×

April 2017

Shamsa Ford Yamkuta Mazito Dar

Na Salum Milongo/GPL STAA wa kutoka kiwanda cha filamu cha Bongo Muvi, Shamsa Ford ‘Chausiku’, amepata jeraha la maisha baada...

READ MORE

Diamond Awapongeza Rayvanny, Fahyma kwa Kupata Mtoto wa Kwanza

Na Salum Milongo/GPL MSANII wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa pongezi kwa mwanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Nafasi za Kazi Leo Aprili 19, 2017

MTU BINAFSI NAFASI: Vijana wa mauzo (nafaka maharage) SIFA: Awe na umri wa miaka 18 (wake kwa waume), uwezo wa...

READ MORE

Jimmy Mafufu Ataka Mabachela Wapimwe Akili!

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO MSANII wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu amewatolea uvivu waigizaji ambao umri wa...

READ MORE

Roho Nzuri ya Mumeo Isikupe Wivu

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| MAKALA HALO haloooo mashosti, leo nina booonge la umbeya ninawaletea, si unajua tena nimetoka kwenye...

READ MORE

Breaking News: Wasanii wa Bongo Muvi Waandamana Kariakoo Dar (+Video)

DAR ES SALAAM: Baadhi ya wasanii wa Filamu nchini (Bongo Movie) wamefanya maandamano katika Mtaa wa Aggrey, Kariakoo ambapo ni...

READ MORE

Yanga Yamzuia Msuva Kumzungumzia Fakhi

Musa Mateja, Dar es Salaam, Championi Jumatano UONGOZI wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Clement Sanga, umewapiga ‘stop’ wachezaji...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-07

“Nesi….nesi fungua mlango!” alisikika mwanaume mmoja akipiga kelele, saa ilionyesha ni saa saba usiku. “Kuna nini jamani?” “Huyu dada! Analalamika...

READ MORE

Lulu Diva Achekelea Kolabo za Kimataifa

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MWANADADA anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva na wimbo wake wa Usimwache,...

READ MORE

Simba Kufunguka Kinachoendelea Katika Soka Nchini leo

Klabu ya Simba inapenda kuwaarifu waandishi wa habari, itakuwa na mkutano wake ‘MAALUM’ na wanahabari kesho saa tano na nusu...

READ MORE

Hans Poppe Atema Cheche Simba

Said Ally, Dar es Salaam, Championi Jumatano MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, ameibuka na kudai...

READ MORE

Dk. Slaa Azungumza Kwa Njia ya Simu Kuhusu Madai ya Kujiunga CUF

Wakati mgogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ukizidi kutokota, Mwenyekiti anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,...

READ MORE

UEFA: Real Madrid Waigonga Bayern Munich 4-2, Ronaldo ni ‘Sumu’

Cristiano Ronaldo alifunga mabao matatu na kuwawezesha mabingwa watetezi wa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Real Madrid kuwatimua Bayern Munich...

READ MORE

Omog: Dakika 270 Zina Ubingwa Wetu

  Said Ally, Dar es Salaam, Championi Jumatano KOCHA wa Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon ameweka bayana kwamba mipango...

READ MORE

Roma, Naisubiri Siku Uteme Nyongo!

Na OJUKU ABRAHAM| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MUZIKI ni sanaa pana inayohitaji zaidi akili iliyotulia ili kuifanya kuwa bora na...

READ MORE

Lulu Atokwa Povu Bethidei Yake Kubuma

Na  GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Kweli utawala wa awamu ya tano kiboko! Tofauti na miaka iliyopita...

READ MORE

Zimeanikwa Kurasa za Mbele na Nyuma Magazeti Yote ya Tanzania Leo Aprili 19, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 19, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Breaking News: Maamuzi ya TFF Kuhusu Rufaa ya Kagera, Pointi 3 za Simba (VIDEO)

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemaliza kikao chake na Simba inaendelea...

READ MORE

Prof. Mkumbo Aitaka Dawasco Kuongeza Kasi Utoaji Huduma jijini Dar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na baadhi ya uongozi wa mamlaka hiyo. KATIBU...

