×

Afya

Vyakula vinavyosaidia kuzuia, kukinga vidonda vya tumbo

VYAKULA vifuatavyo husaidia kutibu au kukinga ugonjwa wa vidonda vya tumbo (perptic alcers) kama vitatumika ipasavyo. Kitunguu Saumu Kitunguu saumu...

READ MORE

Unaweza Kujibebesha Mimba na Usiolewe!

VITABU vitakatifu vinasema kila mwenye pumzi na amsifu Mungu. Nami sina budi kusema asante Mungu kwa uhai na afya njema...

READ MORE

Matunda, mboga za majani muhimu, huondoa sumu mwilini-2

TUNAENDELEA na mfululizo wa mada ya sumu mwilini ambapo wiki iliyopita tuliona jinsi sumu zinavyojitengeneza mwilini. Tuliona makundi mawili ya...

READ MORE

Tatizo la uzazi kwa wanaume ‘Male Sterility’

Tatizo hili  husababisha  mwanaume  kushindwa  kumpa  mwanamke   mimba   ambapo  hutoa  mbegu zisizo  na  sifa  kurutubisha  mayai  ya  mwanamke  au  kushindwa ...

READ MORE

Ijue scrub ya maziwa na asali kwa ngozi yako!

Watu wengi sasa hivi wameharibika uso vibaya kutokana na hali ya upepo ambao unasababisha ngozi kuwa mbaya na wengi wamejikuta...

READ MORE

Madhara ya Kutumia Tishu kwa Wanawake-2

Wiki iliyopita tulianza kujadili mada hii ya madhara ya kiafya ya kutumia tishu kwa mwanamke. Leo tunaendelea kuanzia tulipoishia: Pia...

READ MORE

Limao na barafu kwa kung’arisha ngozi

LEO kwenye safu hii tutaongelea jinsi ya kuifanya ngozi yako kuwa kavu na kung’aa kwa wale wenye mafuta kwa kutumia...

READ MORE

Umri mzuri wa kuzaa kwa mwanamke-2

Ilipoishia wiki iliyopita. Kwa kulinganisha kati ya kundi la umri wa miaka 25-29 na 30-34, wanawake wa miaka 30-34 wenye...

READ MORE

Maambukizi Kwenye Mfuko Wa Kizazi (Pelvic Inflamatory Disease)

MAAMBUKIZI haya ni ya vijidudu katika via vya uzazi ambapo wadudu hupanda kutoka kwenye utupu wa mwanamke na kuingia kwenye...

READ MORE

Tatizo la Fangasi Kwenye Ubongo

ATIZO la fangasi katika ubongo (Mucormycosis), ni ugonjwa ambao katika siku za hivi karibuni umekuwa maarufu huku ukisababisha vifo vya...

READ MORE

Faida 18 za majani ya mpera mwilini

Mapera ni matunda ya msimu yenye wingi wa vitamini A na C, madini ya potasiam, nyuzi nzuri ya fiber na...

READ MORE

Shinikizo la Damu

Shinikizo la juu la damu (presha) hutokea pale moyo unapodunda na kusukuma damu nyingi lakini damu hiyo ikashindwa kusambaa kwa...

READ MORE

Msongo wa mawazo kwa wanawake (Depression)-3

ILIPOISHIA   Hisia tulivu humsaidia mtu kukabiliana na vikwazo maishani mwake ambavyo wengine wasingeweza. Huwa na uwezo mkubwa wa kupitia...

READ MORE

Matatizo ya nguvu za kiume!

Matatizo haya ya nguvu za kiume humuathiri mwanaume  na mwanamke  kwa  ujumla. Tatizo  hili   hulalamikiwa  aidha  na  mwanaume  mwenyewe  au ...

READ MORE

Tumia juisi ya limao kuondoa madoa ya chunusi

Watu wengi hulalamikia tatizo la kutokwa na chunusi usoni ambazo huharibu kabisa mwonekano wao. Hata hivyo, baada ya mara kadhaa...

READ MORE

Komamanga huzuia kansa ya matiti

Na Elvan Stambuli Leo tutatupia jicho baadhi ya tafiti zinazohusu ugonjwa wa saratani ya matiti. Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika...

READ MORE

Kutokwa na vinyama sehemu za siri (genital warts) kwa wanawake

KUTOKWA na vin­yama, mafindofindo yanayoota kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri (genital warts) ni ugonjwa unaoenezwa kwa...

READ MORE

Uvimbe katika sehemu za siri za mwanaume (SCROTAL MASSES)

Uvimbe katika sehemu za siri za mwanaume unaweza kusababishwa na matatizo mengi, mfano maambukizi katika kiwanda cha kuzalishia mbegu za...

READ MORE

Tui la nazi, nyanya, chumvi kutibu vidonda mdomoni

Vidonda vya mdomoni ni miongoni mwa matatizo yanayowasumbua watu wengi. Badala ya kuhangaika kutumia dawa za hospitali, unaweza kutumia tiba...

READ MORE

Kukosa la Kufanya ni Moja ya Chanzo cha Matumizi ya Dawa za Kulevya

Chid Benz Kuna sababu nyingi zinazochangia ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya katika jamii. Baadhi ya sababu hizo ni...

