Xiaomi Yazindua “Festival Vybes Promotion” , Mwezi Mzima wa PROMOTION NA Zawadi Kemkem Tanzania Nzima

Dar es Salaam, Tanzania Xiaomi imezindua rasmi kampeni yake kubwa ya mwisho wa mwaka, Xiaomi Fest Vybes,
Kampeni hii inaleta mchanganyiko wa zawadi za papo hapo madukani pamoja na droo Kubwa za Mitandaoni. Promotion hii kubwa ni kuwashukuru wateja na kuwapa nafasi ya kushinda zawadi nyingi zaidi msimu huu wa sikukuu.
Xiaomi Fest Vybes ipo mahsusi kwaajili kuwashukuru wateja kwa kuwapa uzoefu wa kipekee mara tu wanapoingia katika maduka ya washirika wa Xiaomi Tanzania. Kila siku kipindi chote cha promotion, wateja watapokea zawadi papo hapo
Ikiwa ni pamoja na smartwatch, earbuds,vikombe maalumu vya sikukuu na zawadi nyingine nyingi pale wanaponunua simu za SHAOMII.
WATEJA WATAKAONUNUA:
• REDMI 15 watapata smartwatch BURE
• WATAKAO NUNUA REDMI NOTE 14 Series AU REDMI 15C watapata earbuds za BURE
• WATAKAO NUNUA REDMI A5(FIVE) watapata kikombe maalum cha Krismasi papo hapo
Kisha droo kubwa kuchezeshwa tarehe 12, 18 na 23 ambapo wanunuaji wa simu tajwa, watapata nafasi ya kushinda simu zingine tena kama REDMI NOTE 14 PRO PLUS, REDMI PAD TWO 4G, Xiaomi 15T lakin pia SMARTWATCH na EARBUDS , UNASUBURI NINI NUNUA SIMU ZA XIAOMI LEO UPATE ZAWADI
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMB : 0767160164 @xiaomi_tzofficial

