×

Burudani

MPENZI WA BABY J AMCHANA ESMA!

MAPENZI bwana, kweli ni upepo wa Kisulisuli! Mzazi mwenziye na mwanamuziki maarufu visiwani Zanzibar, Jamila Abdalah ‘Baby J’, Abood amemtaka...

READ MORE

PUB YA AUNT YAMLIZA WEMA!

WEMA Sepetu amesema hakuna kitu kilichomuuma na kumkosesha usingizi kama kufungwa kwa Pub ya rafiki yake, Aunt Ezekiel.  Akizungumza na...

READ MORE

SBL yaahidi makubwa kuelekea mechi ya Stars na Equatorial Guinea

Mdhamini mkuu wa Timu yaTaifa (Taifa Stars) Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium...

READ MORE

Rosa Ree vs Basata Nani wa Kulaumiwa? – Video

IMEKLUWA gumzo tokea Rosaree na Timmy Tdat walipotoa ngoma yao ya VITAMIN U ambapo wengi wanalalamika kutokana na video hiyo...

READ MORE

 Jux: Amethubutu, ameweza

WEKA pembeni uhusiano wake na yule ‘Mchina’ mwenye asili ya Thailand, Nayika Thongom, kwa sasa Juma Musa ‘Jux’ ndiye habari...

READ MORE

Binti Yake Kwenda Chuo Kikuu, Afande Sele Achinja Mbuzi – Video

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Selemani Nyandindi almaarufu kama Afande Sele, ameangusha bonge la Pati na kuchinja mbuzi akisheherekea matokeo ya...

READ MORE

Hatima ya Idris kujulikana leo

MCHEKESHAJI na mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan leo anatarajiwa kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati kujua...

READ MORE

Mwijaku Aibukia kwa Mkewe

ACHANA na maneno ya picha chafu za Meninah, msanii Burton Mwamba ‘Mwijaku’ ameibuka na kumfagilia mke wake kuwa ana akili...

READ MORE

Penny Anajisifia Kwa Hili

KILA mtu anapenda kujisifia sehemu mbalimbali za mwili wake, ushawahi kujiuliza aliyekuwa mtangazaji matata wa stesheni mbalimbali za redio, Penieli...

READ MORE

Ebitoke: Mlela Atarudi Kwa Magoti

SIKU hizi kuna usemi usemao bana mpaka penati! Ndivyo anavyoonesha mchekeshaji wa kike, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ baada ya kutokubali kama...

READ MORE

Kaburi la Bongo Fleva la Chimbwa!

MUZIKI wa Nigeria umesambaa kwa kiasi kikubwa barani Afrika, Ulaya, Amerika na kwingineko. Hilo halina ubishi na ndiyo maana staa...

READ MORE

Mario Msoto Wake Hadi Anatoboa Noma

KATIKA toleo la Gazeti la Spoti Xtra Alhamisi iliyopita, Marioo alianza kuelezea historia ya maisha pamoja na kazi yake ya...

READ MORE

Idris amtoa chozi Lulu Diva!

SEXY lady wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ hivi karibuni alijikuta akidondosha chozi kufuatia msala alioupata mchekeshaji, Idris Sultan...

READ MORE

SIRI TATU VITA YA MONDI,KIBA

MAMBO bado ni moto! Ile vita kati ya mafahari wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na Nasibu Abdul...

READ MORE

Rich Mavoko, Chidi Benzi, Lulu Diva, Weusi Wafunika Fiesta Mtwara – Video

  ZAIDI ya wasanii 10 usiku wa kuamkia leo Jumapili 3, 2019 mkoa wa Mtwara wametoa burudani ya aina yake...

READ MORE

Shoo Ya Nandy Yafunika Tigo Fiesta Mtwara – Video

Msanii wa Bongo Fleva Kutoka nyumba ya vipaji ya THT, Nandy usiku wa kuamkia leo Jumapili Novemba 3, 2019  amefanya...

READ MORE

VIDEO: Shoo Ya Lynn Kwenye Fiesta Mtwara Usipime

 Video Vixen na msanii wa Bongo fleva Irene Louis maarufu kama Lynn amefanya shoo ya aina yake usiku wa...

READ MORE

Ndoa yamkera Lulu

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kusema hakuna kitu kinachomkera kama watu kumuuliza kuhusu ndoa kwamba...

READ MORE

Wema Afichua Siri mpya na Mondi

HATA kama mtu umeachana naye kwenye uhusiano wa kimapenzi, haikatazwi kuzungumzia au kukumbukia nyakati nzuri na mbaya mlizopitia enzi za...

READ MORE

Serikali yamliza Aunt Ezekiel

MASKINI! Ikiwa ni miezi miwili tu imepita tangu alipofungua pub yake kubwa ya kisasa maeneo ya Mikocheni jijini Dar es...

