×

Tag: zuchu

Zuchu feat Toss – SIji (Official Music Video)

ZUHURA Othman Soud almaarufu Zuchu au Zuuh; ni malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya...

READ MORE

Zuchu: Niliogopa Bosi Akanilazimisha Mpaka Nikahara, Kina Mbosso Walinibembeleza

MSANII wa Bongo Fleva, Zuchu ametoa experience yake ya shoo ambayo aliwahi kuogopa zaidi katika maisha yake ya muziki ambayo...

READ MORE

Zuchu Amjibu Kibabe Bosi Wake Diamond Kulipa Bil.10 Aondoke Wasafi

  Zuhura Othman almaarufu Zuchu; ni malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye amejibu kauli ya bosi...

READ MORE

Diamond Adaiwa Kumharibu Zuchu, Azua Gumzo Nchini Afrika Kusini

ZUCHU; ni msanii wa moto ile mbaya kunako lebo kubwa kabisa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki ya Wasafi Classic Baby...

READ MORE

Rayvanny Afunguka Adai Nyumba Aliyoichoma Ilikuwa Nyumba ya Mchongo

RAYVANNY au Vanny Boy; ni staa mwingine mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye amewafanya watu kuzungumza kwenye mitandao tofauti ya...

READ MORE

Mwijaku Ampa Makavu Zuchu Ampa Onyo ‘Amlazimishe Diamond Amuoe’

Mtangazaji na mwigizaji maarufu Bongo, Mwijaku amempa makavu malkia mpya wa Bongo Fleva, Zuchu kwa kile anachokisema kwamba anavimba kutokana...

READ MORE

Mwanafa atoa tamko kwa Steve Nyerere

MwanaFA; ni staa wa Hip Hop Bongo na Mbunge wa Jimbo la Muheza jijini Tanga ambaye amelazimika kutoa tamko rasmi...

READ MORE

Mama Dangote ampiga pini Zuchu

Inasemekana lakini, Mama Dangote (Diamond) ame-unfollow Zuchu kwenye ukurasa wa Instagram ambaye inadaiwa kuwa ndiye Mpenzi wa Diamond Platnumz kwa...

READ MORE

Diamond: Najijua kwa kuchiti

Diamond Platnumz; ni superstar wa muziki kutoka nchini Tanzania ambaye ametoa albam fupi (EP) yake ambayo ilikuwa imesubiriwa inayokwenda kwa...

READ MORE

Zuchu Amuonea Aibu Mondi

PAMOJA na kukanusha kwamba wao si wapenzi, lakini ishara nyingi zinaonesha vingine baina ya mastaa wawili wa muziki wanaowika zaidi...

READ MORE

Diamond, Zuchu waacha maswali kwa yasiyo na majibu

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Zuhura Othman ‘Zuchu’ aliwaacha mashabiki wake katika maswali baada ya kuingia kwenye onesho lake...

READ MORE

Zuchu Aandika Historia Mlimani City, Apiga Shoo ya Kibabe – (Picha + Video)

SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ usiku wa kuamkia leo Februari...

READ MORE

Zari Ashindwa Kumzima Zuchu

BABY mama wa msanii mkubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz, mwanamama ZarinahHassan ‘Zari The Boss Lady’, anadaiwa kushindwa...

READ MORE

Ndi Ndi Ndi ya Zuchu Sijui Yatakuwaje

ZIMEBAKI siku chache kabla ya kwenda kushuhu­dia usiku wa mahaba ndi ndi ndi kutoka kwa muim­baji kutoka lebo ya WCB,...

READ MORE

Zuchu: Diamond ni Romantic

WAKATI KUKIWA na tetesi mitandaoni kwamba huenda Msanii kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman ‘Zuchu’ akavishwa pete...

READ MORE

Zuchu Apewa Onyo Kali

KWA muda sasa madai yameendelea kusambaa kwamba staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz na msanii wake,...

READ MORE

Penzi la Zuchu na Diamond Balaa, Wazazi Kimeumana

Baada ya tetesi kusambaa katika mitandao ya Kijamii juu ya mahusino ya Dimaond Platnumz pamoja na mrembo Zuchu, sasa Inasemekana...

READ MORE

Mama: Tayari Zuchu Amelipiwa Mahari

BI KHADIJA Kopa ni Malkia wa Taarab Afrika na ni mama wa malkia mwingine wa Bongo Fleva, Zuchu ambayeamesainiwa kwenye...

READ MORE

Zuchu Asifia Mpenzi Wake… Kisa Kipo Hapa

MALKIA mwingine wa Bongo Fleva, Zuhura Othman au Zuchu amemsifia mpenzi wake baada ya kumnunulia zawadi ambayo alikuwa anaitamani mno....

READ MORE

Hadija Kopa Abariki Ndoa ya Diamond na Zuchu

MALKIA wa mipasho Bongo, Hadija Omary Kopa amesema haoni tatizo kwa msanii Diamond Platnumz kumuoa mtoto wake Zuchu kwa kuwa...

