×

Afya

Serikali ya Tanzania Yatahadharisha Homa ya Virusi vya Corona

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, imetoa tahadhari ya mlipuko wa virusi vya Corona...

READ MORE

Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi

TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio kwenye umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao...

READ MORE

Naibu Waziri Amtumbua Mganga Mbeya

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Phaustine Ndugulile ameagiza kuwekwa ndani na kutolewa katika...

READ MORE

Haya ndio matatizo hatarishi ya mjamzito

KUNA matatizo mengi hatari yanayompata mjamzito, kwa mfano mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (uterus) ni tatizo hatari ambalo...

READ MORE

SIMIYU YAPATA UHABA WA CHANJO YA HOMA YA INI

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Simiyu, umesema kasi kubwa ya Wananchi wanaojitokeza kupima na kupatiwa chanjo ya ugonjwa...

READ MORE

Wanawake wenye kisukari hukosa hamu ya tendo la ndoa

WANAWAKE wengi wenye kisukari hupata tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.  Hii inaweza kuwa ni moja ya...

READ MORE

Tatizo la kupoteza hamu ya kula (Anorexia nervosa)

HILI ni tatizo la kukosa kabisa hamu ya kula na kumfanya mtu apungue uzito kutokana na kuogopa kunenepa au kuongezeka...

READ MORE

Gonjwa Hili Ndilo Tishio Nchini

HOMA ya mapafu, usiichukulie poa! Ugonjwa huo ambao pia hujulikana kama nimonia au Pneumonia umeleta mtikisiko wa aina yake mwaka...

READ MORE

Fahamu kwa Undani Tatizo la Ugumba (Infertility)

  KUNA aina mbili za ugumba; Ugumba wa asili (Primary infertility) – Hii ni pale ambapo mwanaume na mwanamke hawajawahi...

READ MORE

Madhara ya Kula Nyama ya Nguruwe (Kitimoto)

NGURUWE ni mnyama anayeliwa kwa asilimia 38 ya watu wote duniani, lakini nyama yake ina madhara makubwa kuliko faida.  Leo...

READ MORE

Hawa Ndiyo Wagunduzi wa Virusi Vya UKIMWI

Mmoja Atajwa Kuhusika Kuvitengeneza: UGONJWA wa Ukimwi ni hatari na umeua watu wengi sana duniani. Leo tutazungumzia ugunduzi wa ugonjwa huu....

READ MORE

Pombe, sigara zinavyoweza kusababisha kisukari

LEO nazungumzia jinsi sigara, pombe, vyakula na mfumo wa maisha wa mtu vinavyoweza kusababisha kisukari na kuleta madhara zaidi kwa...

READ MORE

Chanzo cha maradhi ya moyo kwa watoto

KABLA ya kubeba ujauzito ni muhimu mwanamke ajiandae kwa miezi sita. Katika kipindi hicho, anapaswa kula vyakula bora.  Mwanamke anapaswa...

READ MORE

HATARI YA UTI WA MGONGO (Meningitis)

UGONJWA wa mgongo huathiri sehemu inayofunika ubongo na uti wa mgongo, yaani utandu. Ubongo unafunikwa na sehemu au tandu tatu...

READ MORE

Dawa anazopaswa, asizopaswa kutumia mgonjwa wa selimundu

SELIMUNDU (Sickle cell) ni ugonjwa wa kurithi ambao hutokea baada ya mwili wa binadamu kuwa na upungufu katika umbile la...

READ MORE

 Jinsi ya Kuepuka Upungufu wa Nguvu za Kiume!  

MIONGONI mwa matatizo yanayowatesa wengi kwa sasa ni nguvu za kiume.  Tatizo hili hulalamikiwa ama na mwanaume au mwanamke kwa...

READ MORE

Abel & Fernandes, AAR Waungana Kutokomeza Kisukari Nchini

  KAMPUNI ya Mawasiliano ya Abel & Fernandes imeungana na Kampuni ya  Afya ya AAR na wadau wengine kwa lengo...

READ MORE

Fahamu tatizo la shinikizo la damu!

SHINIKIZO la damu ni miongoni mwa matatizo yanayoathiri watu wengi. Nini maana ya shinikizo la damu?  Ni ile hali inayotokea...

READ MORE

Madhara ya kutoa mimba!

KUTOKANA na kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye...

READ MORE

Zijuwe dawa za kisukari na jinsi ya kupimwa

NI vema watu wakapima sukari kwani wataalamu wanatumia vipimo vya damu kudhibiti kisukari (Diabetes).  Tutaeleza jinsi ya kupima na dawa...

