×

Burudani

WASAFI VS KONDE GANG… kamwe namba hazidanganyi

KWENYE maisha ya sasa, unapaswa kuogopa vitu vitatu; Mungu, teknolojia na muda. Fanya ufanyavyo, vitu hivi vitatu huwezi kuvikwepa maishani...

READ MORE

Wema amtoa chozi Diana

MWIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye kwa sasa amejichimbia nchini Marekani, Diana Kimari amejikuta akimwaga chozi baada ya kumkumbuka shoga’ke kipenzi,...

READ MORE

Uwoya na skendo kuiba waume za watu

MWANAMAMA mkali kunako Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krish’ amefunguka kuwa, hakuna jambo la kishamba kwa sasa kama mwanamke...

READ MORE

Video: Upendo Nkone, Ampongeza Rais Magufuli Kwa Mapambano Ya Corona

MWIMBAJI nguli wa nyimbo za injili hapa nchini, Upendo Nkone, leo Mei 31, 2020 ameshiriki katika kipindi cha Soulfood kinachorushwa...

READ MORE

Wema Awashukuru Wanaomtakia Ndoa Njema

Staa mkubwa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu amemshukuru Mungu kwa kuona watu ambao ni mashabiki wake wakimtakia ndoa njema....

READ MORE

Lulu Diva Afunguka Kumwagiwa Maji ya Moto

Mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amesema anawashangaa watu wanaosema amemwagiwa maji ya moto, kisa mume...

READ MORE

Mondi Anunua Mtaa Mzima

Usiseme ‘hatuna pesa, sema sina pesa!’ Anachokifanya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ kwenye nyakati hizi...

READ MORE

Harmo Afunguka Kutoa Ahadi Hewa Hospitali

KONDE Boy, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amefungukia madai ya kutoa ahadi hewa ya kusaidia hospitali mbalimbali na shule kisha...

READ MORE

Mapinduzi ya Muziki Bongo… Kiba, Harmo Waungana!

KWA mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva, hii ni zaidi ya good news! Habari ikifikie kwamba, mafundi wawili; Ali Saleh...

READ MORE

Marioo: Ujio Wangu na Mondi Lazima Watupishe

  UKISIKIA ngoma hii ambayo haikosekani kwenye laptop za MA-DJ, lazima utauliza inaitwaje na ni ya mwanamuziki gani? Usipate taabu....

READ MORE

Mondi Ashtua Tena na Saa ya milioni 500

DAR : Achana na kufuru nyingine alizowahi kuzifanya huko nyuma, mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameshtua...

READ MORE

Vanessa, Mchumba’ke Gari Limewaka

  DAR: Mwanadada ambaye mashabiki wake wa Bongo Fleva wanammisi, Vanessa Mdee ‘V-Money’ na mchumba’ke, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’, ndiyo kwanza...

READ MORE

Chuchu Ataja Sababu Kuachana na Filamu

  MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amesema sababu iliyomfanya kuachana na filamu ni kutokana na maslahi kiduchu yanayopatikana...

READ MORE

Vanessa, Mchumba’ke Gari Limewaka

Mwanadada ambaye mashabiki wake wa Bongo Fleva wanammisi, Vanessa Mdee ‘V-Money’ na mchumba’ke, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’, ndiyo kwanza gari la...

READ MORE

Mabeste Aitambulisha Back Off Global Radio – Video

RAPA mkali Bongo, Mabeste amefanya ziara katika kampuni ya Global Group na kutambulisha mkwaju wake mpya, Back Off, kupitia spika...

READ MORE

Msanii wa Harmonize Awashukuru Mashabiki Kwa Kumpokea

MSANII kutoka katika lebo ya Konde Music Word Wide Ibraah,  leo Mei 21, 2020 amefanya mahojiano katika kipindi cha Bongo...

READ MORE

Kutana na Oladee; Mjuba Anayelia Bila Mpangilio

KATI ya vitu vinavyopewa kipaumbele na Watanzania wengi hususan waliomo mijini, mitandao ya kijamii ni miongoni mwao. Yaani kuna baadhi...

READ MORE

Mshindi Toboa Kimuziki na Global TV Anyakua Tuzo!

HAYAWI hayawi sasa yamekuwa awamu ya kwanza ya lile shindano kubwa la kuinua vipaji vya muziki nchini lililokuwa likiendeshwa na...

READ MORE

Esma Aanika Ukweli Mimba ya Queen Darleen

  Kumekuwa na tetesi kibao zikidai kuwa huenda ndoa ya Queen Darleen na mumewe Isihack tayari imeshajibu baada ya mrembo...

READ MORE

RoSa Ree Alipopenya Katikati ya Msitu wa Wanaume

  BADO ile Ngoma ya Mchizi Wangu Remix iliyofanywa zaidi ya miaka kumi iliyopita pale MJ Records na Producer Marco...

