×

Burudani

Sajenti: Simlambi mwanaume miguu matumizi ya mwanae

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Husna Idd ‘Sajenti’ amesema kuwa kamwe kitu ambacho hawezi kukifanya ni ‘kumlamba miguu’ mwanaume ambaye amezaa...

READ MORE

MENEJA WA HARMONIZE APASUA JIPU

WAKATI madai yakiendelea kuwaka moto kwa memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’ kujitoa kwenye...

READ MORE

Chemical atambulisha Kagoma kwa mauno, amtaja Godzilla

MWANADADA anayetikisa katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’ ametambulisha ngoma yake mpya ya Kagoma huku akimwaga mauno...

READ MORE

WOLPER Akoma Kutoa Penzi Kwa Masikini – VIDEO

MUIGIZAJI mwenye mashine zake za kushona nguo mjini, Jacqueline Wolper ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kamwe hawezi...

READ MORE

VIDEO: Shilole Amchana Diamond Hadharani, Aonyesha Jeuri ya Pesa

MAMA Ntilie mwenye pesa zake mjini ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Shilole ‘Shishi Baby’, ...

READ MORE

Ray: Nazaa tena na Chuchu

MUIGIZAJI kitambo wa filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘ Ray’ amefunguka kuwa anataka kuzaa tena na muigizaji mwenzake, Chuchu Hansy mtoto mwingine. ...

READ MORE

VIDEO: Diamond Azindua Ngoma Mpya na Rommy Mlimani City!

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, usiku wa kuamkia leo amezindua ngoma yake ya ‘Rotate’ aliyoshirikiana na  Rommy Jons ambayo...

READ MORE

Video: Rayvanny Ampongeza DJ wa Diamond

MWANAMUZIKI Kutoka WCB, Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvanny’,  amempongeza DJ wa Diamond, RJ the DJ, kwa hatua kubwa aliyopiga ya kufikia...

READ MORE

VIDEO: MAMA MONDI AKANUSHA MWANAYE KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

MAMA wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platinumz, anayefahamika kwa jina la Bi Sandra (Sandura...

READ MORE

VEE MONEY ANAZIDI KUIPELEKA BONGO FLEVA KIMATAIFA

UKIFIKA katika Jiji la New York kuna jarida moja maarufu la urembo na mitindo linalotoka kila mwezi ambalo ndani yake...

READ MORE

Amberr Washington Atua Global, Kutoa Fursa Kwa Vijana (Picha + Video)

PRODYUZA ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Tuzo za Hollywood and African Prestigious (HAPA) kutoka Marekani, Amberr Washington,  ametua...

READ MORE

MOBETO NDANI YA DAR LIVE

NAJUA ulikuwa ukijiuliza sana eti mbona shoo za mwanamitindo na msanii mpya wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto huzioni! Jibu hili...

READ MORE

MONDI AMUUMBUA ZARI UGANDA!

MAMBO ni moto! Bado ‘muvi’ la zilipendwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ linazidi kutikisa...

READ MORE

VIDEO: BAJETI YA SIMBA DAY NI MARA MBILI YA MSIMU ULIOPITA

UONGOZI wa Simba umesema kuwa bajeti yao msimu huu kuelekea siku ya Simba day ni moto wa kuotea mbali kwani...

READ MORE

KENDRICK LAMAR APATA MTOTO WA KWANZA

RAPA kutoka pande za Marekani, Kendrick Lamar,  amefanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza mwezi huu baada ya kuficha siri katika...

READ MORE

WEMA AFICHUA SIRI YA MAISHA YAKE

WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya, amefichua siri nyuma ya maisha yake, Ijumaa Wikienda linakudokeza.  Katika mahojiano maalum na Gazeti...

READ MORE

MARIOO ANAVYOPINDUA BONGO FLEVA

MUZIKI ni ajira lakini pia ni biashara kubwa ndiyo maana nchini Nigeria wanaichukulia ‘serious’ tofauti na wengi wanavyoiona!  Kila mwaka...

READ MORE

Kazi ya Baa Imempa Funzo Ebitoke – VIDEO

 ZANZIBAR: Mwigizaji maarufu wa vichekesho Bongo, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema kazi ya kuuza baa imemfundisha vitu vingi hasa kwenye...

READ MORE

Uwoya ni Bata Kwa Kwenda Mbele -Video

ZANZIBAR: Staa ambaye kila kukicha anaibuka na jipya, Irene Uwoya amewaasa watu kuachana na stress zisiso na msingi badala yake...

READ MORE

Johari Hajawahi Kumnyima Chuchu Usingizi – VIDEO

ZANZIBAR Mwanamama kunako Bongo Muvi, Chuchu Hans, kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa, hajawahi kutikiswa na mwigizaji mwenzake, Blandina Chagula...

