×

Burudani

Sanchi Adai Kukaa Nusu Utupu Kumempa Mchumba

MWANAMITINDO Jane Rimoy ‘Sanchi’ ambaye amejizolea umaarufu kutokana na uvaaji wake wa nguo zinazomuonesha akiwa nusu utupu, amefunguka kuwa, pamoja...

READ MORE

Ushosti Wa Shamsa, Aunt Waibua Mambo!

  USHOSTI uliochipuka na kukolea hivi karibuni wa mastaa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel, umeibua mambo...

READ MORE

Waziri Awachukulia Hatua Wasanii Wanaovaa ‘Kihasara’ (Video)

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema serikali inafuatilia kwa karibu wasanii wote wanaoweka picha zisizo...

READ MORE

Pichaz: Wema Sepetu Awateka Mashabiki Wake Upya

SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu leo ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram, zikimuonesha akiwa...

READ MORE

Wazee wa Ngwasuma ni Shida Stejini

Usiku wakuamkia leo bendi ya FM Akademia Wazee wa Ngawasuma ilifanya makamuziki kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar....

READ MORE

Lungi Amshambulia Ray C

BAADA ya msanii wa muziki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kumuandikia ujumbe Rais John Pombe Magufuli kupitia ukurasa wake wa Instagram...

READ MORE

Tiko Aapa Kuweka Historia 2018

MSANII wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan ameibuka na kueleza kuwa ndani ya mwaka huu mpya wa 2018 ni lazima...

READ MORE

Ester Kiama: Wanaume Wa Mtandaoni Kwangu Mwiko

STAA wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ameibuka na kusema kuwa wanaume wa mtandaoni kwake ni mwiko kabisa kwani wamekuwa...

READ MORE

Mesen Ampa Wakati Mgumu Pam D

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amejikuta kwenye wakati mgumu wa kumfariji ndugu yake ambaye pia ni msanii...

READ MORE

Sanchi Adai Posh Queen Ni Cha Mtoto Kwake

MWANAMITINDO Jane Ramoy ‘Sanchi’ ameibuka na kudai kuwa msichana ambaye kwa sasa anatamba kwenye mitandao ya kijamii kutokana na umbo...

READ MORE

Lucy Komba Akubali Kumzalia Mzungu Wake

MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye kipindi cha nyuma aliweka ngumu kumzalia mzungu wake, sasa anadaiwa kuwa kwenye mkakati...

READ MORE

Tunda Kwa Sasa Nipo Tayari Kuwa Mke Wa Mtu!

MUUZA nyago aliyejizolea umaarufu kutokana na vituko vyake, Tunda Sebastian, amefungukia kubadili muonekano wake kuwa, amefanya hivyo ili kukwepa kuonekana...

READ MORE

Jennifer wa Kanumba Akacha Kuigiza

MSANII ‘mtoto’ katika tasnia ya uigizaji nchini, Hanifa Daudi ‘Jennifer’ amesema hana mpango wa kuifanya kazi ya uigizaji kama tegemeo...

READ MORE

Agness Atoboa Siri Penzi La Rammy

MUUZA nyago machachari Bongo, Agness Mmasi amesema kuwa, kamwe hawezi kulisahau penzi la msanii wa filamu Bongo, Rammy Gallis, sababu...

READ MORE

Global Yamwaga Tecno CX kwa Mashabiki wa Instagram, Bado Hujachelewa!

KAMPUNI ya Global Publishers kupitia akaunti yake ya Instagram @globalpublishers, kama kawaida yake kuwajali mashabiki wake umekuja na zawadi kabambe...

READ MORE

Dayna Afungukia Kudanga Marekani

MWANA-DADA anayeki-mbiza kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna’ amefungukia madai kuwa, siku chache zilizopita alikwenda Marekani...

READ MORE

Gigy Agandwa Kama Ruba na Bwana’ke

MSANII wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuchungwa vilivyo na mwandani wake Mourad Alpha ‘Moj’ ambaye amekuwa akimbana...

READ MORE

Kidoa Apokwa Gari na Bwana’ke

MUUZA nyago machachari Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kupokonywa gari aina ya Subaru na mwandani wake ambaye ni kigogo wa...

READ MORE

Penny Afunguka Gundu La Ndoa

MTANGAZAJI wa Runinga ya Magic Swahili kupitia kipindi cha Harusi Yetu, Penniel Mungilwa ‘Penny’amefunguka kuwa, kuna uwezekano alikuwa na gundu...

