×

Burudani

Kisa cha Kushangaza! Siku ya Harusi, Ukweli wa Wazazi Wake Wafichuka – Video

Siku ya harusi yake, aliamini wazazi wake ni maskini na walikuwa wakimwaibisha mbele ya watu. Lakini hakujua kuwa ukweli ulikuwa...

READ MORE

Wilder Icy Fruits Yaingia Na Burudani Mpya Ya Barafu Na Matunda

Meridianbet imezidi kuongeza ladha kwenye burudani za kasino mtandaoni baada ya kuwasili kwa Wilder Icy Fruits, mchezo mpya kutoka Expanse...

READ MORE

Singapore Yashangaza Dunia, Kila Mtoto Anayezaliwa Anapata Mil. 130 Hadi Anakua! – Video

Fikiria siku mtoto wako anapozaliwa, badala ya kuwaza tu gharama za nepi na maziwa, unajua tayari ana “mshahara” wake wa...

READ MORE

Marioo, Jux Na Wasanii Wengine Kushiriki Afrimma Musicfest Dallas

Mashabiki wa muziki wa Afrika nchini Marekani wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kupitia AFRIMMA Musicfest, itakayofanyika Septemba 12 katika...

READ MORE

Linah Aendelea Kung’ara na EP Yake Mpya ya Love Notes – Video

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Linah, anaendelea kuwafikia mashabiki kupitia EP yake mpya ya LOVE NOTES, inayobeba nyimbo zinazozungumzia mapenzi,...

READ MORE

Taylor Swift Ang’ara Kwenye ‘Date Night’, Avaa Gauni La Tsh Milioni 7.2

Msanii maarufu wa muziki nchini Marekani, Taylor Swift, ameonekana akiwa na mume wake, Travis Kelce, katika ‘date night’ jijini New...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Albamu Mpya ya Harmonize “31” Baada ya Kuachiwa

Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, ameendelea kuteka hisia za mashabiki kupitia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la “31”, ambayo...

READ MORE

Aika na Nahreel Watangaza Ujio wa Album Mpya ‘STEPPA’

DAR ES SALAAM, TANZANIA — Wasanii na watayarishaji wa muziki nchini, Aika na Nahreel, wametangaza rasmi ujio wa album yao...

READ MORE

Dai Dai ya Shakira na Burna Boy Yafikisha Views Bilioni Moja YouTube

Wimbo “Dai Dai” wa mwanamuziki wa Colombia, Shakira, akishirikiana na staa wa Afrobeats kutoka Nigeria, Burna Boy, umeendelea kufanya vizuri...

READ MORE

Super Heli Premium: Safari Mpya Ya Kasi Na Ushindi Meridianbet

Mashabiki wa kasino mtandaoni sasa wana sababu nyingine ya kuweka macho kwenye anga baada ya Meridianbet kuileta Super Heli Premium,...

READ MORE

Meridian Icy Fruits: Mchanganyiko wa Barafu, Matunda na Teknolojia Kwenye Slot Mpya

Meridianbet imefungua mlango wa burudani nyingine ya kisasa kupitia Meridian Icy Fruits, mchezo wa sloti unaokuja na mchanganyiko usio wa...

READ MORE

Video: Bodi Ya Filamu Yatoa Tamko Baada Ya Kukutana na Wasanii wa A-List, Uwoya Afunguka

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dkt. Gervas Kasiga ‘Chuma’, amefunguka kuhusu sababu ya Bodi hiyo kuwaita wasanii maarufu...

READ MORE

DStv Yatangaza Ofa Mpya ya ‘Usiwaze’ kwa Wateja

Dar es Salaam, Septemba 7, 2026: MultiChoice Tanzania imetangaza ofa mpya ya “Usiwaze”, inayowawezesha wateja wanaostahili wa DStv kupata kifurushi...

READ MORE

Zungusha, Kusanya, Shinda Na Pragmatic Play Drops & Wins 2026

Meridianbet imefungua ukurasa mpya wa burudani kwa wapenzi wa kasino kupitia Pragmatic Play Drops & Wins 2026, promosheni inayokupa zawadi...

READ MORE

Ngoma ya “Buku Jero” ya Mbosso Yawateka Mashabiki

Msanii wa muziki wa Tanzania, Mbosso, amezidi kuwateka mashabiki kupitia ngoma yake mpya “Buku Jero,” ambayo imeibuka kuwa miongoni mwa...

READ MORE

Mtangazaji TV Ahukumiwa Kunyongwa Pamoja na Washtakiwa Wengine 11

CAIRO, Misri — Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi vya televisheni nchini Misri, Sarah Khalifa, mwenye umri wa miaka 39, amehukumiwa...

READ MORE

Joheirry Mola Aibuka Mshindi wa Miss World 2026 nchini Vietnam

Mshiriki kutoka Dominican Republic, Joheirry Mola, ametangazwa kuwa mshindi wa mashindano ya Miss World 2026, yaliyofanyika nchini Vietnam na kufikia...

READ MORE

Wacky Panda Mania Yaingia Meridianbet na Kuleta Burudani Mpya

Panda wameingia mjini na hawajaja kutafuta mianzi. Safari hii wamefika Meridianbet wakiwa na lengo moja, kuleta burudani mpya ya kasino...

READ MORE

Cardi B Atikisa Mitandao, Muonekano Wake Wawateka Mashabiki

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B usiku wa kuamkia leo Septemba 5, 2026 amewavutia mashabiki wake baada ya kushiriki picha...

READ MORE

Tanzania Kupokea Uwenyeji wa Miss World 2027 Nchini Vietnam Leo

Tanzania leo, Septemba 5, 2026, inatarajiwa kukabidhiwa rasmi uwenyeji wa mashindano ya Miss World 2027, baada ya Naibu Waziri wa...

