×

Burudani

Uwoya: Naye Ahofia Nyakunyaku!

lpKUMBE siyo Zari tu anayeogopa nyakunyaku! Hebu msikie staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya, naye anasema ni jambo la...

READ MORE

Mama wa Sanchi Wala Hamaindi

WAKATI mwanaye akizua mjadala kama wote mtandaoni kuwa anakaa nusu utupu kutokana na vivazi vyake, mama mzazi wa modo mwenye...

READ MORE

Utata Msanii Beka Kuungwa Freemason!

DAR ES SALAAM: Utata mkubwa umeibuka juu ya picha zilizosambaa wikiendi iliyopita zikimuonesha msanii wa Bongo Fleva, Bakari Katuti ‘Beka...

READ MORE

Wema: Sehemu ya Kuzikwa ni Palepale

KWELI mambo ni mengi muda mchache! Staa wa Bongo Movies asiyechuja, Wema Isaac Sepetu amekumbushia kuwa sehemu atakayozikwa ni palepale...

READ MORE

Lil Nas X Na Cardi B Wameshitakiwa Kwa Kuiba Wimbo

Lil Nas X na Cardi B wameshitakiwa na prodyuza Brandon Lee, ambaye anasema wimbo wao ‘Rodeo’ ni mfano wa kazi...

READ MORE

Sarkodie Aweka Historia Tuzo za BET HipHop

RAPA kutoka nchini Ghana Sarkodie amefanikiwa kushinda tuzo za B ET HIPHOP 2019 kama “Best International Flow”. Rapa huyo ameweka...

READ MORE

Meninah Aibu Yake!

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Utajiri wa mastaa, Shilole akimbiza mwizi kimya kimya

UTAJIRI wa mastaa mbalimbali Bongo unazidi kukua kila kukicha ambapo mwanamuziki anayetamba na ngoma ya ‘Nikagongee,’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ naye...

READ MORE

Shilole: Rostam Wakileta Mimi Naweka

WAKILETA naweka! Ndivyo aliyosema staa wa Muziki wa Mduara, Shilole ikiwa imepita wiki chache tangu itoke Ngoma ya Kijiwe Nongwa...

READ MORE

Mbosso Atoboa Siri ya Kubaki WCB

WAKATI memba mwenzao wa Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Harmonize akidaiwa kuondoka lebo hiyo, mkali wa Bongo Fleva, Mbosso ametoboa siri...

READ MORE

Aunty Lulu acharuka Bondi kuoa!

BAADA ya hivi karibuni mwigizaji wa filamu za Kibongo, Bondi Suleiman kufunga ndoa na mwanamama raia wa Burundi, Charlote Rafael,...

READ MORE

Lynn asema hakuna mwanaume wankumuacha

MREMBO anayetamba kwa sasa na wimbo wake mpya wa Pepea, Irene Louis ‘Lyyn’ kwa mara ya kwanza amefunguka mambo mengi...

READ MORE

Kuna wakati Ebitoke alilia mwenyewe!

UNAFIKIRI kupanda Mlima Kilimanjaro ni kazi lelemama? Sasa taarifa ikufikie kuwa komediani mkali Bongo, Annastazia Exvery ‘Ebitoke’, amejikuta akilia peke...

READ MORE

Harmo Apiga Bao Lingine!

DAR ES SAAAM: Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ anaendelea kung’ara kila kona na sasa amepiga bao lingine la...

READ MORE

Diamond aibua mjadala kuoa wake 3!

DAR ES SALAAM: Kumewaka moto! Muda mfupi baada ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa staa grade one kunako Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

Kwa Nini LYNN Asilindwe?

BAADA ya minong’ono ya hapa na pale kumhusu msanii wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lynn’ kutinga na mabaunsa wanne kwenye...

READ MORE

Harmo, Zari Mambo Hadharani

YAPATA zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu ilipofahamika rasmi kwamba, supastaa wa Bongo Fleva; Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’, amejitoa kwenye...

READ MORE

Msanii Apenyeza Bongo Fleva Australia

Msanii wa Bongo Fleva, Simon Masanja ‘Simorix The General’ ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Australia ameanza rasmi harakati za kuupenyeza...

READ MORE

R. Kelly Ashtakiwa Kwa Kuvunja Ndoa

NCHINI Marekani Bwana mmoja anayejulikana kwa jina la Kenny Bryant amefungua mashtaka katika mahaka ya Mississip amedai kuwa mwanamuziki R....

READ MORE

Baada Ya Kuachana Na Travis Scott, Kylie Jenner Arudi Kwa Tyga

Baada ya siku chache kuenea kwa taarifa kuwa Kylie Jenner kuachana na mpenzi wake, Travis Scott sasa inasemekana kuwa amerudiana...

