×

Burudani

Anguko Kubwa Mastaa 2020

MWAKA 2020 utakuwa wenye anguko kubwa kwa mastaa wa Bongo, habari mpya kutoka kwa mtabiri maarufu, Afrika Mashariki na Kati,...

READ MORE

Benpol Ammwagia Sifa Mpenzi Wake – Video

Benpol amekuwa ni miongoni mwa mastaa waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kipindi cha mtangazaji, Salama Jabir. Ben amepiga stori na Global...

READ MORE

Aunt, Iyobo Wafanya Tambiko Mapangoni

TANGA: MUIGIZAJI Aunt Ezekiel na mzazi mwenziye Moses Iyobo wamefanya ziara kwenye mapango ya Amboni jijini Tanga ambapo pamoja na...

READ MORE

VANNESA: Niombeeni, nimebakisha ndoa tu!

MWANADADA Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amefunguka vigezo anavyovitaka kwa mwanaume anayetaka awe baba wa watoto wake ambapo amesema mwanaume aliyenaye...

READ MORE

Petit atoa somo la mahusiano

MENEJA wa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ahmed Manungwa ‘Petit Man’ amesema kwamba haoni kama kuna umuhimu wa kuyaanika...

READ MORE

Batuli afichua siri ushosti wake na Wema

MREMBO Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefichua siri kuhusu urafiki wake na muigizaji Wema Sepetu kuwa ulirudi muda mrefu ila watu hawakufahamu. ...

READ MORE

Kufuru ya Pesa… Mondi Hakamatiki

KAMA ulikuwa unawaza kuna mtu kwenye tasnia ya Bongo Fleva wa kushindana naye mpaka sasa, unajiongopea! Mkali wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Hawa: Naogopa kuumizwa

  HAWA Said almaarufu kama Hawa Nitarejea ni miongoni mwa wasanii ambao walifanya vizuri kipindi cha nyuma hasa baada ya...

READ MORE

Aslay afunguka kujiunga Wasafi

KWA mara ya kwanza, staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka Nassoro amefunguka juu ya tetesi za muda mrefu kwamba, yupo...

READ MORE

Tamasha la KAN Lamalizika kwa Kishindo

MSIMU wa pili wa tamasha la Knowldge Art and Networking (KAN) umemalizika jana kwa kishindo na kuacha wapenzi wa burudani...

READ MORE

VIDEO: Vituko vya PETER MSECHU Akiingia Ukumbini na Mkewe

Msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Tanzania, Peter Msechu na Mke wake Amma wamewavunja mbavu watu waliohudhuria sherehe ya...

READ MORE

Jukwaa la KAN Lawa Gumzo Kwa Wapenzi wa Burudani

Ubunifu uliotumika kutengeneza jukwaa kuu la Knowledge, Art na Networking (KAN) umekua kivutio kikubwa kwa wapenzi wa sanaa na burudani...

READ MORE

Aunt: Ushosti wa Wema, Batuli haunihusu!

STAA wa Bongo Muvi; Aunt Ezekiel amesema kitendo cha shosti wake wa kitambo Wema Sepetu kurudisha urafiki wake kwa muigizaji...

READ MORE

Tunakosea Kumlinganisha Young Killer na Young Lunya

IMEKUWA ni jambo jema sasa kwa mashabiki wengi na vyombo vya habari hususan redio na televisheni huwa wanajaribu kuwalinganisha wasanii...

READ MORE

Tanasha kuwakutanisha Diamond, Harmonize!

  Mwanamuziki anayekuja resi kwenye muziki wa Kizazi Kipya; Tanasha Donna Oketch, anadaiwa kupanga kuwakutanisha mastaa kibao wa muziki huo...

READ MORE

Kuhamia Nyumba Mpya… Mobeto Yamkuta

DAR ES SALAAM: Baada ya picha za mjengo wake mpya uliopo maeneo ya Mbezi Beach, Dar kuvuja, mrembo Hamisa Mobeto...

READ MORE

MAMA: Sitaki Kuhusishwa na Wema

  MZAZI anaposema hataki kuhusishwa na mambo ya mwanaye, Kibongobongo anakuwa anamaanisha nini; kwamba amemchoka au ametoa uhuru wa mtoto...

READ MORE

Lulu diva ataja siri kuvaa nusu utupu

KUTOKANA na hivi karibuni kuonekana kucharuka kwa kuvaa nusu utupu, staa wa muziki wa Bongo Fleva; Lulu Abasi ‘Lulu Diva’...

READ MORE

HARMO wimbo wake mpya… Matatani tena!

AMKENIII! Wimbo wake wa Hainistui umemtia matatani tena msanii maarufu Bongo, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize au Harmo.  Dishi la...

READ MORE

MBIVU, MBICHI PENZI LA MARIOO, MIMI MARS

MARIOO jina lake halisi ni Omary Ally Mwanga. Huyu jamaa anatajwa kuwa ndiye mfalme ajaye wa muziki wa Bongo Fleva. ...

