×

Burudani

Miss Ilala 2016 Kulamba Mil.1 Ijumaa Hii

Mratibu wa Miss Ilala 2016, Tickey Kitundu akizungumza na waandishi wa habari leo. Washiriki wa Miss Ilala wakiwa wamejipanga pamoja...

READ MORE

Washiriki 29 Wa Maisha Plus East Afrika 2016 Waingia Rasmi Kijijini Kuanza Safari Ya Kuisaka Mil.30

 Ally Masoud  maarufu kwa jina la Kipanya akiwa katika kijiji na Babu mwenyeji wa kijiji cha Maisha Plus wakijadili jambo...

READ MORE

Asha Baraka: Nimedhamiria Kutoa Mamilioni Kuuinua Muziki wa Dansi

Mkurungezi wa Kampuni ya ASET na mmiliki wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka amesema amedhamiria kuuinua tena...

READ MORE

Bella, Man Fongo, Kibao Msambwanda Watifuana Dar Live

Kibao Msambwanda ni sheedah ndani ya Dar Live. Christian Bella akifanya yake stejini. Bella akitunzwa na shabiki. Mashabiki wakipagawa na...

READ MORE

Fiesta Yawapagawisha Wakazi Wa Shinyanga

Msanii wa Bongo Fleva, Bill Nasi akifanya makamuzi na Linah Sanga kwenye Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo Shinyanga....

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Wa Shinyanga Apongeza Semina Ya Fursa

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Zainab Rajab Telack, akitoa pongeza zake kwa waandaaji wa Semina ya Fursa na tamasha...

READ MORE

Diana Edward Ndiye Miss Kinondoni 2016

Malkia wa Kinondoni 2016 Diana Edward akiwa katika pozi baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika Hoteli ya Denfrances iliyopo...

READ MORE

Ubunifu Huu Wawavutia Wengi!

Nyumba hiyo ndogo yenye jina la Ufalme wa Dhahabu. Athumani akiingia ndani ya nyumba hiyo.  Athumani akionesha baadhi ya picha...

READ MORE

Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi

STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford mchana huu amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa...

READ MORE

Bella, Kibao Msambwanda Dar Live leo

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ wakali wa kuyakata mauno Bongo, Kibao Msambwanda pamoja na mkali wa Singeli,...

READ MORE

Picha: Shuhudia Nyumba Mpya Za Yamoto Band

Nyumba mpya watakazomiliki wasanii wa Yamoto Band. Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe ambaye pia ni mmiliki wa Yamoto Band, Said...

READ MORE

Chama Cha Waigizaji wampongeza JPM

Katibu wa Chama Wasanii Mkoa wa Kinondoni, Jafari  Dionizi (wa kwanza kushoto) akisoma taarifa yake. Kutoka kushoto: Mjumbe wa chama,...

READ MORE

Ofisa Chama cha Waajiri Alipiga ‘Tafu’ Kanisa la EAGT

Mkuu wa Masasiliano na Masoko wa Chama cha Waajiri Tanzania, Joyce Nangai, akifafanua risala aliyosomewa katika hafla hiyo Shughuli ya...

READ MORE

Happy Birthday John Joseph

Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph Haramba. LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Global Publishers, John Joseph...

READ MORE

Machupa Apagawisha Wakazi wa Boko Tamasha la Mziki Mnene

Muziki wa Singeli haubagui umri kama wapenzi hao wa muziki walivyokutwa wakisakata  kwa hisia muziki wa Singeli  kwenye tamasha la...

READ MORE

Dogo Janja : Hakuna Kama Mama

Dogo Janja akipata selfie na mama yake mzazi. Na Leonard Msigwa/MTANDAO Mwanamuziki Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ anayetamba kwenye ulimwengu wa...

READ MORE

Mai: Soko la Filamu Halijashuka

Maimuna Salum  maarufu kwa jina la “Mai Vituko Show”. Na Leonard Msigwa DAR ES SAALAM: Mwanadada anayechipukia kwa kasi kwenye...

READ MORE

Mo Music Ado Ado (Official Video)

https://www.youtube.com/watch?v=66_T-0ZIrno

READ MORE

NMB Yawakutanisha Wanachama CWT ‘Teachers Day’

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando (wa tatu kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya NMB...

READ MORE

Kiss Daniel Kuupamba Uzinduzi wa Monte Carlo Classic Kesho Dar

      Meneja Masoko wa benki ya Barclays Joe Bendera akipiga Selfie na Msanii maarufu kutoka Nigeria Anidugbe Oluwatobiloba Daniel almaarufu...

READ MORE

Kisa kutohudhuria sherehe yake, Romy amfungukia Diamond

BAADA ya hivi karibuni ndugu wa Mwanamuziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, kufanya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa na kuhudhuriwa na...

READ MORE

Utajiri wa Nay, Umaskini wa Mr. T-Touch

Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ IKIWA humfahamu kwa sura mkali wa midundo Bongo, Thabith Mango ‘Mr. T-Touch’ ni lazima utakuwa...

READ MORE

Efm Radio, Vodacom kuja tena na muziki mnene

Meneja wa Efm, Dennis Ssebo (kulia) akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Viongozi hao wakiwa katika picha ya pamoja...

READ MORE

Kajala: Nataka Kuzaa Mtoto wa Kiume

Kajala Masanja akiwa na binti yake, Pamela. Na Leonard Msigwa “Nahitaji kuzaa mtoto wa kiume ili Pamela naye ajivunie kuwa...

READ MORE

Dogo Janja: Albamu Hapana! Bado Naangalia Upepo

Na Leonard Msigwa Mwanamuziki Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ anayetamba kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva na nyimbo za My life na...

READ MORE

Fiesta 2016 Imoo Yatikisa Jiji la Mwanza

Mwanamuziki Wizkid kutoka Nigeria akifanya yake stejini wakati wa uzinduzi rasmi wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa CCM...

READ MORE

JK, Samia, Nape Washiriki Mazishi ya Bi. Shakila

  Mwili wa Bi. Shakila ukihifadhiwa kaburini. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi...

READ MORE

Picha za Mwisho za Marehemu Shakila Mjini Dodoma

 Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu...

READ MORE

Eddy Kenzo Awabwaga Akina Diamond Tuzo za Uganda

Eddy Kenzo Jana, August 19, 2016, usiku kwenye Ukumbi wa Kampala Serena Hotel, zilifanyika tuzo za Uganda Entertainment Awards (UEA2016)...

READ MORE

Mlimbwende Aliyetwaa Taji la Miss Mwanza 2016 Huyu Hapa

Usiku wa jana Ijumaa Agost 19,2016 kuamkia leo Jumamosi Agost 20,2016, kulikuwa na mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa taji...

READ MORE

Usiku wa Nishike… Bella, Man Fongo Ndani ya Dar Live

Christian Bella ‘Obama’ Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ akiwa sambamba na mkali...

READ MORE

Mwimbaji Shakila Said Hatunaye Tena

Mwimbaji Shakila Said enzi za uhai wake. Mwimbaji mkongwe wa muziki wa taarab nchini, Shakila Said amefariki dunia usiku huu...

READ MORE

Vinyago vya Trump Vyasambazwa Marekani

Ufuatao ni mkusanyiko wa picha kutoka Marekani unaoonyesha vinyago vya utupu vya mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani,...

READ MORE

Fid Q: Mapenzi Yamenitesa Sana Jamani!

Hans Mloli, Dar es Salaam AGOSTI 13, mwaka huu ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwanahip Hop, Fid Q na...

READ MORE