×

Burudani

KIM WA MONDI ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

MAJANGA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo Lilian Kessy ‘Kim Nana’ kudaiwa kufukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Sinza-Mori jijini...

READ MORE

MAMA TANASHA AZUIA NDOA YA MONDI NA MWANAYE

Achana na sababu alizowahi kuzitoa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ juu ya kuahirisha ndoa yake na Tanasha Donna Oketch, lakini...

READ MORE

BREAKING NEWS: WEMA APATA DHAMANA, MAHAKAMA YAMUONYA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Jumatatu, Juni 24, 2019 imemwachia kwa dhamana Malkia wa Filamu Bongo, Wema Sepetu,  baada...

READ MORE

TRACY AMENIPA FURAHA YA MOYO WANGU !

Mambo vipi mpenzi msomaji wa safu hii uipendayo ya staa na familia? kama ilivyo kawaida kazi yake ni kuwafikia mastaa...

READ MORE

Mapenzi Yampoteza Mazima Pretty Kind

Mwigizaji wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ ameibuka na kueleza sababu ya kupotea mazima kwenye ulimwengu wa...

READ MORE

Idris Anataka Watu Waache Unafiki

Komedianii matata Bongo ambaye ni mshindi wa Shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan amewafungukia baadhi ya watu wanaowaposti...

READ MORE

HARMONIZE AWEKA REKODI KWA WAZAZI

 STAA grade one wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ameweka rekodi kwa kuwanunulia wazazi wake magari mapya na kuwafunika mastaa...

READ MORE

Mnaomsema Sanchi ni Wivu Tu

Modo maarufu Bongo (sociallite) Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema watu wanaomsema kuwa ana miguu mibaya ni wivu tu unawasumbua.   Akizungumza...

READ MORE

Mnaomsubilia Wolper Mmefeli

MKali wa sinema kunako Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe ametoa povu kwa wale wanaosubiria kwenye peji yake ya instagram kuona...

READ MORE

Poshy Queen Afunguka Safari Yake Ya Bunge, Dodoma

SIKU chache baada ya picha zake kusambaa akionekana akirandaranda na wabunge tofauti kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma huku kukiwa...

READ MORE

WEMA AMKOSESHA RAHA AUNT EZEKIEL

Leo staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Tanzania Sweetheart’ anatimiza siku ya tano akiwa mahabusu katika Gereza la Segerea...

READ MORE

VANESSA ATHIBITISHA KUACHA NA JUX

MWANAMUZIKI anaefanya vizuri na ngoma ”Thats For Me”  Vanessa Mdee leo Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye instastory  amethibitisha rasmi...

READ MORE

Christian Bella Sikurupuki Kutoa Nyimbo

  BAADA ya ukimya wa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mwanamuziki wa Dansi, Christian Bella ameibuka na kueleza sababu...

READ MORE

BELLA SIKURUPUKI KUTOA NYIMBO

BAADA ya ukimya wa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mwanamuziki wa Dansi, Christian Bella ameibuka na kueleza sababu kuwa...

READ MORE

CALISAH NAPENDA KUVAA MITUMBA, SIVAI NGUO ZA KARIAKOO

NI siku nyingine tena tunakutana katika safu hii ya My Style ambayo inazungumzia mastaa mbalimbali na kueleza maisha yao ya...

READ MORE

Mchumba wa Ben Pol avuta ndinga jingine

LICHA ya kuonekana na magari mengi ya kifahari, mchumba wa staa wa Bongo Fleva, BenPol, Anerlisa Muigai amevuta ndinga mpya...

READ MORE

Kings Music wafungukia kiki, kutambulisha uno kisirani

MUDA mfupi baada ya kutinga katika studio za +255 Global Radiozilizopo Sinza-Mori jijini Dar, wakali wanaounda Kundi la Kings Music...

READ MORE

JE? UNA KIPAJI CHA KUIMBA, USAILI UNAFANYIKA LEO

Je una Kipaji cha KUIMBA KAMA Captain John Komba Usajili wa Uinbaji na upigaji wa aka za muziki. TAREHE: 22...

READ MORE

Gigy Money acharuka kuhusu mwanaye

  BAADA ya kuvuja video ikimuonesha akicheza na mwanaye, Mayra huku mashabiki wakimjia juu kuwa anamharibu, msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Baghdad Aeleza alivyomtoa Nandy, Rayvanny na Whozu

RAPA tishio Bongo, Praygod Kweka ‘Baghdad’ ameeleza namna alivyokutana na mastaa wa Bongo Fleva na kuwatoa kimuziki kipindi wakiwa hawajulikani....

