×

Burudani

Beyonce Hubadili E-mail Kila Wiki!

MSANII wa Pop kutoka Uingereza Ed Sheeran amefichua siri ya mkali wa R&B, Beyonce kuwa kumpata kwake ni vigumu na...

READ MORE

Amber Rose Anasa Mimba!

  MWANAMITINDO tishio, Amber Rose amenasa ujauzito kutoka kwa mchumba wake ambaye ni rapa, 21 Savage baada ya kuonekana katika...

READ MORE

Aunt Ezekiel Afungukia Nyumba Ya Kupanga

BAADA ya kuandamwa mitandaoni kuwa tangu amekuwa staa bado anaishi nyumba za kupanga maeneo ya Kijitonyama jijini Dar, staa wa...

READ MORE

GIGY ABWATUKA KUNASA KIBENDI

MSANII wa filamu Bongo Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kutokana na uvumi uliopo kwamba amenasa kibendi na kusema watu waache...

READ MORE

Pretty Kindy Ajitapa Kumfunika Kidoa

MUUZA nyago mwenye umbo matata Bongo, Suzy Richard ‘Pretty Kindy’ amejitapa kumfunika, msanii wa filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijizolea...

READ MORE

Shilole Afunga Ndoa na Uchebe Jijini Dar

Hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Shilole amefungua ndoa na mpenzi wake Ashraf Uchebe huko Masaki usiku wa kuamkia leo jijini...

READ MORE

WASANII WAANDAA WIMBO WA USIKU WA KITENDAWILI

WASANII wa muziki wakiongozwa na msanii wa Muziki wa Asili, Mrisho Mpoto wameandaa wimbo maalumu ambao utaimbwa Usiku wa Kitendawili...

READ MORE

Wolper Kusherehekea Bethidei Yake Leo Dar, Kesho Dodoma

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper, leo anatarajia kufanya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa huko Masaki katika ukumbi wa...

READ MORE

Chuchu: Wanaoendekeza Za Utupu Watajuta!

STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amewananga wauza nyago ambao wameibuka na picha za utupu kwa lengo la kusaka umaarufu...

READ MORE

Wolper Amfagilia Faiza Kujianika Mtupu Leba

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema kuwa, anamuunga mkono muigizaji Faiza Ally kwa kitendo chake cha kuweka picha inayomuonyesha...

READ MORE

Mr. Ebbo Asisitiza Udumishaji Mila!

NGO’MBE wamejaa kila mahali. Mbolea yao imetapakaa sehemu yote na milio inasikika kila eneo. Wingi wa mapembe yao unapendezesha sana...

READ MORE

Pam D na Skendo ya Kujichimbia na Nay Hotelini

MWANADADA ambaye anafanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’, amefunguka juu ya skendo ya...

READ MORE

Shamsa Amtahadharisha Wema

KUFUATIA kuhama chama kutoka Chadema kwenda CCM kwa mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Wema Sepetu, msanii mwenzake, Shamsa Ford...

READ MORE

Zari Apiga Kambi Kumdhibiti Mobeto

  Wakati kukiwa na figisufigisu kuhusu uhusiano kati ya wadada wawili waliozaa na mwanaume mmoja, Zarina Hassan ‘Zari’ na Hamisa...

READ MORE

Bongo Muvi, Pendaneni Muwe Bora

  NIMSHUKURU Mungu kwa kudra na rehema zake kwa sababu ya pumzi ya bure ambayo ninaitumia maishani mwangu. Asante pia...

READ MORE

Koletha: Ndoa Kudumu Ni Mungu Tu

MKONGWE wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond amefunguka kuwa suala la kudumu kwenye ndoa ni la Mungu tu kwani kwa...

READ MORE

Isabela Ajazwa ‘Kitumbo Ndii’

  MSANII wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda amejazwa kitumbo ndii na sasa amekuwa akijificha ili watu wasiuone ujauzito...

READ MORE

Wastara Juma Ajitosa Bongo Fleva

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma baada ya kusikika kwa Wimbo wa Wanawake ambao aliuzindua wakati akienda nchini Sweden,...

READ MORE

Bombardier Yamtoa Povu Dully Sykes

ETI kisa Bombardier! Mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykse ametoa povu ikiwemo kutangaza vita na wasanii wa kizazi kipya...

READ MORE

Nandy: Naweza Ku-date na Bill Nass Ila Si Dogo Janja

Msanii wa muziki Bongo, Faustina Charles ‘Nandy’,  amesema anaweza ku-date na Bill Nass ila siyo Dogo Janja kutokana na urafiki wao...