READ MORE

Mwana FA Afika Kileleni Mlima Kilimanjaro

  WASANII Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’ wameweka rekodi baada ya kuwa wasanii pekee ambao wamefanikiwa kufika...

READ MORE

Mama D Hataki Kufia Leba!

UMEINYAKA hii? Kama bado basi taarifa ikufikie kuwa, mama mzaa chema wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Ben Pol Ahaha Kunusuru Ndoa

MRITHI wa mali ya Kampuni ya Keroche Breweries nchini Kenya, Anerlisa Muigai amefichua kuwa mpenzi wake, mwana-muziki, Ben Pol, anataka...

READ MORE

Mboni Kuanika Ndoa Yake

BAADA ya kukaa kimya kwa muda huku yakisemwa mengi kuhusu ndoa yake, mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba...

READ MORE

Mastaa Kumkacha Duma; ni Chuki, Wivu au Roho Mbaya?

MOJA kati ya vitu vilivyokuwa vikiwatafuna sana wasanii wa Bongo Muvi ni chuki, wivu, roho mbaya na ushirikina. Kwa nyakati...

READ MORE

Lynn: Ninachomisi kwa Mondi ni wivu

MREMBO aliyewahi kubanjuka penzini na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Irene Hillary ‘Lynn’ ameweka wazi kuwa, kitu pekee...

READ MORE

Amber Rutty: Muziki Unaniweka Mjini

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mascat Abou-bakary ‘Am-ber Ru-tty’ amefu-nguka kuwa kwa sasa muziki unamuweka mjini kwani amekuwa akipata shoo kibao....

READ MORE

Riyama: Tusipopata mtoto, tutalea yatima!

STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amesema bado ana matumaini ya kupata mtoto na mumewe Leo Mysterio na hata...

READ MORE

R Kelly Anyimwa Dhamana Arudishwa Rumande

MWANAMUZIKI mkongwe wa miondoko ya Pop Bwana Robert Kelly “RKelly” baada ya kukaa rumande kwa wiki kadhaa sasa amenyimwa  dhamana...

READ MORE

Ngoma Ya Chris Brown Na Drake Yaingia Top 5 Ya Chart Za Billboard Hot 100

STAA wa muziki nchini Marekani Chris Brown ni muda mrefu ajaingia kwenye top 5 ya chart za Billboard Hot 100,...

READ MORE

Undani wa Wema Sepetu Kuzimia Ghafla Usiku

AFYA ya staa mkubwa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ haiku sawa, Risasi Mchanganyiko lina undani wa matukio yake ya kuzimia...

READ MORE

Boss Martha Aibua ‘Vilio’ Upya

ZIKIWA zimepita takribani wiki tatu tangu Tasnia ya Uigizaji (Vichekesho) Bongo kupata pigo kwa kuondokewa na Martha Shilole ‘Boss Martha’,...

READ MORE

Lyyn Atambulisha Nyimbo 2 Bongo 255 Ya Global Radio

VIDEO Queen Bongo, Irene Godfrey Louis ‘Lyyn’ leo Jumatano Oktoba 2, 2019 amefika katika mjengo wa Global Group kwa ajili...

READ MORE

Producer wa Kimataifa Aliyefanya Kazi na Whozu, Mabantu Kaachia Dude

MSANII maarufu nchini SWITZERLAND, Fame Luck ameachia albamu yake mpya hivi karibuni iitwayo Here I Am ambayo imkuwa ikifanya vizuri...

READ MORE

Samatta kutupa karata ya pili Klabu Bingwa Ulaya leo

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta, usiku wa leo akiwa na klabu yake ya KRC Genk anatarajiwa...

READ MORE

Harmonize Apata Shavu Tanzanite

BAHATI inamnyookea! Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ amepata shavu la kutangaza madini ya Tanzanite.   Akizungumza...

READ MORE

Kuna Ulazima wa Ulinzi Huu au ni Show Off?

MIAKA ya nyuma wakati Bongo Fleva inaanza kushika kasi, wasanii hawakuwa na makuzi sana.  Mambo ya kulindwalindwa hayakuwepo kivile. Ilikuwa...

READ MORE

Anayedaiwa King Bae wa Zari Avunja Ukimya

MIONGONI mwa watu wanaotafutwa (most searched) kwenye mitandao ya kijamii Kibongobongo ni pamoja na mtu anayetajwa kwa jina la King...

READ MORE

Zawadi za Bethidei Yake… Zengwe Magari 2 ya Wema

HUKO mitandaoni kumechafuka! Watu wanajadili hayo magari mapya mawili ambayo mwigizaji Wema Isaac Sepetu, wengi waliamini alizawadiwa kwenye bethidei yake,...

READ MORE