×

Tag: Yanga SC

Mayele Avunja Ukimya Aanika Mkataba Wake, Akanusha Kuwa kwa Mkopo Yanga

HATIMAYE Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amevunja ukimya juu ya mkataba wake na Yanga, ambapo ameweka wazi kuwa yeye si...

READ MORE

Sistiinho: Nimemuelewa Sana Sheria Ngowi kwenye Ubunifu Wake wa Jezi za Yanga

MCHAMBUZI wa soka kupitia kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na Studio za Global TV na 255 Global Radio Sistiinho, ameoneshwa...

READ MORE

Pitso Akubali Ombi la Yanga, Sasa Kutua Dar kwa Wiki ya Mwananchi

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ameitikia ombi la Klabu ya Yanga...

READ MORE

Saleh Jembe: Tarimba Hahusiki kwa Simba Kujitoa kwenye Dili la Udhamini wa SportPesa

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally Jembe ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazoeneo mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa...

READ MORE

Yanga Yalamba Dili la Bilioni 12 Kutoka SportPesa, Yaweka Rekodi Mpya

KLABU ya Yanga imeingia makubaliano na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa wenye thamani ya Shilingi Bilioni 12.033 ambao...

READ MORE

Yanga Wanasaini Mkataba wa Kihistoria Muda Huu, Rais Hersi Ahudhuria-Video

KLABU ya Yanga Inasaini Mkataba wa Kihistoria na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa kwa ajili ya Udhamini wa...

READ MORE

Saleh Jembe: Wazee wa Yanga Waheshimu Mamlaka, Hata Mama Samia Anaelewa

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana...

READ MORE

Manara Athibitisha Yanga Kuweka Kambi Avic Town, Atangaza hatma ya Ushindi

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amebainisha kuwa klabu yake itaweka kambi katika eneo la Avic Town lililopo Kigamboni...

READ MORE

Live: Manara Afunguka Pre Season ya Yanga Kufanyika Kigamboni, Atangaza Balaa la Wiki ya Mwananchi-Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara pamoja na Hassan Bumbuli, wamezungumza na waandishi wa habari leo Julai 19, 2022...

READ MORE

Beki Yanga Apewa Mkataba wa Mwaka Mmoja Wenye Masharti Magumu

MABOSI wa Yanga wamempa mkataba mgumu wa mwaka mmoja wenye masharti beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ hiyo ikiwa...

READ MORE

Yanga Yampa Mkono wa Kwaheri Kaseke, Awashukuru Mashabiki kwa Sapoti Waliompa

KLABU ya Yanga SC, leo Alhamisi, Julai 14, 2022 imetangaza kuachana na mchezaji wake mwandamizi, Deus Kaseke ‘Mwaisa’ na kumtakia...

READ MORE

Klabu ya Yanga Yamtangaza Lomalisa Kama Mchezaji Wao Mpya Kuelekea Msimu Ujao

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi mchezaji mwingine wa kimataifa raia wa Congo DR, Joyce Lomalisa Mutambala kuwa mchezaji wao kwa...

READ MORE

Yanga Ijayo Mtakoma Kiungo wa Newcastle Aaga Burundi Tayari Kutua Jangwani

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Newcastle ya England ambaye hivi sasa anaichezea Glentoran ya Ireland, Gael Bigirimana, tayari ameaga kwao...

READ MORE

Injinia Hersi Atamba Yanga Kuwa Timu ya Kwanza Tanzania Kutwaa Ubingwa Afrika

MGOMBEA wa Urais wa Yanga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Injinia Hersi Said, ametoa...

READ MORE

Injinia Hersi Anazungumza na Waandishi wa Habari Muda Huu, Anaelezea Malengo Yake Kama Rais-Video

MGOMBEA Urais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Ally Said amezungumza na wanahabari akielezea malengo na mikakati yake endapo atachaguliwa...

READ MORE

Azam Yamtambulisha Sopu kama Usajili Mpya, Simba na Yanga Zatajwa Kuambulia Manyoya

KLABU ya Azam imemtambulisha kiungo mshambuliaji Abdul Seleman Sopu kama mchezaji wao mpya akitokea Coastal Union ya Tanga. Sopu ambaye...

READ MORE

Yanga Wana Jambo Zito, Wanazungumza na Wanahabari Muda Huu-Video

VIONGOZI wa Klabu ya Yanga wamezungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya klabu hiyo ya Jangwani 

READ MORE

GSM Awapa Mastaa Yanga Bonasi 700 Mil Baada ya Kubeba Kombe la Shirikisho

IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kupewa Sh 700Mil kutoka kwa mdhamini wao GSM kama bonasi baada ya juzi kubeba...

READ MORE

Yanga Yatwaa Ubingwa wa Shirikisho Kombe la ASFC kwa Mikwaju ya Penati

KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Shirikisho maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup ikiwa ni...

READ MORE

Simba Yatoa Tamko Sakata la Morrison ‘Ni Mchezaji Wetu Halali’, Mwenyekiti Acharuka

UONGOZI wa Klabu ya Simba SC umeendelea kusisitiza kuwa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison, bado ni mchezaji halali...

