×

Burudani

 Tuzo za Grammy, Kesho New York Patawaka

  USIKU wa kesho ni wa kihistoria kwenye tasnia ya muziki duniani ambapo jijini New York, Marekani kwenye Ukumbi wa...

READ MORE

Lulu Diva Jeuri Hii Kaipata Wapi?…Anaishi Kwenye Mjengo wa Kifahari

WAKATI wasanii wengine wakilia njaa kali sambamba na kuwa na maisha ya kawaida, hali ni tofauti kwa msanii wa Bongo...

READ MORE

Roma Adaiwa Kuwatenga Mastaa Wenzake

HITMAKER wa Ngoma ya Zimbabwe, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ anadaiwa kuwatenga mastaa wenzake ambao wamepitia naye katika muziki.   Kwa...

READ MORE

Wema Aingia Matatani Kisa Mashoga

  Mrembo wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amejikuta akiingia matatani kwa kudaiwa ‘kuwafuga’ wanaume wanaodaiwa ‘si riziki’ (mashoga) nyumbani...

READ MORE

Chuchu Afungukia Kumtoboa Sikio Mtoto

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amefungukia madai ya kumtoboa sikio mtoto wao wa kiume Jaden mwenye umri wa...

READ MORE

Iyobo Afunguka Ishu ya Aunt Kumnyima Penzi!

DANSA maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie...

READ MORE

 Dansi Mmepewa Lifti na Babu Seya, Papii, Pigeni honi!

MUZIKI wa Dansi Bongo ulikuwa na nafasi kubwa sana, miaka sita iliyopita. Ulikuwa unapigwa kwenye kumbi mbalimbali za starehe, mashabiki...

READ MORE

Malaika Akiri Kufeli katika Hili

MWIMBAJI anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’, amefunguka kuwa, udhaifu wake mkubwa kwenye maisha ni kusimama...

READ MORE

Vanessa Mdee Aibuka na Tuzo Ya ‘Nyota Wa Mchezo’

Vanessa Mdee amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kupokea Plaque ya ‘Nyota Wa Mchezo’ baada ya kutajwa kama ‘Nyota wa Mchezo’ kwenye vipengele vya BestFemaleAct,...

READ MORE

Pretty Kind Alia Maisha Magumu

BAADA ya kufungiwa kufanya sanaa kwa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kutokana...

READ MORE

Jini Kabula Aanika Siri ya Kunawiri Kwake

BAADA ya mwaka jana kuugua na kwenda kupumzika kwao Mwanza na sasa kuonekana kuwa na hali nzuri, msanii wa filamu...

READ MORE

Dully Sykes kuuburuza mtandao wa simu mahakamani

MKONGWE kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Anthony Wayson ‘Dully Sykes’ ameeleza kuwa anatarajia kuuburuza mahakamani mtandao maarufu wa simu za...

READ MORE

Q Chilla Afunguka Alivyotoweka kwa Siku 3

MARA baada ya kuzua hofu kwa familia pamoja na watu wake wa karibu, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Abou-bakar...

READ MORE

Vee Money Atwaa Tuzo ya Maalum ya NYOTA WA MCHEZO

Vanessa Mdee amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kupokea Plaque ya ‘Nyota Wa Mchezo’ baada ya kutajwa kwenye vipengele vya  #BestFemaleAct #BestPerformer #BestLiveAct #EmergingArtistOfTheYear. Plaque...

READ MORE

Chin Bees, Mganda Bifu Zito!

  MSANII wa Bongo Fleva, Chin Bees amejikuta akiingia kwenye bifu zito na msanii wa Muziki wa Uganda, Fik Fameica...

READ MORE

Baba na Mwana: Miaka 14 Jela si Mchezo

WANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi nchini ambao ni Raia wa DRC, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanae, Papii Kocha...

READ MORE

Amber Lulu Ashtuka Kumwagwa Na Prezzo Wa Kenya

VIDEO Queen anayekuja juu kwenye Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ ameshtuka kusikia mwanamuziki maarufu wa Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’...

READ MORE

Wanaume Tata Wamtolea Udenda Idris

  WANAUME tata wameonekana kumtolea udenda Mshindi wa Shindano la Big Brother ‘Hot Shot’ 2014, Idris Sultan baada ya kuposti...

