×


Afya
Maambukizi katika njia ya mkojo (UTI)-2

Tunaendelea kuchambua maambukizi katika njia ya mkojo au UTI. UTI KWA WANAWAKE Upungufu wa homoni ya wanawake iitwayo Oestrogen husababisha bakteria wanaosababisha maambukizi katika njia…

SOMA ZAIDI


Kuvimba kizazi (Adenomyosis)

Hii ni hali ambayo huendana na kizazi kuvimba au kujaa husababishwa na tabaka la ndani la kizazi kuzama katika tabaka la kati. Hapa ieleweke kwamba,…

SOMA ZAIDI


Kinywaji hiki huondoa sumu, kitambi!

Uondoaji wa sumu mwilini ni muhimu kwa sababu kitendo hicho huondoa mafuta yanayosababisha unene au vitambi. Pia mwili unapokuwa msafi huwezesha mfumo wa chakula kunyonya…

SOMA ZAIDI

Shinikizo la Damu (Hypertension)-3

Leo nitaelezea  mambo yanayosababisha shinikizo la damu ili uyafahamu na kujihadhari nayo. MaMBO hayo ni uvutaji sigara, unene (visceral obesity) yaani unene wa sehemu za…

SOMA ZAIDI

Maambukizi katika njia ya mkojo (UTI)

Leo tutazungumzia tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract Infection (UTI) ugonjwa ambao unawasumbua sana wanawake wengi na watoto japokuwa hata wanaume huugua….

SOMA ZAIDI

Uvimbe katika kizazi cha mwanamke-2

Wiki iliyopita tulianza kupeana elimu ya uvimbe unaoota katika kizazi cha mwanamke. Pamoja na kuwa kumekuwa na uvimbe mbalimbali katika kizazi cha mwanamke tulianza na…

SOMA ZAIDI

Kushuka kwa kizazi ( Prolapsed uterus)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii na leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze nyingine. Niliishia pale ambapo nilisema kuwa, kupungua kwa homoni ya ‘Estrogen’ kunaweza…

SOMA ZAIDI
Shinikizo la Damu (Hypertension)-2

Shinikizo la damu limegawanyika katika makundi mawili, aina ya kwanza ambalo kitaalam huitwa Primary au Essential Hypertension. Aina hii ya shinikizo la damu huwapata asilimia…

SOMA ZAIDI

Njia kumi kusaidia kupunguza unene-3

Tunaendelea kufafanua njia za kupunguza unene: Kama usipotafuna chakula vizuri au ukila huku unakunywa sana maji au vinywaji vingine, chakula hakimeng’enywi vizuri tumboni. ULAJI WA…

SOMA ZAIDI

Uvimbe katika kizazi cha mwanamke

BAADA ya kupeana elimu juu ya tatizo la uvimbe kwenye ovari. Leo ningependa tupeane ufahamu kuhusu uvimbe unaoota katika kizazi cha mwanamke. Wanawake wengi wamekuwa…

SOMA ZAIDI

Tumia parachichi baada ya kunyoa ndevu

Tatizo la kutoka vipele baada ya kunyoa ndevu au sehemu nyingine limekuwa likiwakumba wengi. Hata hivyo, leo nitazungumzia namna unavyoweza kukabiliana na tatizo hilo baada…

SOMA ZAIDI

Kushuka kwa kizazi ( Prolapsed uterus)

Kizazi kimeshikiliwa vizuri sehemu yake kwenye nyonga na misuli, tishu na nyuzinyuzi ngumu ziitwazo ‘ligaments’ ambazo zimejishika kwenye mifupa ya nyonga kwa ujumla ili kuleta…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online