×

Burudani

Imevuja! ‘Nandy Ametupiwa Jini’

DUNIA ina mambo mengi sana! Unaweza kusema hivyo kutokana na aliyoyasema Mchungaji wa Kanisa la The World of Reconciliation Ministries...

READ MORE

Ndoa ya Maya yamzulia balaa Johari

DAR Mwigizaji Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunga ndoa, lakini kwa upande mwingine, ndoa hiyo imemzulia balaa mwigizaji mwenzake wa filamu za...

READ MORE

 Shetta afunguka Mondi kumpora mama Qayllah

SHETTA ndilo jina linalompa ugali wa kila siku. Lakini Nurdin Bilal ndilo analotumia kwenye kitambulisho cha Nida, hati ya kusafiria,...

READ MORE

Ndoa ya kiba yafufukia kwa dada’ke!

DAR: Unakumbuka lile sakata la kuvunjika kwa ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na mkewe,...

READ MORE

Siyo Wasanii Ila Ndio Wenye Bongo Fleva Yao!

KWA sasa muziki wa Bongo Fleva umeshamiri sana, umevuka mipaka ya nchi, bara na unasikilizwa duniani kote.   Lakini hadi...

READ MORE

MONDI, TANASHA WAWEKA REKODI MPYA

 STAA wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna,...

READ MORE

UWOYA: SIPENDI KUOGA, NAPENDA SANA POMBE!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya My Style! Kama ilivyo kawaida, huwa tunakuletea mastaa wakubwa hapa Bongo...

READ MORE

Lupita Nyong’o, Beyoncé Washinda Tuzo ‘NAACP Image Awards 2020’ – Video

Muigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong’o anaendelea kuvuna matunda ya ushiriki wake katika filamu ameondoka na tuzo ya ‘Outstanding Actress In...

READ MORE

LYNN Azungumzia Wimbo wa GERE, TANASHA ft Diamond – Video

MUUZA nyago maarufu Bongo, Irene Godfrey maarufu kama Lyyn amezungumza kuhusu kutajwa katika mitandao ya kijamii kuwa katika nyimbo ya...

READ MORE

TEMBO WA HARMO AZUA BALAA

VITA ya panzi majani ndiyo yanayoumia! Unaweza kutumia msemo huu kutokana na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul...

READ MORE

Mzigo wa shamsa umesakwa balaa!

WABONGO sasa hivi akili zao wanazijua wenyewe! Unaambiwa wewe waambie tu kuna ‘mzigo’ wa staa fulani, watautafuta kwelikweli ili wawe...

READ MORE

Video: CARRY MASTORY Amvaa DIAMOND – “Ile SUTI Mbaya, TANASHA Asingeimba”

 MDAU maarufu wa mitandao, Carry Mastory, amepiga stori na Global TV na kuichambua ngoma mpya ya mwanamuziki, Diamond Platnumz...

READ MORE

Faida ya zawadi mwenza kwa wapendanao!

WIKI ILIYOPITA tuliuliza swali, kama umeingia kwenye ndoa na mkeo akapata ujauzito. Mlipoenda kupima afya, mnabainika wote mmeathirika, ingekuwa ndio...

READ MORE

Wema: Diamond Tunaongea, Sijam-follow Instagram – Video

 MUIGIZAJI  nyota wa Bongo Movie, Wema Sepetu, jana Februari 21, 2020,   amesema msanii Diamond Platnumz ni rafiki yake na...

READ MORE

Harmo asakwa kwa deni la mamilioni

DAR: Mambo si mambo kwa mkali wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’, inadaiwa kuwa kuna jamaa wanamsaka kwa...

READ MORE

Daktari: Mama Mondi Ana Gonjwa Baya

PICHA ya chumbani aliyoiposti mitandaoni mama mzazi wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Sanura Kassim ‘Mama D’ ikionesha akiwa kitandani na...

READ MORE

Mamilioni Ya Kanumba Yazua Tafrani Tena – Video

NGOMA nzito! Ndivyo unavyoweza kutamka kutokana na mamilioni ya aliyekuwa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba kuzua tafrani tena...

READ MORE

CHUCHU: Mimba 6 za Ray ziliharibika

DAR: Mwanamama mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa, kabla hajampata mtoto wake, Jaden Vincent na mwigizaji mwenzake,...

READ MORE

Mdogo wa Jose Chameleone, Anusurika Kifo Sauz

PALLASO ambay ni ndugu wa msanii wa muziki  nchini Uganda, Jose Chameleone, ameshambuliwa na kuumizwa nchini Afrika Kusini  katika shambulio...