READ MORE

Jason Derulo Aachia Wimbo Mpya “Let Me Be” Akishirikiana Na Qing Madi

Mwanamuziki maarufu wa Pop na R&B kutoka Marekani, Jason Derulo, ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “Let Me Be”, akiwa...

READ MORE

Beyoncé Atimiza Miaka 45, Aangaza Safari Yake Na Watoto Wake

MWIMBAJI maarufu wa Marekani, Beyoncé,  Septemba 4, 2026, anatimiza miaka 45 huku akisherehekea safari yake ya maisha na familia yake,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 5, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Tarehe Ya Diddy Kuachiwa Gerezani Yasogezwa Mbele Tena

Mwanamuziki na mfanyabiashara wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, anatarajiwa kuachiwa huru Februari 5, 2028, baada ya tarehe yake ya kuachiwa...

READ MORE

Harmonize Afunguka Sababu ya Kutengana na Kajala kwa Miezi Mitatu

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, amefunguka kuhusu uhusiano wake na Kajala Masanja, akisema kwa sasa wawili hao hawapo...

READ MORE

Nandy Amtambulisha Linah Kwenye lebo yake ya African Princess

CEO wa lebo ya muziki ya The African Princess, mwanamuziki Nandy, amemtambulisha rasmi mwanadada nguli wa muziki wa Bongo Flava,...

READ MORE

Bodi ya Filamu Yawapa Wito ‘A-List’ Watakiwa Kufika Septemba 7, 2026

Bodi ya Filamu Tanzania imewataka waigizaji Irene Uwoya, Aunty Ezekiel, Frida Kajala na Jacqueline Wolper kufika katika ofisi za Bodi...

READ MORE

Meridianbet Yatangaza Promosheni Ya Mizunguko Ya Bure Katika Wild White Whale

Meridianbet imeongeza dozi nyingine ya msisimko kwenye mchezo wake wa kasino Wild White Whale, ambapo wachezaji wanaweza kupata mizunguko 50...

READ MORE

#TheHardTalk: Rose Ndauka Afunguka Alivyonusurika Kifo Kwenye Ajali – Video

Staa wa filamu na ujasiriamali nchini, Rosenda Ndauka, amefunguka kuhusu ajali mbaya ya barabarani iliyowahi kutokea katika maisha yake, akieleza...

READ MORE

Jay-Z Kufanya Onyesho London Kusherehekea Miaka 30 ya Muziki

LONDON, UINGEREZA — Rapper na mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Jay-Z, anatarajiwa kufanya maonyesho mawili makubwa katika Uwanja wa Tottenham Hotspur...

READ MORE

Maua Sama Aweka Historia Mpya, Ajaliwa Mtoto wa Kike

Msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama, ametangaza kujifungua mtoto wa kike, akieleza furaha yake baada ya kuanza ukurasa mpya wa...

READ MORE

Harmonize Aachia Wimbo Mpya ‘Beautiful’ wa Mapenzi – Video

Katika kipindi ambacho mahusiano ya kasi yamekuwa yakitawala sehemu kubwa ya utamaduni wa muziki na burudani, msanii wa Tanzania Harmonize...

READ MORE

Cheza, Kusanya Alama, Fungua Zawadi: Meridianbet Missions Yaingia Mtaani

Fikiria kila hatua unayopiga kwenye mchezo ikiwa inakupeleka karibu na zawadi unayoitamani. Hiyo ndiyo ladha ya Meridianbet Missions, mfumo mpya...

READ MORE

Davido Aongoza Afrimma 2026 Kwa Nominations Tano

Msanii wa Nigeria, Davido, ameibuka kuwa msanii mwenye uteuzi mwingi zaidi katika tuzo za AFRIMMA 2026 baada ya kutajwa katika...

READ MORE

Haakon Viii Aapa Kiapo Cha Katiba, Aanza Rasmi Utawala Wa Norway

Mfalme mpya wa Norway, Haakon VIII, ameapa rasmi kuilinda Katiba na sheria za nchi hiyo katika hafla iliyofanyika Bungeni mjini...

READ MORE

Baada Ya Miaka 30; Keefe D Akutwa na Hatia ya Mauaji ya Tupac Shakur

Mahakama nchini Marekani imemkuta na hatia Duane “Keffe D” Davis kwa kosa la mauaji ya mwanamuziki maarufu wa Hip Hop,...

READ MORE

Mzunguko Mmoja Kuanzisha Mnyororo Wa Ushindi Ndani Ya Meridian Bonanza

Burudani ya kasino mtandaoni imepata sura mpya baada ya Meridianbet kuendelea kukupa Meridian Bonanza, mchezo unaochanganya kasi, burudani na vipengele...

READ MORE

Mr. Cheeks wa Lost Boyz Kutua Arusha Septemba 19, Miaka 30 Ya Bongo Flava

ARUSHA — Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava imethibitisha ujio wa rapa mkongwe kutoka nchini...

READ MORE

Mawakili wa Mtoto wa Rwakatare Watoa Tahadhari Kuhusu Mali za Mirathi – Video

Mawakili Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wanaomwakilisha mmoja kati ya watoto wa marehemu Mchungaji Getrude Rwakatare wametoa...

READ MORE

Mashabiki, Wasanii Wamwaga Pongezi Kwa Maua Sama Baada Ya Picha Za Ujauzito

Msanii wa muziki wa Tanzania, Maua Sama, amezua furaha miongoni mwa mashabiki na mastaa mbalimbali baada ya kushiriki picha na...

READ MORE