READ MORE

Vee Money: Siwezi kumzuia mtu juu ya Jux

AKIWA bado anaandamwa katika mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuvunjika kwa uhusiano wake na msanii mwenzake, Juma Khalid ‘Jux’,...

READ MORE

TID Yamkuta Mazito, Apata Kichapo – Full Video

MSANII wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’, jana aliposti picha kwenye ukarasa wake wa Instagram ikimuonyesha akiwa na uvimbe na...

READ MORE

AUNT SINA PAPARA NA NDOA, NAKULA UJANA !

AUNT Ezekiel amesema kwa sasa hana mpango wa kufunga ndoa na mpenzi wake mpya kwani anakula ujana kwanza.  Aunt ambaye...

READ MORE

Amber Lulu awataja mastaa walioshangaa uwezo wake

WIKI imekuwa ya neema kwa msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago katika video hizo, Lulu Euggen ‘Amber...

READ MORE

ALBUM YA DJ KHALED YAZIDI KUFANYA VIZURI KIMAUZO

MUANDAAJI wa muziki Marekani, DJ Khaled,  Album yake ya Father of Asahd imefanikiwa kuuza zaidi ya kopi laki tano na...

READ MORE

FAMILIA YA NIPSEY HUSSLE YADAI HAKI MALEZI YA MTOTO

FAMILIA ya marehemu rapa Nipsey Hussle inaendelea kudai haki za malezi ya mtoto wake wa kike Emani, 10, wakidai mama...

READ MORE

SHILOLE: SIJAINGIA KWENYE NDOA KUCHEZA MDUARA!

MWANAMUZIKI wa mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, watu wasimfikirie ameamua kuingia kwenye ndoa kama maonesho, bali amedhamiria kwenda...

READ MORE

POSH QUEEN, PROF JAY GUMZO!

PICHA waliyopiga mwanamitindo Jacqueline Obed ‘Posh Queen’ na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof Jay’ imezua gumzo ile mbaya huko...

READ MORE

HIVI NDIVYO RAYVANNY ANAVYOMUONA FAHYMA

Mwanamuziki mahiri kutoka Kundi la WCB, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amesema kuwa mpenzi wake ambaye pia amezaa naye motto mmoja Fahyma,...

READ MORE

RAMMY, JINA LA KANUMBA FEKI LILINIHARIBU KISAIKOLOJIA

Muigizaji mahiri wa kiume wa Bongo Muvi, Rammy Gallis, amesema kuwa hakuna kitu kilichokuwa kikimuharibu kisaikolojia akilia mara kwa mara...

READ MORE

Pierre Liquid Kuambatana na Wabunge 40 AFCON Misri

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema wabunge 48 watakwenda kuishangilia timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) katika...

READ MORE

DJ KHALED AWABURUZA MAHAKAMANI BILLBOARD

MUANDAAJI wa muziki nchini Marekani, DJ Khaled, ametumia kiasi cha ($5 million) sawa na TZS Bilioni 11 kuandaa album yake...

READ MORE

Juma Sharobaro Atamani Kumshirikisha Dogo Janja – Video

BONGO Fleva imenoga! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya raia wa kigeni kuonesha makeke yao! Wakati Msambaa wa Norway, Igrid Fossum ‘Makihiyo’akikamua katika...

READ MORE

POSHY WALA HAJAVIMBA KICHWA

Sexy lady anayetingisha kunako mitandao ya kijamii kutokana na umbo lake matata la kiuno cha nyigu, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’...

READ MORE

UTAJIRI MCHUMBA WA BEN POL USIPIME

DAR ES SALAAM: Kama ulikuwa hujui, habari ikufikie kwamba, mchumba wa staa mwingine wa Bongo Fleva, Benard Michael Paul Mnyang’anga...

READ MORE

SANCHI ANAANGALIA MAHABA ZAIDI

Modo mwenye jina kubwa ndani na nje ya Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ameweka wazi kuwa, mwanaume ambaye atamuoa haangalii anatoa...

READ MORE

TIFFAH AMRUSHA ROHO BABA YAKE

 DAR ES SALAAM: Watoto wawili ambao ni uzao wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama mwenye...

READ MORE