×

Burudani

KISA MOND NA KIBA, MAKOMANDO NUSURA WAZICHAPE

Kundi la Makomando linaloundwa na wanamuziki wawili, Fred Wayne na Muki, wanaotamba na kibao chao kipya cha Anaona Gere, nusura...

READ MORE

H BABA: MSANII ALIYENIDISS NI MWIZI, SITAFUTI JINA KUPITIA YEYE

STAA wa muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na ngoma zake kama Mpenzi Bubu, Kula Lazima na Nipe Kidogo, Hamis...

READ MORE

Baada Ya Kumwagana na Bondi…Wastara Anaswa na ‘Kibenteni’

DAR ES SALAAM: Makubwa! Ikiwa ni siku chache tangu amwagane na aliyekuwa mchumba’ke wa ‘kuvaliana tisheti’, Bond Suleiman Bin Sinaan,...

READ MORE

Faiza: Sugu Akihitaji Mtoto, Namzalia!

MREMBO Faiza Ally ambaye aliwahi ‘kubanjuka’ penzini na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ametoa kali ya aina yake...

READ MORE

Exclusive: Dk Mwaka Aibuka na Gigy Money

DAR ES SALAAM: Baada ya ukimya wa muda mrefu, aliyekuwa mmliki wa Kituo cha Tiba Asili cha Fore Plan, Dk....

READ MORE

CHEMICAL: SIJAWAHI KUPENDWA NA STEREO KWA DHATI

RAPA wa kike anayefanya vizuri kwenye Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’, amefunguka kuwa, msanii Stereo ambaye amekuwa akijanasibu kwenye...

READ MORE

NIKKI WA PILI: NILIWAHI KUWA WA MWISHO DARASANI

  MKONGWE asiyechuja kwenye Hip Hop Bongo ambaye pia ni msomi wa Shahada ya Uzamivu (Master Degree), Nickson Simon ‘Nikki...

READ MORE

Full Dozi Concert… Dully, Q Chillah Kutikisa Dar Live

ULWAKONGWE wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Dully Sykes pamoja na Q Chillah wanatarajiwa kuungana na wakali wengine kibao...

READ MORE

Huyu Ndo Prodyuza Aliyetengeneza Zimbabwe ya ROMA

UKISIKILIZA ngoma mpya ya mkali wa HipHop Bongo, ROMA Mkatoliki, aliyoiachia mwezi uliopita, Zimbabwe lazima utatamani kumfahamu mtayarishaji wa ngoma...

READ MORE

Kiba King Anatembea Njia za Darassa?

SEDUCE ME, ndiyo habari ya mjini, hili halina ubishi. Kwamba King Kiba, amerejea kwenye ubora wake wa enzi baada ya...

READ MORE

MCHAWI WA BONGO MOVIE NI SISI WENYEWE – SHAMSA

NI uwezo wake wa kufanya kweli awapo mbele ya kamera, ndiyo umempa jina na umaarufu mkubwa kunako kiwanda cha kuzalisha...

READ MORE

Harmorapa Kujifunza Kingereza kwa Mr. English

BWA’MDOGO asiyekaukiwa matukio, Harmorapa anatarajia kuanza kujinoa katika suala zima la Lugha ya Kingereza kwa mtaalam wa kufundisha lugha hiyo,...

READ MORE

ROMA KUWAKALISHA RAIS MAGUFULI NA LOWASSA SITI MOJA

Staa wa ngoma ya Zimbabwe ambayo ndiyo homa ya jiji kwa sasa, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’, amesema kuwa ikitokea amepanda...

READ MORE

MASKINI UCHEBE, YAMKUTA YA NUH MZIWANDA KWA SHILOLE

  WASWAHILI wanasema mwenzako akinyolewa, wewe tia maji nywele zako, sina hakika kama Uchebe, ambaye ni mpenzi mpya wa Diva...

READ MORE

Mastaa wa Soka, Bongo Movie Waifungukia Sokabet

KAMPUNI ya Mchezo wa Kubahatisha ya Sokabet, jana Jumatatu ilifanya uzinduzi wake rasmi katika Hoteli ya Protea jijini Dar es...

READ MORE

Bongo Fleva Imehamia YouTube

MUZIKI Bongo upo katika utamu na una ladha ya aina yake kutokana na ushindani uliyopo kwa sasa. Yaani wakati soko...

READ MORE

Masogange: Najuta Kuwa Staa

VIDEO queen mwenye umbo tata Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa, hakuna jambo analolijutia kama kuwa staa. Masogange aliliambia Ijumaa...

READ MORE

Wolper Avunja Kiapo Alichokula

MKALI kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper amevunja kiapo alichokula kwamba kamwe hatamwanika mpenzi wake kwenye mitandao baada ya...

READ MORE

D CLASSIC: BARNABA HAWEZI KUNIZUIA KUMILIKI WASANII WANGU

Prodyuza aliyewahi kumtengenezea ‘hit songs’ kibao mwanamuziki Barnaba Classic, kama vile Lover Boy, Tunafanana na nyingine nyingi, D Classic, amefungukia...