READ MORE

Tiba zaidi ya 13 za tikitimaji mwilini

Tunda la tikitimaji au kwa Kiingereza Watermelons lina faida nyingi mwilini na hutibu baadhi ya maradhi. Tikitimaji pia ni chanzo...

READ MORE

2017 Kula Vyakula Hivi Kujikinga na Kisukari

Matunda Kisukari ni ugonjwa ulioingia kwa kasi nchini. Ni hali inayotokea wakati sukari inapozidi ile inayotakiwa katika damu kwa sababu...

READ MORE

Kulegea kwa misuli sehemu za siri za mwanamke (Vaginal Prolapse)

Wanawake wengi wenye umri mkubwa hupata maradhi ya Vaginal Prolapse yaani kulegea kwa misuli ya uke au sehemu za siri...

READ MORE

Kukosa usingizi kwa wajawazito (INSOMNIA)

Insomnia ni tatizo linalowasumbua watu wengi, ambapo hupoteza usingizi, huona maruweruwe na wakati mwingine kuweweseka nyakati za usiku. Hata hivyo,...

READ MORE

Tetekuwanga kwa watoto

Tetekuwanga ni miongoni mwa magonjwa yanayowasumbua watu wengi, hususan watoto. Ugonjwa huu husababishwa na Virusi vya Varicel Zoster na huambukizwa...

READ MORE

Usichokijua kuhusu matatizo ya tezi dume (Prostatism)

Hali hii husababisha matatizo ya mkojo kwa mwanaume na kufanya mkojo ushindwe kutoka. CHANZO CHA TATIZO Matatizo ya tezi dume...

READ MORE

Kifafa cha mimba (Eclampsia)

Yapo matatizo mengi yanayowapata wanawake wajawazito na miongoni mwa matatizo hayo, ni kifafa cha mimba (Eclampsia). Ni hali ambayo huwatokea...

READ MORE

Said Fella, ‘Upendo Ni Mimi’ Wachangia Damu Temeke

Wanachama wa Taasisi ya Upendo ni Mimi wakichangia damu katika Hospitali ya Temeke. NA GABRIEL NG’OSHA/GPL Said Fella, ‘Upendo Ni...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Katika Watanzania 100, Watano Wana Maambukizi ya VVU

UKIMWI bado ni janga kubwa nchini kwetu. Takwimu zinaonyesha maambukizi ya VVU kwa upande wa Tanzania Bara kuwa ni #asilimia5.3....

READ MORE

Chanjo Dhidi ya Ukimwi Kuanza Kufanyiwa Majaribio Kesho Jumatano

AFRIKA KUSINI: Chanjo mpya dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi itaanza kufanyiwa majaribio nchini Afrika Kusini Jumatano wiki hii. Wanasayansi wanasema...

READ MORE

Aina za Madawa ya Kulevya na Athari Zake kwa Mtumiaji

Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume,...

READ MORE

“Euthanasia”: Mauaji ya Kumpunguzia Mgonjwa Maumivu, Mateso!

WIKI zilizopita, aliyekuwa mmoja wa wapiganiaji  utawala wa wengi  Afrika Kusini, Askofu Desmond Tutu,  wa Kanisa la Anglikana,  akiadhimisha mwaka...

READ MORE

Wananchi Waliopo Dar es Saalam Kupatiwa Matibabu Bure

Tangazo linaloonesha taarifa muhimu kuhusu tukio hilo la matibabu bure. Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam iliyo...

READ MORE

Tango na baking soda kwa wenye UTI

Leo kwenye safu hii tutaongelea tango linavyoweza kukusaidia kutopata ugonjwa wa UTI kwani linafanya kazi kama maji mwilini. Kama wewe...

READ MORE

Vipimo Kwa Wasioshika Mimba

BAADA ya kusoma sababu za wanawake na wanaume kushindwa kushika mimba, leo tutaangazia vipimo vya kubaini tatizo. Lengo la kufanya...

READ MORE

Njemba Yaiba Helikopta, Yaenda Kutua Ikulu

Hebu vuta picha, walinzi wa ikulu wakiwa kwenye harakati zao za kuhakikisha ikulu ipo salama, ghafla inatokea helikopta kutoka kusikojulikana,...

READ MORE

Tatizo la kutokupevuka kwa mfumo wa uzazi

HALI hii hutokana na viungo vya uzalishaji wa vichocheo vya uimarishaji uzazi kwa mwanamke na mwanaume kutofanya kazi. Viungo au...

READ MORE

Mwanamke kutokuwa na uwezo wa tendo la ndoa

Tunapozungumzia mwanamke kukosa uwezo wa tendo hili la kujamiiana hapa tunamaanisha anakuwa hana hamu ya tendo hilo au hata akilifanya...

READ MORE

Sababu za Mwanaume Kushindwa Kumpa Mimba Mwanamke

WATU wengi wamekuwa wakidhani kuwa mwanamke pekee ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha anapata mimba na ikitokea akakaa muda mrefu kwenye...

READ MORE

Mambo ya kuzingatia kabla ya kuwa mjamzito

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi...

READ MORE