The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Yondani

Ngassa, Yondani Wagoma Kuagwa

WACHEZAJI wa zamani waliocheza kwa mafanikio ndani ya Yanga, Mrisho Ngassa na Kelvin Yondani wamefunguka kuwa wao kwa sasa hawana mpango wa kuagwa na klabu yao hiyo kwa kuwa bado wanaendelea kucheza soka. Ngassa na Yondani…

Kim Amrejesha Yondani Taifa Stars

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanznaia Taifa Stars Kim Poulsen amemrejesha kikosini mlizi kisiki na mkongwe Kelvin Yondani kwenye kikosi cha wachezaji 42 alichokiita leo, kitakachoingia kambini kujiandaa kwa michezo miwili ya kirafiki dhidi…

Yondani Kurejeshwa Yanga SC

IMEFAHAMIKA kuwa upo uwezekano mkubwa wa beki mkongwe Kelvin Yondani ‘Vidic’ kurejeshwa kikosini baada ya kuanza mazungumzo upya na uongozi wa Yanga. Beki huyo hivi karibuni alitangazwa kuachwa kwenye sehemu ya kikosi cha…

Yondani apewa onyo Yanga

KOCHA Mkuu wa Namungo, Thiery Hitimana, amewaonya wachezaji wa Yanga akiwemo beki mkongwe, Kelvin Yondani juu ya utovu wa nidhamu. Hitimana ametoa onyo hilo ikiwa ni siku chache baada ya Yanga kumshusha kocha mpya,…

Simba Vs Yanga… Mtu na Mtu

MAJIGAMBO, mikwara na kejeli za watani wa jadi Simba na Yanga zinamalizika leo wakati timu hizo kongwe zitakapokuwa uwanjani zikipambana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja…

Yondani Atii Amri

BEKI Mkongwe wa Klabu ya Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa anakubali uwezo wa beki mwenzake raia wa Ghana, Lamine Moro na kwamba uelewano wao umefanya wawe na safu bora ya ulinzi kwa kipindi hiki. Moro alijiunga na Yanga wakati wa…

Yondani Aletewa Msaidizi Yanga

YANGA wanafanya mambo yao kwa siri kubwa huku wakipania kuwapa bonge la sapraizi mashabiki wao kwenye usajili wa safari hii. Lakini Spoti Xtra limebaini kwamba wako kwenye mazungumzo na beki wa kati wa Polisi FC ya Rwanda, Aimable…

Yondani, Kakolanya wafungiwa

HALI ya mambo ndani ya Yanga sasa si shwari tena kwani muda wowote kuanzia leo kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya anaweza kuvunja mkataba. Lakini yeye pamoja na Kevin Yondani wameshafungiwa. Hali hiyo inatokana na uongozi wa…

Yondani, Kakolanya waitosa Yanga

NYOTA wa Yanga waliokuwa kwenye kikosi cha Taifa Stars nchini Lesotho, Kelvin Yondani na Beno Kakolanya, wameshindwa kusafiri na kikosi cha Yanga kilichoenda Shinyanga kucheza dhidi ya Mwadui FC ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. …

Yondani Mambo Safi Yanga SC

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani ambaye kila siku ya Mungu anavuka maji ya Bahari ya Hindi kuelekea kwake Kigamboni, usajili wake wa mkataba wa miaka miwili umekwangua karibu nusu ya mapato ya mlangoni ya klabu hiyo ya msimu uliopita.…

Yondani Awashangaza Yanga

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani, juzi Jumamosi alifanya jambo ambalo liliwaacha vinywa wazi wapenzi na mashabiki wa timu hiyo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Lipuli FC kwenye Uwanja wa Samora, Iringa. Katika mchezo ambao…