×

Afya

Mwanamke kutokuwa na uwezo wa tendo la ndoa

Tunapozungumzia mwanamke kukosa uwezo wa tendo hili la kujamiiana hapa tunamaanisha anakuwa hana hamu ya tendo hilo au hata akilifanya...

READ MORE

Sababu za Mwanaume Kushindwa Kumpa Mimba Mwanamke

WATU wengi wamekuwa wakidhani kuwa mwanamke pekee ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha anapata mimba na ikitokea akakaa muda mrefu kwenye...

READ MORE

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuwa mjamzito

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi...

READ MORE

Jinsi ya kupata nywele ngumu na kuzijaza

WIKI hii kwenye kona ya urembo tutaongelea njia sahihi ya kukuza nywele na kuzifanya ziwe ngumu, zisikatikekatike pia kuzipa rangi...

READ MORE

Chanzo hasa cha upungufu wa nguvu za kiume-3

Leo tunakamilisha mfululizo wetu wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa kuangalia suluhisho lake. Tumeona kwamba upungufu wa...

READ MORE

Matango, aloe vera, limao kwa kuondoa usugu kwapani

WEUSI KWAPANI Matango ni moja ya dawa nzuri inayoweza kuondoa weusi wa ngozi ya kwapani, kama una tatizo hilo changanya...

READ MORE

Matatizo Ya Uzazi Kwa Wanawake

Kama tulivyoona wiki iliyopita, matatizo ya uzazi kwa wanawake yapo katika makundi matatu. Kuna tatizo la upevushaji mayai. Tatizo hili...

READ MORE

Parachichi ni tiba katika miili yetu

WAKATI huu ni msimu wa tunda la parachichi Wazungu huliita avocado. Sehemu nyingi tunda hili linapatikana ama kwa kuuzwa tena...

READ MORE

Athari ya kitambi kiafya

Kitambi ni hali ya kiafya ya mtu mnene ambapo mafuta ya ziada mwilini huongezeka eneo la tumbo kwa kiasi kikubwa....

READ MORE

Ugonjwa wa malaria hatari kwa mjamzito

Mtaalam Mandai MALARIA ni maambukizi ya seli nyekundu za damu inayosababishwa na vimelea vinavyoitwa kitaalamu, Plasmodiumu. Plasmodiumu hawa husambazwa na...

READ MORE

Zijue sababu za watoto kuharisha -2

Inaendelea toka wiki iliyopita Watoto wachanga chini ya miezi 3 wanapata sehemu ya kinga (Antibodies) kutoka kwa mama anayenyonyesha na...

READ MORE

Ngozi yako imekufa? Maziwa ya unga yatakusaidia

Watu wengi sasa hivi wameharibika nyuso zao kutokana na hali ya upepo ambao unasababisha ngozi kuwa mbaya na wengi wamejikuta...

READ MORE

Chanzo hasa cha upungufu wa nguvu za kiume-2

Upungufu wa nguvu za kiume siyo ugonjwa ila ni dalili ambayo ndani yake inaweza kuwa na magonjwa mengi au sababu...

READ MORE

Magonjwa yanayotoa usaha, majimaji sehemu za siri

KUNA magonjwa mengi ambayo watu hukumbana nayo lakini leo tutajadili magonjwa ambayo hutoa majimaji au usaha sehemu za siri na...

READ MORE

Sababu za Mwanamke Kutoshika Mimba

Utafiti wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa Akina Mama (FIGO) mwaka 1990 ulionesha kuwa sababu kuu  ya mwanamke kutoshika mimba...

READ MORE

Faida ya kunywa maziwa mtindi

Maziwa yaliyochachishwa  maarufu kama mtindi ni miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo...

READ MORE

Zijue sababu za watoto kuharisha

Kuharisha kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano....

READ MORE

Kushindwa Kupata Mimba (Infetility)

Moja ya matatizo yaliyoko katika jamii zetu na yamesababisha wanandoa wengi au wanawake wengi kukosa furaha ni baada ya mama...

READ MORE

Juisi au tunda kipi bora?

Watu huwa wanajiuliza kula matunda au juisi yake, nini bora? Bora ni matunda kwani baadhi yake ngozi zake zinaweza kuliwa...

READ MORE

Ugonjwa wa mtindio wa akili (Mental Retardation)

Zipo sababu nyingi za mtu kupata tatizo la upungufu wa akili au mtindio wa akili Mental Retardation. Kwa mtoto mdogo...

READ MORE

Tatizo la kuvurugika mzunguko wa hedhi

TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao...