READ MORE

VIDEO: MWANZA Yazizima Shoo Ya DIAMOND Wasafi FESTIVAL 2019

 USIKU wa kuamkia leo Julai 22, 2019 staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefanya shoo ya aina yake kwenye...

READ MORE

VIDEO: HARMONIZE AIBUKA NA SURPRISE STEJINI MWANZA!

 Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kutoka WCB, Harmonize A.k.a Konde Boy, amefanya maangamizi ya kufa MTU katika tamasha la Wasafi...

READ MORE

SIWEMA: UTOTO ULINITOA KWENYE MSTARI!

MWANADADA mjasiriamali ambaye pia ni mzazi mwenza na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amekiri kuwa, kipindi cha...

READ MORE

RAMMY AYAPA KISOGO YALIYOMUUMIZA

MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Rammy Galis amefunguka kuwa kwa sasa ameamua kuyapa kisogo mambo yote yaliyowahi kumuumiza kwenye maisha yake...

READ MORE

HARMONIZE KUJITOA WASAFI GIZA NENE!

DAR ES SALAAM: Ni giza nene! Madai yenye ujazo wa kutosha yanaendelea kutikisa kwamba memba wa Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

MTANGAZAJI WA TIMES FM, LIL OMMY ATAJWA KUWANIA TUZO YA STAR QT

MFALME wa mahojiano Bongo (King Of Interviews), Omary Tambwe maarufu kama Lil Ommy, THE MVP – ametajwa kuwania tuzo kubwa...

READ MORE

Wema Afungukia Ukimya Wake, Atambulisha ‘Wema Sepetu Empire’ (Picha +Video)

  BAADA ya kuwa kimya kwa kipindi, muigizaji ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu,  amefika katika ofisi za ...

READ MORE

MSHTUKO MCHUMBA WA JUX, ADAIWA KUFANYA UPASUAJI MARA 6

DAR ES SALAAM: ACHANA na bata analokula akiwa na staa wa muziki wa RnB Bongo, Juma Khalid ‘Jux’ mara wapo...

READ MORE

WEMA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA LEADERS JULAI 27, 2019

  MSANII wa filamu nchini, Wema Sepetu ameamua kusaka vipaji vya waigizaji kwa njia ya usaili utakaofanyika Julai 27, 2019...

READ MORE

CAREEN ATASUUZIKA AKIMNASA CHRISTIAN BELLA

Msanii anayekuja vizuri kwenye Bongo Fleva, Careen Gardner ‘Malkia Careen’ amefunguka kuwa roho yake itatulia kama atafanya kazi na mwanamuziki...

READ MORE

MUNA AFUNGUKA MADAI YA KUTOKA NA MBASHA!

Baada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, mwanamuziki Rose alphonce ‘Muna Love’ kwa mara...

READ MORE

TECNO NA TIGO  WATAMBULISHA RASMI PHANTOM 9

Kampuni maarufu ya simu nchini TECNO ikishirikiana na TIGO imezindua rasmi simu yao kubwa ya TECNO Phantom 9 ikiwa ni...

READ MORE

CASTO AWASHUKIA TUNDA, WHOZU!

MTANGAZAJI wa Clouds TV, Casto Dickson ameibuka na kuwavaa aliyekuwa mpenzi wake; Tunda na jamaa wake wa sasa Whozu kuwa...

READ MORE

 FAYMA AFUNGUKIA NDOA YAKE NA RAYVANNY

NI mrembo hasa lakini sifa kubwa ambayo inamfanya aendelee kuonekana mrembo kila kukicha ni heshima na upendo wa dhati alionao...

READ MORE

Mimi Mars: Mahusiano ya Vanessa na Jux Yamenipa Funzo (Picha + Video)

MSANII wa kike anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Mimi Mars, Jumatano, Julai 24, 2019,  amefanya mahojiano na kipindi cha BONGO...

READ MORE

GIGY AWAKA KISA MPENZI WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amewaka vibaya kwamba watu waache kufuatilia maisha yake na badala yake wafanye...

READ MORE

GAUNI LAMTOA NISHAI UWOYA

SIKU chache baada ya staa wa sinema za Kibongo, lrene Uwoya kuingia kwenye sekeseke la kuwatupia pesa waandishi wa habari na...

READ MORE

BABY J ADAI ESMA KABEBA MZIGO MZITO WA DHAMBI

MwanaMuziki maarufu visiwani zanzibar, Jamila Abdalah ‘Baby J’ amefunguka kuwa anachokiamini ni kwamba dada wa msanii wa Bongo Fleva, nasibu...

READ MORE

MONDI KUPIGA BILIONI 3 SIKU 150

HARUFU ya ubilionea imeanza kumnyemelea staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya shoo zake kuonesha...

READ MORE

LYNN AKIRI KUTOKA USWAHILINI NA KUTOBOA

VIDEO vixen ambaye kwa sasa amejiingiza kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Irene Louse ‘Lynn’ amekiri kutoka maisha ya uswahilini na...

READ MORE