READ MORE

Britney Spears Ajiachia na Serengeti Boy Wake

INGAWA ni mwanzoni tu mwa Desemba, tayari in­aonyesha staa wa Pop, Britney Spears, amesha­ianza sikukuu, juzikati alituma picha kwenye mitandao...

READ MORE

Adebayor Ajipoza Na Penzi La Mrembo Wa BBA

MAPENZI hayafichiki! Ha­timaye mambo y a m e ­jidhihirisha kuwa mwanasoka Mto­go, Emmanuel Adebayor, am­baye anai­chezea Klabu ya İstanbul Başakşehir...

READ MORE

Davina: Siwezi Kutumika Tena Kwa Wanaume

MUIGIZAJI mkongwe Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’, amesema hapendi tena kutumika kwa wa­naume ambao hawana msima­mo katika maisha yake zaidi...

READ MORE

Beny Kinyaia Kusogeza Jiko

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya amefunguka kuwa anatarajia rasmi kuvuta jiko. Kinyaiya alisema kuwa, Mungu akijalia hivi karibuni atauaga ukapera...

READ MORE

Mke wa Cloud 112 Ahidi Mapinduzi Makubwa Bongo Movie

MTUNZI na mzalishaji wa filamu mpya ya Usijisahau ambaye pia ni mke wa muigizaji wa muda mrefu, Issa Mussa ‘Cloud...

READ MORE

Baraka The Prince Baada ya Kuondoka RockStar (Video)

Mwanamuziki anayetamba na ngoma yake ya ‘Sometimes I Miss You’ amefanya mahojiano na GlobalTv Kupitia kipindi chake cha Global Entertainment,...

READ MORE

Usiku wa 900 Itapendeza, Dk. Shika Kuungana na Ebitoke, Nature Dar Live

‘BILIONEA’ aliyejizolea umaarufu baada ya kuibuka mshindi katika mnada wa nyumba za mfanyabiashara, Said Lugumi, Dk. Louis Shika anatarajiwa kuungana...

READ MORE

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA KITUO CHA KUUZA KAZI ZA WASANII

WAZIRI wa habari, Utamaduni sanaa na michezo, Dkt.Harison Mwakyembe amezindua kituo cha wasanii kitakachokuwa kikisambaza na kusimamia kazi za wasanii...

READ MORE

Sanchoka Aapa Kumng’oa Jokate

  Toa la moyoni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mrembo mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ kuanika...

READ MORE

Stress Zamuhamisha Sandra

Staa wa filamu za Kibongo tangu kitambo, Salma Salmin ‘Sandra’ amehama nchi na kuhamia nchini Kenya ambapo amedai kuwa stress...

READ MORE

Rose Ndauka Atoa Ajira ya Kuendeleza Urembo

STAA wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kusikika sasa ameibuka na project...

READ MORE

Viongozi Wasusia Uzalendo Kwanza

HABARI ya mjini ni kwamba viongozi wa taasisi ya Uzalendo Kwanza wameamua kujiweka pembeni kwa kile walichodai kwamba hawamuelewi mwenyekiti...

READ MORE

Mwakyembe Kuzindua Usijisahau Kesho Mlimani City

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu mpya ya...

READ MORE

Kim Kardashian Apiga za Utupu Tena!

LICHA ya kugonga miaka 36 huku akiwa na watoto wawili, North na Saint, mwanamitindo ambaye pia ni Mtangazaji wa Kipindi...

READ MORE

Ben Pol Unamdharau Hadi T.I.D?

BENARD Paul, maarufu kama Ben Pol, ni mmoja kati ya vijana wanaofan­ya vizuri sana katika muziki wa kizazi kipya, upande...

READ MORE

Sababu 5 Wema Kutamani Kufariki

SIKU chache baada ya mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, kuibua hofu kwa mashabiki wake kufuatia waraka wake...

READ MORE

Njemba Adatishwa na Kiuno Cha Gigy Money

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ hivi karibuni alijikuta aking’ang’aniwa na njemba ambaye alidatishwa na mauno...

READ MORE

Matukio Haya Yametikisa 2017, Tumekuwekea Hapa

TANGU mwaka huu uanze kumekuwa na matukio mengi yaliyojitokeza kwa mastaa, ambayo yalileta mshtuko kwenye jamii hususan kwa watu wanaofuatilia...

READ MORE

KEMMY WA KAOLE AMPA UJUMBE MZITO LULU

MUIGIZAJI wa muda mrefu aliyewahi kufanya vyema kwenye anga la maigizo kupitia Kundi la Kaole, Julieth Samson ‘Kemmy’ amemuandikia waraka...

READ MORE

Sanchi Siwezi ‘Kuduu’ na Dk. Shika

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa maneno yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kumsaka Dk....

READ MORE