READ MORE

Hataki tukutane, eti natoa harufu!

ANTI Liz, mimi ni mwanamke niliyeolewa miaka minne iliyopita, naishi jijini Dar es Salaam na mume wangu. Jambo ninaloomba ushauri...

READ MORE

Kwa nini mimba hutoka mara kwa mara?

KWA nini baadhi ya wanawake mimba zao hutoka mara kwa mara? Hili ni swali linaloulizwa na wanawake wengi wanaponipigia simu....

READ MORE

Tiba ya kuvimba matiti ukinyonyesha

Majani ya kabeji Chukua jani la kabeji, lioshe vizuri kisha libandike kwenye titi lenye tatizo moja kwa moja, unaweza kuyaandaa...

READ MORE

Sababu za ugumba kwa mwanamke

Leo tutaeleza kitaalam sababu zinazofanya mwanamke asiweze kupata mimba na kuzaa kwani tatizo hili husababisha mgogoro katika ndoa nyingi. Mwanamke...

READ MORE

Vyakula vinavyoongeza afya mwilini

Vyakula vinavyowafanya wenye afya nzuri kuendelea kuwa nayo  zaidi na wenye afya mbovu, kuwa na  nzuri ni hivi vifuatavyo. MAHARAGE...

READ MORE

Upungufu wa nguvu za kiume unaotokana na kisukari

(DIABETIC NEPHROPATHY) YAPO madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu na mojawapo ni ugonjwa wa figo (Diabetic Nephropathy)...

READ MORE

Mabadiliko ndani ya kizazi na athari zake

Kizazi kimejengwa na tabaka tatu ambazo ni tabaka la ndani, tabaka la kati na tabaka la nje. Katika hali isiyo...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu, Melinda Wapongeza ‘Mama Shujaa wa Chakula’

Mwenyekiti mwenza wa taasisi ya Bill and Melinda Gates ya Marekani Bi. Melinda Gates akiongea na wadau mbalimbali na kulipongeza...

READ MORE

Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo (Urinary Tract Infection U.T.I)-2

Tunamalizia makala yetu kuhusu ugonjwa wa U.T.I baada ya kuanza kuelezea wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa tatizo hili huathiri wanawake...

READ MORE

Kuvimba kwa matiti ukinyonyesha

Wanawake wengi wanapokuwa kwenye uzazi husumbuliwa na kuvimba kwa matiti hasa pale wanapokuwa wananyonyesha, leo nawaletea tiba inayosaidia kumaliza tatizo...

READ MORE

Vyakula vinavyopunguza unene

Njia kuu ya kupunguza unene ni pamoja na kuchagua vyakula vya kula yaani kujua aina ya vyakula unavyotakiwa kuvila. Vifuatavyo...

READ MORE

Kifua Kikuu (Tuberculosis)

KIFUA kikuu ni moja ya magonjwa  yanayochukua nafasi  za juu kati ya magonjwa  kumi yanayotibika, lakini husababisha vifo  kwa wingi...

READ MORE

Uvimbe katika kizazi (Uterine Fibroid)

FIBROID ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii...

READ MORE

Jinsi uzito unavyoathiri uzazi kwa mwanamke-3

Wiki iliyopita utakumbuka niliishia kwenye kuelezea kwamba mwanamke mnene pia anaweza kuwa na hamu kubwa ya kula na hula sana...

READ MORE

Mdada wa kazi ni hatari kwa ‘afya’ yako

ASAALAM aleykum wapendwa wasomaji wa safu hii. Hongera sana kwa wale wenzetu wanaokwenda sawa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kwa...

READ MORE

Kuwashwa na matatizo ya ngozi

Kama unasumbuliwa na muwasho wa ngozi au madhara yoyote yaliyoikumba ngozi yako tiba ya mwanzo nyumbani kwako ambayo inaweza kukusaidia...

READ MORE

Maambukizi ya wadudu kwenye mfumo wa mkojo

(Urinary Tract Infection U.T.I) InakadiRiwa kwa asilimia 20 ya wanawake hupatwa na maambukizi katika mfumo wa mkojo, hali inayojulikana kitaalam...

READ MORE

Tatizo la kuvimba miguu kwa wajawazito

Akina mama wengi huwa wanapata matatizo ya kuvimba miguu wakati wa ujauzito kwa sababu mbalimbali. Wengine huwa ni kawaida kwa...

READ MORE

Fahamu faida ya tende mwilini

KUTOKANA na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu hula tende wakati wa kufuturu.Tende ni tunda...

READ MORE