READ MORE

Klabu ya Soka ya Yanga Imetwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Bila Kufungwa

HATIMAYE Klabu ya Yanga imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC bila kupoteza mchezo wowote baada ya kuibuka na...

READ MORE

SureBoy Kutengeneza Historia Kwenye Pambano la Leo dhidi ya Mtibwa Sugar

KIUNGO wa klabu ya Yanga Salum Abubakar SureBoy huenda lewo akatengeneza historia ya kipekee kwa wachezaji wa kitanzania kama klabu...

READ MORE

Manara: Yanga Imewahi Kuchukua Ubingwa wa Ligi Mara 3 Bila Kufungwa, Waandishi Msipotoshe -Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Sunday Manara amesema klabu ya Yanga imewahi kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu mara tatu...

READ MORE

Dereva Afunguka Gharama za Kukodi Gari la Ubingwa la Yanga

YANGA wametisha sana! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema. Moja kati ya vivutio katika sherehe za Ubingwa wa Klabu ya Yanga ni...

READ MORE

Yanga Yasuka Mipango Mizito CAF, Manara Aunguruma

UONGOZI wa Yanga, umeahidi kutorudia makosa katika michuano ya kimataifa kwa kujipanga vema kuhakikisha wanakamilisha usajili wa wachezaji wapya na...

READ MORE

Kaze Adokeza Mikakati ya Usajili wa Yanga, Asema Hawawezi Kurudia Makosa Tena

KOCHA Msaidizi wa klabu ya Yanga raia wa Burundi Cedric Kaze amesema Yanga haiwezi kurudia makosa yaliyojitokeza mwanzoni mwa msimu...

READ MORE

Yanga Yajipanga Kufanya Vizuri Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika

UONGOZI wa kikosi cha Yanga, umeweka wazi kuwa wamejiwekea malengo makubwa ya kuhakikisha msimu ujao, angalau wanacheza hatua ya makundi...

READ MORE

Msuva: Simba na Yanga Zinanitaka, Aahidi Kuweka Mambo Hadharani

KIUNGO mshambuliaji wa Wydad Casablanca, Mtanzania Simon Msuva amekiri kufuatwa na kufanya mazungumzo na timu kongwe za Simba na Yanga...

READ MORE

Bosi Yanga Afunguka Walivyomnasa Aziz Ki, Simba Yatajwa Kwenye Vita Hiyo

SAKATA la usajili wa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stephanie Aziz Ki, limeingia katika sura mpya na...

READ MORE

Chuma Kingine Chatua Yanga, Carlinhos Ahusika Kwenye Usajili Wake

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, ameamua kutumia ukaribu wake na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo...

READ MORE

Manara Amlipua Jemedari Said Adai Alimsingizia Kesi ya Uhujumu Uchumi

Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema kitendo chake cha kutoka Simba na kujiunga na Yanga kimekubwa na vikwazo...

READ MORE

Manara: Kwenye Kikosi Bora cha Mwaka Yanga Tutaingiza Wachezaji 7-9, Morrison Ndani

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema kuwa kulingana na mafanikio waliyokuwa nayo klabu ya Yanga msimu huu kikosi...

READ MORE

Kambole Asema Anakuja Yanga, Ataja Makubaliano ya Mkataba Wake

  MSHAMBULIAJI raia wa Zambia, Lazarous Kambole, amefichua kuwa, suala lake la kujiunga na Yanga lipo chini ya wakala wake,...

READ MORE

Mwigulu: Mayele Amekuwa Maarufu Kuliko Makatibu Wenezi

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewatupia dongo mashabiki wa Klabu ya Simba nchini huku akimsifia mchezaji wa...

READ MORE

Farid Mussa Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili Jangwani, Atambulisha Meneja Mpya

MCHEZAJI wa Yanga Farid Mussa ameongeza mkataba wa miaka miwili ambao utamfanya aendelee kuwepo katika viunga vya Jangwani hadi mwaka...

READ MORE

Manara: Yanga Itasajiri Wachezaji Wanne au Watano wa Kimataifa (PICHA +VIDEO)

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema Klabu hiyo itafanya usajili wa wachezaji wanne au watano tu wa kimataifa...

READ MORE

Saleh Ally: Injinia Hersi Hakustahili Kugombea Nafasi ya Urais wa Yanga(PICHA+VIDEO)

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally Maarufu kama ‘Jembe’ ametoa maoni yake juu ya nafasi ya Injinia Hersi Said kuwa...

READ MORE

GSM Yaunasa Mkataba wa Straika Mzambia, Injinia Apania Kufanya Makubwa

UONGOZI wa Yanga baada ya kuona uwezekano mdogo wa kumpata mshambuliaji Moses Phiri, sasa umehamia kwa mshambuliaji Ricky Banda mwenye...

READ MORE

Sure Boy Atoa Kauli ya Kibabe Yanga, Aaahidi Kuwaziba Watu Midomo

KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ amekiri kukutana na ushindani mkubwa wa namba ndani ya kikosi hicho, lakini...

READ MORE

Yanga Yapania Kufanya Makubwa Kimataifa, Yaanza Harakati za Usajili

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umeelezea mikakati yake kuelekea msimu ujao kuwa ni kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na...

READ MORE