Waandishi Wa Habari Wakutana Na NEEC Ili Kupata Elimu Namna Ambavyo Inafanya Majukumu Yake
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kushirikiana kwa karibu na vyombo vya habari nchini ili kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu masuala ya uwezeshaji na fursa mbalimbali za kiuchumi zinazopatikana kupitia Baraza hilo.…