa iitwayo Kisogo, itakayoweza kuonekana na mtu yeyote...

READ MORE

Sasha Akerwa Sauti Yake Kufananishwa na ya Wema

STORI: HAMIDA HASSAN | RISASI JUMAMOSI MWA­NA­MITINDO, Sasha Kas­sim ameibuka na kusema kuwa hapendi sauti yake kufananishwa na ya Wema...

READ MORE

Wema kwa Hili la Mihela, wa Kukuoa….

NA OJUKU ABRAHAM | IJUMAA| ZA CHEMBE WEMA Sepetu, kwangu ni miongoni mwa wasanii waigizaji wa kike wanaojua nini wanafanya...

READ MORE

Ijumaa Figa Bomba Girl 2017: Sanchi, Wema Watifuana Kwa Kura

HALI imezidi kuwa tete ambapo wiki hii modo, Sanchi ametifuana vilivyo na Wema Sepetu. Kwa mujibu wa kura mlizopiga zimepelekea...

READ MORE

Wema, Jokate Wapigwa ‘Stop’ Wanaume

STORI: SIFAEL PAUL | IJUMAA WIKIENDA| DAR ES SALAAM Mikakati ya kusaka nafasi ya kuingia bungeni mwaka 2020 kwa walimbwende...

READ MORE

Wema Afungukia Ushirikina Nyumbani Kwake

Stori: Imelda Mtema na Hamida Hassan | IJUMAA WIKIENDA | DAR ES SALAAM Mkali wa Bongo Muvi, Wema Isaac Sepetu amefungukia...

READ MORE

Wema Amchana Harmorapa Mtandaoni

MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu, ‘Madam’,  ambaye hivi karibuni alihamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefunguka baada ya...

READ MORE

Wema Sepetu Ambeza Harmorapa

DAR ES SALAAM: Acha hizo! Vituko vya Mbongo Fleva anayekuja kwa kasi nchini, Athumani Omar ’Harmorapa’ haviishi, juzikati tena, ameandika...

READ MORE

Nani Ana Figa Matata? Amanda Achapa Lapa..

WIKI hii imekuwa mbaya kwa msanii wa Bongo Muvi, Amanda Posh kuchapa lapa. Hadi sasa wamebakia washiriki nane, kinachotakiwa wewe...

READ MORE

Wema Ajadiliwa Msikitini

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Makubwa! Wema Isaac Sepetu amezua gumzo baada ya kujadiliwa kwenye msikiti...

READ MORE

Hii ni Simulizi ya Maisha ya Godbless Lema Gerezani Miezi 4, Alivyopewa Cheo cha Nyapara Kuwaongoza Wafungwa

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ameibuka na kueleza mambo mbalimbali, aliyokumbana nayo katika kipindi cha miezi minne akiwa...

READ MORE