READ MORE

Kumbe Linah Wala Hashtuki Mwenzenu

BINTI mwenye sauti nyororo, Linah Sanga a.k.a Ndege Mnana amefunguka kuwa haumizwi na wanamuziki wa kike wanaotamba hivi sasa. Akizungumza...

READ MORE

Snura:Usingo Mama Ni Elimu Tosha Ya Duniani

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye miondoko ya mduara, Snura Mushi, ameibuka na kudai kuwa mwanamke anayelea watoto mwenyewe ni elimu tosha...

READ MORE

Sherehe ya Shilole Yasengenywa

  LICHA ya mbwembwe nyingi kwenye sherehe ya harusi ya Mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ iliyofanyika wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa...

READ MORE

Julitha Kabete Kukanyaga Miss World ni Mungu tu!

  MREMBO ambaye aliiwakilisha Tanzania katika mashindo ya Miss World 2017, Julitha Kabete amesema kuwa mpaka kuweza kupata nafasi ya...

READ MORE

Johari Aanika Siri Kifo Cha Mama Yake!

MREMBO wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameanika siri ya kifo cha mama yake kwa kueleza namna ambavyo alipigana...

READ MORE

VANESSA MDEE AGEUKA MACHINGA MLIMANI CITY

    ‘Mtoto mtamu’ katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’ ameshtua na kushangaza wadau na wapenzi...

READ MORE

HEBU CHEKI NGWASUMA ILIVYODATISHA THE JONZ LEO

Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ndani ya Ukumbi wa The Jonz uliopo...

READ MORE

Majirani Wasikitikia Mjengo Wa Mama Lulu

Huyu binti yake Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa gerezani Segerea jijini Dar akitumikia kifungo cha miaka miwili kufuatia kukutwa na hatia...

READ MORE

Mama Uwoya Amtapika Dogo Janja, Wadaiwa Kupachikana Mimba

  Mwisho wa mjadala! Wakati mwanaye akidaiwa kupewa mjamzito, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya,...

READ MORE

Nicole Aingilia Ishu Ya Wastara Kuchangiwa Pesa

MSANII wa filamu Bongo, Nicole Francklyn amewataka wasanii wenzake kuungana na kuendesha kampeni ya kumchangia msanii mwenzao, Wastara Juma kutokana...

READ MORE

VANESSA AJA NA ‘APP’ YA SIMU YA VEE MONEY KWA AJILI YA MASHABIKI

Vanessa Mdee mwanadada anayetikisa soko la mziki nchini Tanzania ameendelea kuwa na wiki ya kihistoria ambayo ilianza kwa kuzindua albamu...

READ MORE

Mastaa Hawa Ushawishi Wao Bongo Ni Noumaaa!

  SIKU zote mafanikio huja popote kutokana na kile ulichokifanya katika jamii. Kampuni ya utafiti ya Avance Media kutoka nchini...

READ MORE

Pretty Kind Aufyata Kwa Waziri

MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kindy’ ambaye siku chache zilizopita alipewa kibano cha kufungiwa asifanye sanaa miezi sita...

READ MORE

Kisa Kumposti Lulu… Kiba Ashambuliwa na Mashabiki

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani  ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth Michael ‘Lulu’, staa...

READ MORE

Batuli: Mastaa Tumrudie Mungu

  MSANII mwenye mvuto Bongo Muvi, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amewasihi wasanii wenzake wajaribu kumrudia Mungu japo mara moja kwa wiki....

READ MORE

Sajent, Dulla Wadaiwa Kumwagana

MSANII wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ ambaye alikuwa kwenye mapenzi motomoto na msanii wa singeli Dulla Makabila, uhusiano wao...

READ MORE

Kiapo Cha Pombe Chadaiwa Kumtesa Johari

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kuteswa na kiapo cha kuacha pombe alichojiwekea huku wambea wakidai anatumia...

READ MORE

Snura Akana Kupigwa Vibuti Penzini

MSANII wa filamu Bongo, Snura Mushi amesema kuwa, japo amekuwa akionekana kulalamika kuhusu masuala ya mapenzi, ukweli ni kwamba kinachomuuma...

READ MORE