READ MORE

Odemba ajitoa kimasomaso!

MWANAMITINDO wa kimataifa Bongo mwenye makazi yake jijini Paris, Ufaransa, Miriam Odemba amejitoa kimasomaso katika kuhamasisha upatikanaji wa maji safi...

READ MORE

Muna ameenda sana kwa sangoma!

SIKU zote ukweli humweka mtu huru! Hilo ndilo linalojiri kwa mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ ambaye...

READ MORE

MASTAA WA KIKE WANAVYOPIGA DILI ZA UBALOZI

ILI uwe balozi wa bidhaa fulani, msanii unatakiwa uwe na mashabiki wengi, uwe na heshima japo kila anayetaka kukupa dili...

READ MORE

Harmo amemzidi Mondi kwa busara!

MOJA kati mahojiano bora ambayo Rajabu Abdul ‘Harmonize’ amewahi kuyafanya basi ni yale aliyoyafanya wiki iliyopita, ambapo alifu-nguka mambo mengi...

READ MORE

Mrembo Ajinunulia Jeneza Mil 22

KAMA ulikuwa unadhani warembo wa Bongo pekee ndiyo wamefyatuka, basi unajidanganya kwa sababu kuna fyatu zaidi yao, Risasi Mchanganyiko lina...

READ MORE

Dimpoz amzidi ujanja Kiba

KUFANYA kitu ambacho hujategemea siyo jambo la kitoto! Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amemzidi ujanja...

READ MORE

Rayvanny aliamsha dude kwa lulu diva

MANENO huko Instagram kama yote! Kisa tu, Rayvanny alimuita Lulu Diva Shemela kwenye ukurasa wake wa Instagram. Rayvanny aliposti picha...

READ MORE

Kajala afunguka kutoswa na Aunt, Uwoya

BAADA ya kutoalikwa kwenye sherehe mbili za mastaa wenzake, Irene Uwoya na Aunt Ezekiel, muigizaji Kajala Masanja amesema kuwa haoni...

READ MORE

Aunt Aanika Siri Kumrudia Iyobo

KUNA usemi usemao bibi na bwana wakigombana, shika jembe ukalime! Hilo limedhihirika baada ya tukio la hivi karibuni la staa...

READ MORE

Mlela anaswa na mrembo

UTAWAAMBIA nini watu! Mwigizaji kunako kiwanda cha filamu Bongo, Yusuph Mlela amenaswa na mrembo mpya na baada ya kubanwa ameomba...

READ MORE

Uno ya harmo… Kikao cha dharura WCB!

HALI inaonekana si shwari kimtindo ndani ya ukumbi huu wa Kam Jee maeneo ya Mbezi-Beach jijini Dar ambapo kuna kikao...

READ MORE

Kisa JPM, Makonda Amtaka Idris Ajisalimishe Polisi Haraka

Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda amemtaka muigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Idris Sultan kufika katika kituo chochote cha...

READ MORE

Mondi Ajirudi Kwa Kiba, Harmo

AMEONESHA uungwana! Hiyo ndiyo kauli ambayo imezungumzwa zaidi wikiendi iliyopita mara baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

 ZARI AMKINGIA KIFUA MPENZI WA VANESSA

BAADA ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’ kuthibitisha kuwa kwenye penzi jipya na staa wa Hollywood, Marekani mwenye...

READ MORE

Meneja Afunguka Tuzo ya Mtvema kwa Harmonize

zimepita tangu msanii aliyekuwa katika lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) Rajab Abdul ’Harmonize’ aondoke na kwenda kuanzisha lebo yake...

READ MORE

Sanchi: Kama Baby Anataka, Wewe ni Nani Upinge?

MWANAMITINDO na mjasiriamali maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’, amewakata vilimilimi baadhi ya watu wanaomfikiria baby wake anakuwa katika hali gani...

READ MORE

Meninah Maisha Yanaendelea!

MSANII wa Bongo Fleva na mwigizaji Menina Attick ‘Meninah’, amesema hata kama ataamua kujifungia ndani, lakini ukweli unabaki palepale kuwa,...

READ MORE

Harmonize awakera Wakenya, afanya interview kwa dakika 3

Wanahabari wa nchini Kenya, wakasirika baada ya Mwanamuziki kutoka Tanzania, Harmonize kuwapa dakika 3 za mahojiano Mwanamuziki huyo aliyeachia kibao...

READ MORE

Simbu Ashinda Medali ya Silver Riadha ya Majeshi Duniani

MWANARIADHA Alphonce Simbu amefanikiwa kushinda medali hiyo katika Mashindano ya Majeshi ya Dunia yanayoendelea nchini China. Mwanariadha huyo ambaye ni...

READ MORE