READ MORE

Msoto wa Amber Lulu Kwenye Maisha ni Fundisho Tosha

UKIMUONA leo kila anapokatiza mitaani, hakika jina lake lipo vichwani mwa mashabiki wake.Si kwamba tu watu watamtazama kutokana na ile...

READ MORE

Mapokezi Watoto Wa Mondi Bongo Balaa!

      DAR: Good news! Ndiyo, kama mambo yatakwenda vizuri, basi usishangae kuwaona watoto wa staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Fahyma Afichua Siri Penzi La Rayvanny

Wakati watu wakiendelea kuchonga kwenye mitandao ya kijamii juu ya penzi lake na staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’,...

READ MORE

Ijumaa Sexiest Girl 2019/20… Poshy Queen, Mimi Mars Ni Mshikemshike

BAADA ya kubaki warembo wawili, Posh Queen na Mimi Mars, sasa ni mshikemshike nguo kuchanika ambapo kumekuwa na upigaji kura...

READ MORE

Wolper Alizwa Mil. Moja Dukani, Atangaza Kumdhalilisha ‘Mwizi’

MbuBUNIFU wa mavazi na muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper . jsns Mei 15, 2020, ametangaza kumdhalilisha mtu aliyemtaja kwamba...

READ MORE

Amini Afungukia Watu Kupenda Mahusiano Yake Na Linah

AMINI Mwinyi Mkuu ndiyo jina halisi alilopewa na wazazi wake, lakini kwa mashabiki wa Bongo Fleva hapa nchini wanamjua kwa...

READ MORE

Video: Madam Ritha Aongea Kumlipa Mshindi BSS

 KWA mara ya kwanza Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoandaa shindano la Bongo Star Search, Madam Ritha, amejitokeza...

READ MORE

Video: Chimbuko La Bongo Fleva Kwenye ‘Old Is Gold’ | Global Radio

KIPINDI cha Bongo 255 kinachoruka kupitia Global Radio, Mei 14, 2020 kimepiga stori na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh...

READ MORE

Sabby Angel: Mapenzi Yameniponza

MUIGIZAJImahili wa Bongo Muvi, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa mapenzi ya ulaghai yamempotezea dira ya maisha yake.   Akizungumza...

READ MORE

Tunda: Sidangi, Corona Haijanizuia Kula Bata

MTOTO wa mjini ambaye jina lake halisi ni Anna Kimario ‘Tunda’ amekuwa kimya, wambea wameanza kuibua maneno oooh, anaishije kipindi...

READ MORE

Wema: Nt’aachika Kwa Mengine Sio Mapishi

WEMA Sepetu amesema kuwa hana wasiwasi kwenye kumridhisha mwanaume atakayekuja kuwa mumewe katika kipengele cha mapishi, kwani yupo vizuri.  ...

READ MORE

Ray Alia na Waziri Mwakyembe

  STAA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amelia na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini, Dk...

READ MORE

Tanasha Soma Hiyo Kutoka Kwa Wema, Mobeto!

MAUMIVU mengine hupotea baada ya siku kadhaa. Mengine wiki au miezi kadhaa. Mengine huchukua miaka kupotea na kuna mengine hayapotei...

READ MORE

Vita ya Harmo, Vanny Boy iko huku!

VITA mpya ya wakali wengine wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ huku kwenye Mtandao wa YouTube....

READ MORE

Harmo Ashikilia Roho ya Sarah

WAKATI wengine roho zao zikishikiliwa na Mwenyezi Mungu, kwa upande wake mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmo’,...

READ MORE

MC Pilipili Amuomba Mondi V-8 la Tanasha

NI Jumamosi nyingine mpenzi msomaji tunakutana kwenye My Style. Hapa tunaweza kuzijua staili mbalimbali za maisha ya msanii akiwa nyumbani....

READ MORE

Nikki wa Pili: Sijawahi kuwaza kutoka Weusi

UKIZUNGUMZIA wanamuziki wasomi Bongo, huwezi kumuepuka Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’, ni moja kati ya wasanii wa Hip Hop kutoka...

READ MORE

Nicole Avuruga Penzi La Harmo na Sarah

KAMA hufahamu, mrembo Nicole Joyberry anayejinasibu kuwa ni mkulima wa matikiti mkoani Iringa, ametibua penzi kati ya msanii Rajabu Abdul...

READ MORE

Lulu Diva Achukia Utimu Kwenye Gemu

SEXY Lady kunako anga la Bongo Fleva, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kwa upande wake anachukia sana mambo ya...

READ MORE

Hatimaye Siri Ya Diamond Kununua Mjengo Mpya Imevuja

BAADA ya staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutangaza kununua mjengo mpya ambao ni hoteli ya nyota...

READ MORE