READ MORE

Shilole Adaiwa Kubondwa na Mchumba Wake

MKALI wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Zuwena Mohamed ‘Shilole au Shishi Baby’ anadaiwa kubondwa na mpenzi wake wa sasa...

READ MORE

‘Kinachomtesa Chid ni hiki!’

MTAALAM wa saikolojia, Mkang’u Lyadunda amesema kinachomtesa staa wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ ni kutopata tiba sahihi baada...

READ MORE

Q Chillah, Snura ‘Live’ Tamasha la Full Dozi Dar Live

KITANUKA! WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ wanatarajiwa kuungana...

READ MORE

Saida Karoli, Belle 9 na G Nako Kwenye Kichaka (VIDEO)

MSANII mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli ambaye hivi karibuni amekuwa akitamba na wimbo wake wa Orugambo baada ya...

READ MORE

KAJALA: Sina Mpango wa Kuolewa Tena

UKITAKA kutaja majina ya mastaa wakali katika kiwanda cha Bongo Muvi, huwezi kuacha jina la muigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ ambaye...

READ MORE

Kiba Kuamsha Tigo Fiesta Arusha

MKALI wa Ngoma ya Seduce Me, Ali Kiba, anatarajiwa kuwa miongoni mwa kundi la wasanii wa muziki watakaoangusha burudani Jumamosi...

READ MORE

Wema Alamba Dili La Mil. 400

  DAR ES SALAAM: Staa mkali wa sinema za Kibongo asiyechuja Bongo, Wema Isaac Sepetu, anadaiwa kulamba dili nono la...

READ MORE

Mobeto Kuzaa na Bwanake… Zari Atinga Bongo Kupata Ukweli

  BAADA ya maneno mengi kusemwa Bongo kufuatia madai ya bwana’ke kuzaa na mwanamitindo mwenye jina kubwa, Hamisa Hassan Mobetto,...

READ MORE

Q Chillah, Snura ‘live’ Tamasha la Full Dozi Dar Live

KITANUKA! WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ wanatarajiwa kuungana...

READ MORE

STRESS ZA IDRISS, WEMA AAMUA KUJILIWAZA KWA PICHA HIZI

  STRESS za kununiwa na Idriss Sultan, zinaendelea kumtesa Diva kutoka kiwanda cha Bongo muvi, Wema Sepetu, ambaye hivi karibuni...

READ MORE

Lulu: Aliyepewa Kibali Na Mungu Huonekana Anapendelewa

MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo  kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa somo kwa mashabiki zake. Soma...

READ MORE

TIGO FIESTA KUTIMUA VUMBI ARUSHA JUMAMOSI IJAYO

Tamasha la Tigo Fiesta linatarajiwa kuanza kutimua vumbi Jumamosi ijayo katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha huku wasanii kibao...

READ MORE

Global TV Online: Usikose Kutazama Jumba La Dhahabu Leo Saa 11:30

  GLOBAL TV Online inaendelea kukuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu ya Jumba la Dhahabu. Naamini uliiona lakini haikua yote au...

READ MORE

Dogo Janja – Ngarenaro (Official Video)

Tumekuwekea hapa video mpya ya Staa mwingine wa Bongo Fleva Dogo Janja ambayo inafatia ‘ukivaaje unapendeza’

READ MORE

KISA GAUNI, WEMA ASHINDWA KUHUDHURIA UZINDUZI WA IDRISS

Diva anayebamba kunako tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kuhudhuria uzinduzi wa viatu...

READ MORE

JUX ALIA KUMKOSA VANNESA SIKU YA BETHIDEI YAKE

Moja kati ya ‘couple’ ambayo ilipendwa sana na mashabiki, ni ya wanamuziki, Juma Jux na Vannesa Mdee, ambao kwa sasa...

READ MORE

Shuhudia Hoteli ya Kisasa ya Mbunge Sugu Aliyofungua Mbeya (PICHA)

HABARI njema kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ wa Chadema ambaye amefungua hoteli yake mpya na...

READ MORE

BARNABA ALIA WIVU LIVE KWA MKEWE

Wahenga walinena wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda. Hivi ndivyo unavyoweza kusema ukikutana na kibao kipya kutoka kwa Barnaba Classic katika...

READ MORE

‘Masogange’ Ana Kesi ya Kujibu Dawa za Kulevya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’, anayo kesi ya kujibu kwa kudaiwa kutumia dawa...

READ MORE

Amanda: Afunguka Bwana Kumpiga Stop Kuigiza

MREMBO mwenye shepu yake Bongo Movies, Amanda Posh amepangua uvumi uliozagaa mtaani kuwa, amezuiwa kuigiza na mchumba wake kwa kusema...

READ MORE

Mobeto Ampukutisha Zari

DAR ES SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobeto amedaiwa kuwa sehemu ya kupungua mwili kwa mwanadada mjasiriamali maarufu, Zarina Hassan ‘Zari The...

READ MORE