READ MORE

 Tatizo la mtoto wa jicho! (cataract)-2

WIKI iliyopita tuliona namna ambavyo tatizo la mtoto wa jicho au cataract hutokana na kufanyika kwa ukungu katika lensi ya...

READ MORE

Fahamu matatizo mazito ya kiafya kwa watoto wachanga

MTOTO mchanga mwenye afya hupumua kwa urahisi, bila msukumo. Anapaswa kunyonya kila baada ya saa mbili hadi 4 na kuamka...

READ MORE

Tatizo la kupoteza hamu na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa!-2

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA… Wiki iliyopita tuliona ni kwa jinsi gani tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa linavyowasumbua wengi....

READ MORE

Tatizo la mawe kwenye figo (Kidney Stones)

FIGO ni kiungo muhimu katika mwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili, figo...

READ MORE

Uzazi wa mpango unaoepuka, usioepuka kemikali

KUNA njia nyingi za kupanga uzazi salama kwa wanawake. Kwa ujumla kuna njia za aina mbili, ambazo kitaalamu huitwa ni...

READ MORE

Fahamu Madhara Sita ya Kutoa Mimba

KUTOKANA na kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye...

READ MORE

Tatizo la mtoto wa jicho! (cataract)

MTOTO wa jicho kwa lugha nyingine huitwa cataract hutokana na kufanyika kwa ukungu katika lensi ya jicho. Mtu aliye na...

READ MORE

PanAfrican Energy kusaidia watoto wenye saratani Lindi

Kampuni ya uzalishaji gesi ya PanAfrican Energy Tanzania Limited (PAET) imesaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Shirika la kuhudumia watoto...

READ MORE

Mambo ya kufanya na yasiyotakiwa kwa mjamzito

KUWA mjamzito ni kitu cha furaha sana kwa wengina wengine huona kuwa ni mafanikio. Huongeza upendo na furaha. Kwa wachache...

READ MORE

Zijue sababu za mimba kuharibika

MIMBA yenye wiki 28 au chini ya hapo uharibika au kutoka, hali hii kitaalamu inajulikana kama ‘miscarriage’ na kwa kawaida...

READ MORE

Kutokwa uchafu sehemu za siri ni dalili za magonjwa haya

SEHEMU za siri za mwanamke, pamoja na mambo mengine huwa ni njia au kiunganishi baina ya sehemu ya nje za...

READ MORE

Shilole Humwambii Kitu Kwa Mapishi!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa kolamu hii nzuri ya My Style? Hapa kazi ni moja tu; kuzungumza na mastaa...

READ MORE

Ufahamu ugonjwa wa kifua kikuu (Tuberculosis- TB)

UGONJWA wa kifua kikuu kitaalamu huitwa Tuberculosis ambao kwa kifupi ni TB, husababishwa na bakteria wanaojulikana kama Mycobacteria tuberculosis.  Kuna...

READ MORE

Faida za kula karanga ni zaidi ya unavyojua!

SIKU hizi biashara kubwa ya vijana na akina mama ni karanga za kukaanga au mbichi au za kuchemshwa, lakini wengine...

READ MORE

Ugonjwa wa UTI kwa wajawazito -2!

MAAMBUKIZI ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea ambavyo kitaalamu hujulikana kama E. Coli. Vimelea hawa huishi kwenye mfumo...

READ MORE

Hathari za mjamzito kuwa na tatizo la moyo

TATIZO la kufunguka mlango wa kushoto wa moyo unaotenganisha chumba kidogo na kikubwa cha moyo na kuzuia kupita kwa damu...

READ MORE

Uchunguzi: Kansa Sasa Janga La Kitaifa! – 2

DAR ES SALAAM: Wiki iliyopita tulianza kutoa ripoti ya uchunguzi wetu juu ya ugonjwa wa kansa au saratani ambavyo umegusa...

READ MORE

Fahamu tatizo la uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovarian cyst)-2

mada hii ambapo tuliona uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani...

READ MORE

Hatari ya maambukizi ya UTI kwa mjamzito

NJIA ya mkojo inajumuisha figo, mishipa ya figo, kibofu cha mkojo na urethra (mrija ambao hutoa mkojo nje ya mwili). ...

READ MORE

Elewa sababu za mtu kukojoa damu (Haematuria)

UGONJWA wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwa na chembechembe za damu nyekundu (red blood cells), kitaalam huitwa haematuria.  Kukojoa...

READ MORE