×

Amani

UTATA WAIBUKA BETHIDEI YA TIFFAH

DAR ES SALAAM: WAKATI mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitangaza maandalizi ya kufuru ya bethidei ya mwanaye...

READ MORE

WAZEE WA NITUMIE PESA KWA NAMBA HII’… WANASWA

IRINGA: Yawezekana wewe ni kati ya watu ambao walishawahi kutumiwa meseji za kitapeli kutoka kwa watu hao (pichani) ambao huandika...

READ MORE

AUNT ACHARUKA ISHU YA ZARI NA WEMA

MREMBO anayejua kuzitendea haki sini za muvi za Kibongo, Aunt Ezekiel amewacharukia wanaomchokonoa mitandaoni kuhusu kuwa karibu na upande wa...

READ MORE

MAJUTO KUOGA MAMILIONI

GOOD news! Msanii wa vichekesho Bongo, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ anatarajia kuanza kulipwa mamilioni ya fedha kutoka kwa watu walioingia...

READ MORE

Q CHILLAH NI SHULE YA BURE KWA CHID BENZ

NILIPOKUWA kijana mdogo, nikiishi kwenye mitaa wa uswahilini Kirumba mwanzoni mwa miaka ya 2000, mwanamuziki Abubakar Shabaan Katwila ‘Q Chillah’...

READ MORE

UMRI WA UHUSIANO UHESHIMU!

UKIWA huumizwi na historia ni rahisi sana kufanya maamuzi ya ghafla. Watu wa aina hii wapo sana katika jamii yetu,...

READ MORE

HAWA NDIYO MAQUEEN WA…BEN 10 NIZATION!

MOJA kati ya vitu vilivyozoeleka kwenye jamii zetu katika masuala ya uhusiano kati ya mwanaume na mwanamke ni umri.Tumezoea siku...

READ MORE

SKENDO YA PENZI NA DIAMOND… NDOA YA MTANGAZAJI KIMENUKA!

DAR ES SALAAM: KIMENUKA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Profile and Style kinachorushwa kupitia Televisheni...

READ MORE

KAJALA ACHARUKA MWANAYE KUKUZWA UMRI

MSANII mwenye mvuto wa aina yake Bongo Muvi, Kajala Masanja amesema hana muda wa kubishana na watu wa mitandaoni kuhusu...

READ MORE

RAY: NISINGEFANANA NA JADEN, NINGEPATA TABU SANA!

LEGENDARI wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa asingefanana na mwanaye aitwaye Jaden, angetukanwa sana.Akizungumza na Amani juzikati,...

READ MORE

ROSE NDAUKA ACHOMOA KUBANJUKA NA DJ OMMY

MSANII wa filamu Bongo ambaye amepotea kwenye ‘media’ kwa kipindi kirefu, Rose Ndauka amefunguka juu ya tetesi zinazoenea mitandaoni kuhusu...

READ MORE

AUNT AFUNGUKA KURUDIA DERA

STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa siku zote kwenye maisha yake hapendi kuishi maisha ya mitandao na ndiyo...

READ MORE

KIGOGO ANASWA LIVE USIKU, ASEMA “NAOMBA NIPIGWE RISASI”

MOROGORO: “Jamani kwa hii aibu sitaweza kuendelea kuishi, naomba nipigwe tu risasi nife,” hayo ni maneno ya kuonesha kukata tamaa...

READ MORE

ROMA AWAFUNGUKIA WANAOFELISHWA NA NDOA

ALIINGIZA somo la ‘Mathematic’ kwenye ulimwengu wa Muziki wa Hip Hop, mashabiki wakaingia ‘class’ kupiga msuli, akawaita ‘Wanakondoo’ kisha akajitangaza...

READ MORE

UWOYA ANAVYOWAANGUSHA WAZAZI WAKE

MARA nyingi huwa tunaambiwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwa tafsiri nyingine isiyo rasmi ni kwamba, jinsi ulivyo ndivyo mtoto wako...

READ MORE

MTOTO WA MUNA AWATOA MACHOZI MASTAA !

DAR ES SALAAM: Machozi! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mastaa mbalimbali wa filamu na wadau akiwemo mtangazaji Zamaradi Mketema kujikuta...

READ MORE

ANACHOKIFANYA SANCHI NA MBWA

MWANAMITINDO maarufu ndani na nje ya nchi, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa siku za hivi karibuni amekuwa akitumia muda wake...

READ MORE

DIAMOND ATIBUA NDOA YA ZARI, MAULID KITENGE

DAR ES SALAAM: Imevuja! Baada ya hivi karibuni picha mbalimbali zikimuonesha Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha EFM, Maulid Kitenge...

READ MORE

TUNDA…’LIFESTYLE’ YAKE INAACHA MASWALI MILIONI

MAISHA ya muuza nyago kwenye video za Kibongo, Tunda kwa mashabiki au watu wanaomfuatilia ni sanaa, halafu wakati huohuo ni...

