Zari, Mobeto Kukutana uso kwa uso Uganda
Kama ulifikiri kuwa Baby mama wa mbongo fleva maarufu, Zarinah Hassa 'The Boss Lady' na Hamisa Hassan Mobeto bifu lao limetulia au kuisha kabisa utakuwa umekosea.
Zari na Hamisa wamekuwa wakiripotiwa kutoelewana na kurushiana…
