×


FacebookBurudani

Maya: Mume Wangu ni Sapraiz

MAYAMUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa, watu wenye kiu ya kutaka kumjua mume wake mtarajiwa watulie watamuona tu na itakuwa sapraiz…

SOMA ZAIDI

Kitenge: Nimetua Rasmi Wasafi FM

  MTANGAZAJI maarufu wa Habari za Michezo Tanzania, Maulid Kitenge ‘chumvi’ ameweka wazi kuwa ameachana na Kituo cha Redio cha EFM na kujiunga Wasafi  FM…

SOMA ZAIDI

DNA kumaliza utata mtoto wa Diamond

Unakumbuka ule utata wa binti wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’, aliyemzaa mwaka 2015 na mwanamama Zarinah Hassan…

SOMA ZAIDIBata la Lyyn Dubai usipime!

WAKATI watu wakidai kuwa hali ni ngumu, kwa upande wa mwanamuziki anayeanza kufanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Irene Loiuse ‘Lyyn’ anakula zake bata nchini Dubai. …

SOMA ZAIDIDiana hapawezi mamtoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli ni kwamba nyumbani ni nyumbani…

SOMA ZAIDI

Nandy madili ya mamilioni kama yote!

SEXY lady kunako Bongo Flevani, Faustina Charles ‘Nandy’, anaendelea kulamba madili ya mamilioni kama yote. Wiki iliyopita alisaini mkataba wa dili lingine na Kampuni ya…

SOMA ZAIDI


Mke wa Rayvanny Abanwa Kumkuwadia Mondi

UKISIKIA mambo ni moto ndiyo haya sasa! Wakati mwandani wa mwanamuziki wa kimataifa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna akiwa leba akijifungua…

SOMA ZAIDIHuddah Amtikisa Zari kwa Utajiri

DAR ES SALAAM: Huku wakidaiwa kuchukuliana mabwana, mrembo maarufu Afrika Mashariki anayetokea jijini Nairobi, Kenya, Huddah Monroe ametajwa kuwa miongoni mwa warembo ambao wana ukwasi…

SOMA ZAIDIDiana Hapawezi Mantoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli ni kwamba nyumbani ni nyumbani…

SOMA ZAIDIKumbe Kajala Watammisi Sana!

KILA kitu kina wakati wake! Hebu msikie staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, anasema eti kwa jinsi ambavyo haonekani hovyo sehemu mbalimbali, siku…

SOMA ZAIDI


Mahakama yavunja ndoa ya Muna Love

HATIMAYE Mahakama ya Mwanzo Magomeni jijini Dar, imevunja ndoa ya msanii wa filamu nchini, Rose Alphone ‘Muna Love’ na aliyekuwa mumewe, Peter Komu baada ya…

SOMA ZAIDI