READ MORE

Mzee Abdul Awalipua Zari, Mobeto

Wamebutuliwa! Ndiyo msemo unaoweza kuusema baada ya Mzee Abdul, ambaye ni baba mkwe wa wanawake wawili, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Mastaa Pasua Kichwa Mitandaoni

KILA kukicha maisha yanabadilika na kuwa magumu hivyo hata katika ulimwengu wa mastaa wamekuwa wakibuni mbinu mbalimbali kwa kile wanachodai...

READ MORE

Sanchi Mama’ke Gumzo Mtandaoni

Modo maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ na mama yake mzazi wamezua gumzo la aina yake mtandaoni baada kuanika picha zao...

READ MORE

Jini Kabula: Nilikuwa ‘Kuzimu’ Nimerudi

MIRIAM Nyafulwa Jolwa ‘Jini Kabula’, msanii aliyekumbana na janga kubwa la kuugua ugonjwa uliotajwa kama ‘kichaa’ kuelekea mwishoni mwa mwaka...

READ MORE

Bond Ateswa Na Ujambazi, Penzi La Wastara 2017

MENEJA na aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Muvi, Wastara Juma, Bond Suleiman amefunguka kuwa mwaka 2017 ulikuwa ni mchungu...

READ MORE

Snura: Ntaliza Watu Bethdei Yangu

MWANAMUZIKI nyota na mahiri kwa kukata viuno jukwaani, Snura Mushi amesema atawaliza watu watakaojitokeza katika sherehe ya siku yake ya...

READ MORE

Mobeto Usipo-Invest Muda Huu, Utafeli

Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya njema na kuuona mwaka mpya 2018. Kuna ndugu, jamaa na marafiki wengi ambao...

READ MORE

Aunty Lulu Achekelea Kuanza Mwaka Vizuri

MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amejikuta akitoa meno yote nje baada ya kuanza mwaka 2018 vizuri kwa...

READ MORE

Nisha: Mabwana Waliniliza 2017

STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kuelezea kufurahishwa kwake na kumalizika kwa mwaka 2017 kwani ulimliza...

READ MORE

Sholo Mwamba Asakwa Na Polisi Kwa Utapeli

MSANII wa muziki wa singeli nchini, Seif Mwinyijuma ‘Sholo Mwamba’ anasakwa na polisi kwa tuhuma za utapeli baada ya kutanguliziwa...

READ MORE

Idris Sultan Kaanza Mwaka na Dili Jipya Mjini!

MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Idris Sultan, kupitia akaunti yake ya Insta amepost picha akiwa amevaa  nguo ya ndani ya kampuni ya...

READ MORE

Mr Ebbo Akumbukwa Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live

MSANII wa Bongo Fleva, Papaa Masai wiki iliyopita aliwaongoza mashabiki wa burudani kumkumbuka msanii, marehemu Mr Ebbo kwa kuimba wimbo...

READ MORE

Uchangudoa wa Zari Waibua Kimbembe!

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kukiri kuwa...

READ MORE

Shangwe za Watoto Kuusherehekea Mwaka Mpya 2018 – Dar Live

Watoto mbalimbali kutoka viunga vya Jiji la Dar es Salaam leo wanasherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya kwa Shangwe ndani ya...

READ MORE

Uwoya Hawezi Kuusahau 2017

STAA mwenye mvuto wa kipekee kwenye Bongo Movies, Irene Uwoya amesema kuwa, hawezi kuusahau mwaka uliomalizika jana wa 2017 kutokana...

READ MORE

Global Publishers App Yatikisa Mitandaoni, Wajanja Wamiminika Kujiunga

  APPLICATION mpya ya Global Publishers inayopatika kwenye mfumo wa Android na iOS imezidi kutikisa mitandaoni huku maelfu ya watu...

READ MORE

Johari Adai Kuokoka Upya!

MWIGIZAJI ‘mhenga’ Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kubadili mfumo wa maisha yake na kuahidi kuokoka ili kujiweka karibu na Mungu,...

READ MORE

Mzee Chilo Asimulia Alivyotafutiwa Mke!

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ ameeleza alivyochaguliwa mke ambaye hakudumu naye licha ya kubahatika kuzaa naye mtoto moja....

READ MORE

Shoo ya Kibabe Yatikisa Dar Live Mkesha wa Mwaka Mpya 2018

WAKALI wa Bongo Fleva, Coyo, Q-Boy na wengine jana walifunika katika Show ya Kibabe iliyofanyika kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya...

READ MORE

Zama za Amber Lulu Kukaa Utupu Zimepita

MUUZA nyago ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Lulu Augen ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa, kipindi cha kukaa utupu ili...

READ MORE

Tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya wa 2018!

Tumeingia mwaka mpya wa 2018, tunatumaini utakuwa ni mwanzo mzuri wa Mipango na Mikakati katika shughuli zao za kila siku...

READ MORE