READ MORE

Wataalamu Upasuaji Kujadili Uboreshaji Huduma

WATAALAM na wadau mbalimbali wa masuala ya upasuaji wa binadamu wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili namna  wanavyoweza kuongeza huduma...

READ MORE

Mauzo ya Hisa ya DSE Yapaa, Yafikia Trilioni 20.3

MAUZO ya hati fungani katika  Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyoishia tarehe Aprili 13, 2017 yamepaa...

READ MORE

Shahidi Namba 8 Aisogeza Mbele Kesi ya Scorpion

Salum Njwete ‘Scorpion’ akiingia Mahakama ya Mwanzo Ilala, Dar. Na Richard Bukos na Issa Mnally | GLOBAL PUBLISHERS Kesi ya...

READ MORE

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Aibua Ubadhirifu wa Kutisha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)

UBADHIRIFU wa kutisha unaohusisha mabilioni ya fedha, umefichuliwa kwenye Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ukihusisha uongozi, wafanyakazi, watoa huduma...

READ MORE

(+Sauti), Alichosema Spika Ndugai Baada ya Yanga Kufungwa (4-0)

SPIKA wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Yustino Ndugai, leo bungeni...

READ MORE

Askari 17, Viongozi 18 Wameuawa Mkuranga, Kibiti

STORI: WAANDISHI WETU|GAZETI LA UWAZI| HABARI PWANI: Idadi na watu, raia na askari polisi waliouawa kwa kupigwa risasi katika Wilaya...

READ MORE

Nimekuwekea Hapa Trailer ya Filamu ya ‘Fate Of The Ferious’, Filamu Iliyovunja Rekodi kwa Mauzo Kufikia TZS Trilioni 1.2

Filamu ya Fate of the Furious imevunja rekodi ya dunia ya kuwa filamu iliyouzwa sana baada ya kuzinduliwa rasmi. Filamu...

READ MORE

LIVE: Hatimaye Yanga Warejea Nyumbani Wakitokea Algeria

   Klabu ya Yanga wamerejea nyumbani wakitokea nchini Algeria walikokuwa wamekwenda kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Kombe la Shirikisho Barani...

READ MORE

Korea Kaskazini: Tutafanya Majaribio ya Makombora Kila Wiki

Pyongyang: Naibu Waziri wa Masuala ya Kigeni nchini Korea Kaskazini, Han Song-ryol amesema kuwa nchi hiyo itaendelea kufanya majaribio ya makombora yake, licha ya...

READ MORE

Zikiwa Tetesi za Kuondolewa WCB Zinashika Kasi, Mwanamuziki Q Boy Ametoka na Hii ‘Karorero’

Q Boy Kutoka na hii ‘Karorero’, Itazame HAPA…

READ MORE

Baby Kidoti Aitwa Yahaya Mtandaoni

Na Salum Milongo/GPL MWANADADA staa wa kuuza sura kwenye video za wasanii Bongo, ‘Baby Kidoti’, amepachikwa jina la Yahaya na...

READ MORE

Tanzia: Baba Mzazi wa Msanii wa Bongo Fleva Belle 9 Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Fleva nchini Abednego Damian, ‘Belle9’, amepata pigo baada ya kuondokewa na baba yake mzazi Damian Nyamoga. Meneja...

READ MORE

Yanga Waliokwama Algeria Kuwasili Mchana wa Leo

Msafara wa wachezaji wa Yanga ambao ulichelewa ndege nchini Algeria, unatarajiwa kuwasili mchana wa leo baada ya kukamilika kwa masuala...

READ MORE

Mkurugenzi wa Jiji Arusha Atoa Semina Kwa Watendaji Wake

MKURUGENZI wa Jiji la Arusha Ndugu Athumani Juma Kihamia, amefanya kikao na watumishi wa serikali katika Kata ya Muriety na...

READ MORE

Wanawake Hujifunga Magome ya Miti au Majani Maalum Kuanzia Kiunoni na Matiti Huachwa Wazi, Kabila la Wala Watu-15

ELVAN STAMBULI NA MTANDAO| GAZETI LA UWAZI| MAKALA WIKI iliyopita nilieleza jinsi wanawake wa taifa hilo ambalo jamii yake inakula...

READ MORE