×


FacebookBurudani


No Picture

Wizkid Awakubali Diamond, Kiba

Wizkid. Mkali wa muziki toka Naija anayetamba kwa kibao chake cha Ojuelegba, Wizkid ameonesha kuwakubali wanamuziki kutoka Tanzania ambao ni Diamond Platnumz na Ali Kiba…

SOMA ZAIDI
Selena Gomez awa Kivutio Utoaji wa Tuzo

Mwimbaji Selena Gomez. Los Angeles, Marekani MWIMBAJI Selena Gomez juzi aliibuka kwenye utoaji wa tuzo za filamu na kuwa kivutio kikubwa kutokana na gauni alilokuwa amevaa.Selena…

SOMA ZAIDI

Diamond amzawadia gari Queen Darleen

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha…

SOMA ZAIDI


Bethidei ya Wema Kufuru!

Mkurugenzi  wa Endless Fame, Wema Sepetu akiwa amesimama mbele ya meza iliyokuwa imesheheni keki alizokuwa amendaliwa katika sherehe ya kuadhimisha   siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia…

SOMA ZAIDI


Dar Musica yazinduliwa kwa kishindo

Prezidaa wa Dar Musica, Jado Field Force akionesha ubora wake kazini. Vimwana wa Dar Musica katika pozi baada ya kushuka jukwaani. Mashabiki wakijimwaya. Wanenguaji wakifanya…

SOMA ZAIDI

Wizkid alivyopagawisha Dar

Wizkid akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kwenye Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo. Akizidi kuwarusha mashabiki. Diamond Platnumz naye akinogesha onyesho hilo.  …Akinengua na…

SOMA ZAIDI

Global TV Online: Wizkid Live in Dar

MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid ametua nchini usiku huu tayari kwa onyesho lake litakalofanyika hapo baadaye kwenye Viwanja vya…

SOMA ZAIDI

Davido: Filamu sasa, mwiko kwangu!

Lagos, Nigeria STAA wa Pop nchini Nigeria anayetamba na Wimbo wa Dodo, Davido, ameweka wazi msimamo wake wa kutotaka kuigiza filamu tena. Hivi karibuni staa…

SOMA ZAIDI

No Picture

Coutinho awekwa sokoni

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Khadija Mngwai na Said Ally MAISHA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, ndani ya kikosi hicho…

SOMA ZAIDI

No Picture

Yondani, Tambwe wazua hofu Yanga

Mshambuliaji wa Yanga Hamis Tambwe. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam HOFU kubwa imetanda ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na hivi karibuni kukumbwa na wimbi la…

SOMA ZAIDI


No Picture

Simba yaleta straika zaidi ya Ngoma

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Nicodemus Jonas na Issa Mnally SIMBA ilimsajili Msenegali, Pape N’daw ilimradi tu kutimiza idadi ya…

SOMA ZAIDI


Nicki, Meek wadaiwa kuandaa ndoa kwa siri

NEW YORK, Marekani MASTAA Nicki Minaj na laazizi wake Meek huenda wakafunga ndoa wiki hii baada ya mtu wa karibu na Meek kufunguka kuwa mishe za shughuli hiyo zimeanza kwa siri. Akisambaza umbea kwenye mtandao mmoja wa habari za mastaa, sosi huyo alisema…

SOMA ZAIDI

Wimbo wa Sorry wa Chris Brown waibua maswali!

NEW YORK, Marekani WIMBO wa hivi karibuni alioutoa Mwanamuziki Rick Ross akimshirikisha Chris Brown unaokwenda kwa jina la Sorry, umeibua maswali kutokana na mashairi yake kuwagusa wapenzi wa zamani wa Chris,…

SOMA ZAIDI

No Picture

Maguli: Bora Yanga, Simba hapana

Straika wa Stand United, Elius Maguli. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam STRAIKA wa Stand United, Elius Maguli ambaye amekuwa na kasi nzuri katika ufungaji, amejinadi…

SOMA ZAIDI


No Picture

Pape N’daw mchawi

Mshambuliaji wa Simba, Pape N’daw. KWA mujibu wa kamusi kadhaa za Kiswahili, neno ‘uchawi’ ni ufundi wa kutumia dawa au vitabu maalum vya uganga ili…

SOMA ZAIDI
Sarkodie mfalme wa Hip Hop Afrika

Mkali wa Hip Hop Ghana, Sarkodie. Boniphace Ngumije UWEZO ndiyo kigezo kikubwa kilichompa heshima Sarkodie kwenye medani ya muziki wa Hip Hop Afrika ambapo tofauti na…

SOMA ZAIDI

Tyga ‘ashambuliwa’ na Amber Rose

Staa wa Hip Hop, Michael Ray Nguyea’n-Stevenson ‘Tyga. New York, Marekani STAA wa Hip Hop, Michael Ray Nguyea’n-Stevenson ‘Tyga juzi kati ‘ameshambuliwa’ kwa maneno na mwanamitindo…

SOMA ZAIDI