READ MORE

Zuchu Atamba Kupata wa Kumsitiri

MSANII wa muziki Zuhura Othman Soud almaarufu Zuchu ameachia wimbo mpya ‘Mwambieni’ uliojaa mahaba mazito baada ya kumpata wakumfariji.  ...

READ MORE

Za Ndaani Kabisa… Zuchu Akiolewa na Mondi Amekwisha!

UKIACHANA na ishu ya kujiuzulu kwa Spika Job Ndugai, katika kipindi cha mwisho wa mwaka 2021 kuingia 2022, miongoni mwa...

READ MORE

Kijembe cha Maua Sama kwa Nandy Na Zuchu

BAADA ya msanii Maua Sama kuposti kunako Mtandao wa Twitter kwa kuandika; “Kwani ikitokea hujaimba Amapiano unaweza kufutiwa cheti cha...

READ MORE

Nandy, Zuchu Ilikuwa Patashika 2021

WAKATI zikiwa zimebaki saa kadhaa kuingia mwaka 2022, inasemekana kwamba, mwaka 2021 ulikuwa ni mwaka wa patashika nguo kuchanika kati...

READ MORE

Mwijaku Ampa Somo Zuchu: Mkamate kwa Busara

MOJA kati ya headlines zinazo gonga vichwa vya habari mtandaoni ni issue inayomtaja mwanamuziki Diamond Platnumz kutaka kumuoa mwanamuziki mwenzake...

READ MORE

Majibu ya Esma Kuhusu Diamond Kumuoa Zuchu

BAADA ya kuwepo kwa tetesi nyingi mitandaoni juu ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuwa mbioni kumuoa Zuchu, dada...

READ MORE

Wasafi, Kiba, Nandy, Stamina Wafunga Mwaka Kwa Kishindo

Mwaka ukiwa unaelekea ukingoni, wasanii wanaofanya vyema katika gemu ya Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Ali Kiba na Stamina, wanatajwa kuwa...

READ MORE

Diamond, Zuchu, Marioo, Darasa Watesa Chati za Apple Music

  IKIWA tupo mwishoni mwa mwaka 2021, Kampuni ya muziki ya Apple imetoa chati ya nyimbo 100 bora zaidi kwa...

READ MORE

Zuchu Amtunishia Misuli Diamond

JANUARI 30, mwaka huu msanii kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Zuchu aliachia wimbo wake wa SUKARI, ndani ya miezi 10...

READ MORE

Zuchu: Diamond Alinipata Nikiwa Masikini

MSANII wa Bongo Fleva, Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajiliwa katika Lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa Bongo,...

READ MORE

Otile Acharuka! Zuchu & Mbosso Punguzeni Mazoea

MSANII maarufu kutoka 254 nchini Kenya, Otile Brown amedai kuchukuliwa melody zake za wimbo wa ‘baby love’ kutumika kwenye wimbo...

READ MORE

Zuchu Anuka Pesa

STAA mpya wa Bongo Fleva, Zuhura Othman Soud almaarufu Zuchu ambaye kwa sasa anakimbiza na wimbo wake wa Kitu, ameonesha...

READ MORE

Nandy, Zuchu vs Wanigeria Hapatoshi

Hapatoshi! Ndivyo unavyoweza kusema kwenye mpambano wa wasanii wa kike wanaofanya vizuri Bongo, Nandy na Zuchu wameingia kwenye kinyang’anyiro cha...

READ MORE

Huko YouTube Hali ni Mbaya, Views kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya ...

READ MORE

Zuchu ‘Paka’ Kiboko ya ‘Simba’ Mondi

KUPISHA njia ni kukubali kuzidiwa kasi; lakini si kukubali kushindwa kwa sababu safari ina mengi njiani. Zuchu msanii aliyesainiwa na...

READ MORE

Zuchu Afunguka Kutapeliwa

Mwanadada wa moto kunako Bongo Fleva, Zuchu kutoka Lebo ya Wasafi amefanya bidii kuwa kiasi cha kampuni kibao kumuona na...

READ MORE

Zuchu Azidi Kuwa Mtamu

MWIMBAJI Zuchu kutoka Lebo ya Wasafi chini ya Diamond Platnumz anazidi kuwaka na kuwa mtamu zaidi.   Zuchu na Rayvanny...

READ MORE

Zuchu – Yalaaaa (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo Fleva, Zuchu ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Yalaaaa.

READ MORE

Zuchu – Yalaaaa (Official Music Video)

 MREMBO kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othuman ‘Zuchu’Agosti 17, 2021 ameachia video ya wimbo wake mpya wa Yalaaaa.

READ MORE

Zuchu Afunguka Kumroga Darleen

KWA mara ya kwanza, msanii mpya kunako Bongo Fleva, Zuhura Othaman au Zuchu amefunguka juu ya stori za mitandaoni kwamba,...

READ MORE