Vikosi Vikubwa Barani Ulaya Vitakutana London Leo Usiku
Vikosi viwili vyenye kiwango bora zaidi barani Ulaya vitachuana usiku wa kesho jumatano tarehe 26 kwenye Ligi ya Mabingwa Ndani ya uwanja wa Emirates, London.
The Gunners, ambao wametoka kuisambaratisha Tottenham katika Derby ya…