READ MORE

Video ya wema , Lulu diva yazua utata

VIDEO iliyosambaa kwenye Mtandao wa kijamii wa Instagram ya msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na mwanamuziki, Lulu Abbasi ‘Lulu...

READ MORE

MUNA akana kutumia ulokole kuibia watu

BAADA ya madai kuzagaa kuwa anatapeli, msanii wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amekana kuwa hatumii kivuli cha ulokole...

READ MORE

Mbosso Amwagana na ‘Mkewe’, Amkumbuka Marehemu Martha

  HABARI zinazosambaa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii zinadai kwamba msanii wa Bongo Fleva, Mbosso,  ameachana na mzazi mwenzake...

READ MORE

MAUA SAMA THT ILINIONDOA UOGA!

MAUA Sama ni miongoni mwa warembo ambao Kibongobongo wanafanya vizuri.  Amezungumza na Gazeti la Risasi Mchanganyiko mambo mengi yanayohusiana na...

READ MORE

Marioo Aibua Vita Mpya Mondi, Harmo

BWA’MDOGO anayefanya poa kwa sasa kwenye anga la Bongo Fleva, Omari Mwanga ‘Marioo’, ametajwa kuwaingiza kwenye vita mpya, mastaa wa...

READ MORE

Lyyn: Sina tatizo na Tanasha

MREMBO anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Irene Godfrey ‘Lyyn’ amefunguka kuwa yupo tayari kufanya ngoma na mzazi mwenzake...

READ MORE

Diana atamani kuwa Mama 2020!

  MSANII wa Bongo Muvi, Diana Kimari ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani, amesema anatamani sana mwaka huu aitwe mama...

READ MORE

Mauno Yasimamisha Ujenzi wa Barabara

DUNIA Uwanja wa Fujo ni riwaya iliyoandikwa na Euphrase Kezilahabi, ikielezea jinsi maisha ya duniani ni sawasawa na fujo! Ndivyo...

READ MORE

Huddah: Nimetembea na Kila Aina ya Wanaume

MSANII wa muziki, mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka Kenya, Huddah Monroe, amefunguka na kusema kwamba ameshatembea na kila aina ya wanaume,...

READ MORE

Shilole Atangaza Nia Kugombea Ubunge Igunga 2020

MSANII wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameendelea kuwekea msisitizo kauli yake ya kugombea ubunge huko kwao Igunga...

READ MORE

Vanessa Ale Bata, Asisahau Muziki!

PENZI jipya lina raha yake wewe! Unaweza ukasahau hata kula au kuwaona na kuwasalimia wazazi wako kwa sababu tu unafurahia...

READ MORE

Darleen: Hee! Ndoa yangu imevunjika!?

“NILIJUA tu hawezi kudumu kwenye ndoa!” Ni maneno yaliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii wikiendi iliyopita ikidaiwa kuwa, ndoa ya msanii...

READ MORE

Baba Levo Akerwa na Diamond, ‘Ameleta Udini’

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na diwani wa kata ya Mwanga kaskazini Baba Levo amefunguka na kuonyeshwa kukerwa na...

READ MORE

Gigy Money na Tetesi za Kumpa Penzi Patrick Kanumba

BAADA ya kusambaa kwa tetesi mitandaoni kwamba msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anaminya kimalovee na mwigizaji wa...

READ MORE

Official Lyyn: Ntafanya Kolabo na Tanasha – Video

Msanii wa Bongo Fleva na Video Vixen maarufu Bongo, Official Lyyn, leo Jumatatu, januari 20, 2020, amefanya Exclusive interview na...

READ MORE

Ally Rehmtullah Aja na Gia Mpya Ya Vazi la Kitenge

Mbunifu maarufu wa mitindo hapa nchini Ally Rehmtullah, jana alikuja na gia mpya kwa kufanya hafla ya kuwaunganisha wabunifu wa...

READ MORE

Video: Msanii Khadija Ziota Atuma Ujumbe Mzito Kwa Wanaume

 Msanii wa Bongo Fleva, Khadija Ziota (Madam Ziota) amesema biashara ya wakina dada kuuza miili yao imeongezeka kwa kasi...

READ MORE

MONDI AONYWA REKODI YA KUCHEZEA WANAWKE

WAKATI lile penzi shatashata la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna Oketch, likidaiwa...

READ MORE

Will smith afichua wivu wake kwa Tupac !

  MWIGIZAJI mkubwa duniani kutoka pande za kwa Trump, Will Smith amefunguka kwamba alikuwa na wivu mno pale alipomuona mkewe...

READ MORE

Mwijaku Aibuka na Tausi Kuzaa Nje ya Ndoa “Kwani Hana Hisia?” – Video

MTANGAZAJI na msanii ambaye amejizolea umaarufu kwa kukosoa mahusiano ya wasanii wa Bongo, Mwijaku amevunja ukimya na kuwafungukia wote waliokuwa...

READ MORE