READ MORE

Bonga Aachana na Harmonize, Atimkia Lykos Empire – Video

Prodyuza wa Harmonize almaarufu kwa jina la Bonga leo ametangaza rasmi kuachana na msanii huyo na kujiunga lebo ya Lykos...

READ MORE

Maskini wema !

KILA kukicha hali ya staa wa Bongo Muvi inazidi kubadilika kutokana na kuzidi kukondeana jambo ambalo linazidi kuwashtua wengi na...

READ MORE

Uwoya: Msami anapenda tu kampani yangu

BAADA ya hivi karibuni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Msami kueleza kuwa hawajawahi kuachana kimapenzi, msanii wa Bongo Muvi, Irene...

READ MORE

Mjengo wamuumbua Mke wa Rayvanny

AMEUMBUKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mjengo ambao mke wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahima Msenga ‘Fahyvanny’...

READ MORE

Tiffah, Nillan kumponza Mondi

WATOTO wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ (4) na mdogo wake, Nillan Nasibu...

READ MORE

Nandy aonesha jeuri ya fedha

MWENYE nacho ataongezewa! Ndivyo msanii Bongo wa Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ (26), anavyozidi kuonesha jeuri ya fedha.  Usikumbuke mjengo...

READ MORE

Snura Akana kumwagana na Minu

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amekanusha kuwa hajaachana na mpenzi wake Minu Calypto kama ambavyo watu...

READ MORE

Tahiya: Hamisa hawezi kuwa mke mwenzangu

MREMBO wa mjini, Tahiya John amemvaa kwa mara nyingine mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto na kusema kuwa...

READ MORE

TECNO ilivyosherehekea Siku ya Wapendanao na wateja wake

Katika kusherehekea siku ya Wapendanao, kampuni ya simu za mkononi TECNO ilisherehekea siku hii maarufu ya Valentine na wateja wake...

READ MORE

Sarah wa Harmo Awachefua Warembo Uganda

KWA matarajio yao, baadhi ya warembo wa Kiganda walifikiri staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ atazuru nchi hiyo akiwa...

READ MORE

Mondi, Tanasha Tutawambia Nini Watu?

TUTAAMBIA nini watu? Ndiyo msemo unaotumika huko mitandaoni baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kurejesha mapenzi...

READ MORE

Fahyma – ‘Rayvanny Hata Alie, Agalegale’, Sijasikiliza Nyimbo Zake -Video

 Mwanamitindo maarufu Bongo, Fayma, Februari 14, 2020 ameamua kusheherekea sikukuu ya wapendanao kwa kutoa misaada kwa watoto yatima na...

READ MORE

Video Mpya: Rayvanny Ft Mr Blue – Mama La Mama

 Msanii Raymond alimaarufu kama Ray Vanny leo Feb 15, 2020 ameachia video ya wimbo wake mpya wa Mama La...

READ MORE

Lulu Atoa Kali Ya Mobeto

Staa machachari wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali kuwa, kama ni kweli watoto wa mwanamitindo na msanii...

READ MORE

Mobeto: Mniache sina mwanaume

MWANAMAMA anayebeba ‘taito’ tatu kwa mpigo ya uigizaji, mwanamuziki na mwanamitindo, Hamisa Mobeto amesema hana mwanaume na hahitaji usumbufu.  Akizungumza...

READ MORE

Ommy Dimpoz Apata Shavu NBA Marekani

MSANII wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amepata mwaliko rasmi wa kuhudhuria michezo ya NBA All-Star ambayo itafanyika Chicago Marekani kuanzia...

READ MORE

INFINIX WALICHOWAFANYIA WATEJA WAO VALENTINE

Kampuni ya simu za mkononi ya Infinix Mobile Tanzania katika kusherehekea siku ya wapendanao leo imezindua duka jipya maarufu kama...

READ MORE

Ukweli Harmo kumtema Sarah

HABARI inayofukuta huko mitandaoni zinadai kwamba mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amemwagana na mkewe Sarah, lakini...

READ MORE

Mama Godzilla: wasanii wamenitenga

MAMA wa aliyekuwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Bongo, marehemu Golden Mbunda ‘Godzilla’, Marry Challe amefunguka kuwa, wasanii wengi...

READ MORE

Kisa Kobe Bryant, Rihanna Aogopa Kupanda Helikopta

MSANII wa muziki na mitindo nchini Marekani, Rihanna Fenty, ameweka wazi kuwa, tangu kifo cha nyota wa mpira wa kikapu...

READ MORE

Ndoa ya muna yazua utata

BAADA ya hivi karibuni habari kuzagaa kuwa msanii wa filamu ambaye alikuwa mlokole, Rose Alphonce ‘Muna’ amebadili dini na kuolewa...

READ MORE