READ MORE

ALIYETOKA KIMAPENZI NA DIAMOND, AGAWA MAHABA KWA MBWA

DAR ES SALAAM: Skendo! Video Queen maarufu Bongo, Irene Charles ‘Lynn’ ameingia kwenye skendo nzito baada ya kuachia video zake...

READ MORE

Wawanawake Wazuri Hawafai Kuolewa?

 UNA dhana ipo hususan kwa wanaume wengi kwamba, wanawake wengi wazuri hawafai kuolewa. Wanaishibisha hoja yao kwa kutoa mifano, kwamba...

READ MORE

Ukweli Kitenge Kumuoa Zari

DAR ES SALAAM: Kama ulisikiasikia minong’ono na kuona picha kwenye mitandao ya kijamii bila kujua ukweli wa ishu ya mtangazaji...

READ MORE

Tajiri Aliyedaiwa Kuuawa na Nyumba Ndogo Giza Nene

NI Majonzi! Ndilo neno pekee unaloweza kulitamka kufuatia kifo cha tajiri mmoja aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Exaud Makyao ambaye...

READ MORE

KESI YA BABU TALE NGOMA NZITO

DAR ES SALAAM: KESI inayomkabili Mkurugenzi wa Tip Top Connection, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ dhidi ya Shehe Salum Mbonde bado...

READ MORE

Hamisa: Mimi, Mimba Tena? Si Ingetoka!

MWANAMITINDO maarufu na mzazi mwenziye mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa hana ujauzito kama watu wanavyoeneza uvumi huo...

READ MORE

MENEJA: WEMA HAKUKATWA UTUMBO

MENEJA wa muigizaji Wema Sepetu, Neema Ndepanya amefungukia madai ya msanii wake kukatwa utumbo nchini India ili kujipunguza mwili kuwa...

READ MORE

YAMEMKUTA! Kilichompata Njemba Huyu, Hatasahau

DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Ndivyo unavyoweza kusema. Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Rama, Jumatatu iliyopita alijikuta akilamba kibano ‘hevi’...

READ MORE

Tessy: Kwa Aslay Kama Ipoipo tu!

MZAZI mwenzake staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’, Tessy Chocolate amefunguka kuwa kama imepagwa aoane na msanii huyo...

READ MORE

STEVE NYERERE Achomoa Kumuoa Wellu

KITENDO cha msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kuzaa na mwigizajimwenzake Wellu Sengo hakimaanishi kwamba ni lazima amuoe,...

READ MORE

MJAMZITO AWALAANI MADAKTARI AKIKATA ROHO!

DAR ES SALAAM: Binadamu anapofariki dunia akiwa na kinyongo na mtu huku akimwachia maneno yamtakiayo mabaya, wahenga waliita hali hiyo...

READ MORE

Dude Aanika Siri Nzito na Mkewe!

MKALI wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kuwa, kitu kikubwa kilichomfanya adumu miaka mingi na mkewe Eva ni...

READ MORE

ODAMA Ajitapa Kuwa Msanii Bora Bongo

MSANII wa filamu Bongo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya J-Film 4 Life, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amejitapa kuwa yeye...

READ MORE

Mazishi ya MARIA na CONSOLATA; Iringa yazizima, ni vilio kila kona

IRINGA: PACHA walioungana Maria na Consolata Mwakikuti waliofariki dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Rufaa Iringa, wameifanya Iringa nzima kuzizima...

READ MORE

Aslay Afungukia Maisha Yake ya Starehe, Penzi la Nandy

NI kijana wa Temeke, alianza kufahamika mwaka 2011 baada ya kutoa ngoma iitwayo Nakusema, alitamba pia akiwa chini ya Band...

READ MORE

Huwezi Kufanikiwa Penzini Bila ‘Mishale’, Ipokee Kadiri Uwezavyo!

UNAPO-MUONA mtu amefanikiwa kwenye uhusiano wake, amefunga ndoa na mwenza wake na kufanya sherehe, akili ya harakaharaka inaweza kukutuma uamini...

READ MORE

Wastara Akosolewa Kujianika Ramadhani

MREMBO mkongwe wa Bongo Movies, Wastara Juma, amekosolewa kwa kitendo chake cha kujianika mitandaoni akiwa ameshikilia tasbii anaswali.   Licha...

READ MORE

JB Azua Gumzo Kupukutika Mwili

MKALI wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amezua gumzo la aina yake baada ya kutupia picha mpya mtandaoni inayomuonesha...

READ MORE

MAWIGI Awachana Wanaomshobokea Diamond

MSANII wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi ameibuka na kuwatolea povu wanawake wanaomshobokea kimapenzi mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

Afariki, Azikwa, Arudi Nyumbani

ARUSHA: Hali ya taharuki imewakumba wakazi wa Kijiji cha Leto-Mamsera, Kata ya Makidi, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kufuatia tukio...

READ MORE

Siri Gari Jipya la Diamond Yafichuka

DAR ES SALAAM: Lile gari jipya la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aina ya Land Cruiser, ambalo limedaiwa...

READ MORE