×

Burudani

Esma: Hatutaki Mwanamke wa Kumkumbatia Mondi

UKISIKIA familia yenye mambo, basi ni hii ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye dada yake, Esma Khan ameweka wazi...

READ MORE

Tigo Fiesta Ilivyoacha Historia Dodoma

ZAIDI ya wasanii 16 juzi walitingisha baada ya kutoa burudani ya aina yake katika tamasha la Tigo Fiesta Saizi Yako,...

READ MORE

Shilole Humwambii Kitu Kwa Mapishi!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa kolamu hii nzuri ya My Style? Hapa kazi ni moja tu; kuzungumza na mastaa...

READ MORE

Mambo 5 Yampa Harmonize Ubunge 2020

‘NI sawa na kumpiga teke chura’ ndivyo tunavyoweza kutafsiri baada ya hivi karibuni Rais Dk John Magufuli kubainisha wazi kuwa...

READ MORE

Fahyma Anena Bifu Lake na Lulu

WAKATI stori zikien­delea kusambaa mitandaoni ame­chukuliwa mumewe na mwigizaji Eliza­beth Michael ‘Lulu’, mke wa msanii wa Bongo Fleva, Ray­mond Mwakyusa...

READ MORE

Video: Goodluck Alivyoifanya Fiesta Dodoma Kuwa Kanisa!

Mwanamuziki wa Injili Goodluck Gozbert usiku wa kumkia leo Oktoba 20, 2019 amefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la...

READ MORE

MSAMA: Sijawahi Kutoka na Mwimba Injili

LICHA ya habari kuzagaa kuwa amewahi kutoka kimapenzi na staa wa muziki wa Injili, Rose Muhando, Mkurugenzi wa Msama Promotion,...

READ MORE

kylie Jenner Mpiga Kibuti Tyga Arudi Kwa Travis Scott

BAADA ya kuenea kwa taarifa kuwa Baby mama wa Travis Scott, mrembo Kylie Kurudiana na rapa Tyga sasa basi mtandao...

READ MORE

Nicki Minaj Kuanzia Sasa Yuko Tayari Kuolewa

RAPA wa kike kutoka pande za Marekani, Nicki Minaj kuanzia sasa yuko tayari kusema “I do” Kwenye usiku wa kuzindua...

READ MORE

Mobetto: Siachi Muziki kwa Maneno ya Watu

MREMBO ambaye kwa saa anatamba na kibao chake cha Sensema akimshirikisha Whozu, Hamisa Mobeto amesema kamwe hatarajii kuacha kufanya muziki...

READ MORE

Gigy Money: Wanaume Muwanunulie Pedi Wapenzi Wenu- Video

MSANII wa Muziki wa Bongo Flea, Gift Stanford amewakumbusha wanaume kuwa mbali na zawadi wanazowapelekea wapenzi wao pia wanapaswa kuwanunulia...

READ MORE

Hawa Afichua Siri Kujichora Tattoo Ya Diamond

WEKA pembeni mapito aliyoyapitia! Hawa Mayoka ‘Hawa Nitarejea’ wa sasa amekuwa mpya! Amerudi enzi zile alizokuwa akisikika na sauti ile...

READ MORE

Birthday za Buza: Kusutana, Mauno, Ngoma Yafunga Mtaa – Video

PAMBE ZA KITAA: Ni kipindi kipya cha Uswazi kupitia Global TV Online kinachotoka mjengoni na kutinga mtaani uswahilini kujionea yale...

READ MORE

Maya: Mume Wangu ni Sapraiz

MAYAMUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa, watu wenye kiu ya kutaka kumjua mume wake mtarajiwa watulie...

READ MORE

Kitenge: Nimetua Rasmi Wasafi FM

  MTANGAZAJI maarufu wa Habari za Michezo Tanzania, Maulid Kitenge ‘chumvi’ ameweka wazi kuwa ameachana na Kituo cha Redio cha...

READ MORE

DNA kumaliza utata mtoto wa Diamond

Unakumbuka ule utata wa binti wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’, aliyemzaa mwaka...

READ MORE

Watoto wa Kim Kardashian Wabatizwa Armenia

Kim Kardashian na watoto wake watatu wamebatizwa wakati wa ziara yao huko Armenia.  Nyota huyo mwenye miaka 38 amesambaza mtandaoni...

READ MORE

Elton John: Michael Jackson Alichanganyikiwa  

Sir Elton John mwanamuziki nyota wa Uingereza  amesema  hayati bingwa wa muziki wa pop, Mmarekani Michael Jackson aliyamaliza maisha akiwa...

READ MORE

Bata la Lyyn Dubai usipime!

WAKATI watu wakidai kuwa hali ni ngumu, kwa upande wa mwanamuziki anayeanza kufanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Irene Loiuse ‘Lyyn’...

READ MORE

Kaka wa Nicki Minaj Hatiani kwa Kubaka Kibinti Miaka 11

KAKA wa rapa Nicki Minaj ametiwa hatiani kwa kubaka kibinti cha umri wa miaka 11 nyumbani kwake huko Long Island,...

READ MORE

WASHINDI WA TIGOPESA WAKALA PROMOSHENI WAKABIDHIWA ZAWADI

  Kampuni ya simu ya Tigo leo imetoa zawadi kwa washindi watatu wa promosheni ya tatu ya mawakala wa Tigo...

READ MORE

Mwanariadha Kipchoge Aweka Rekodi ya Marathon

MWANARIADHA wa Kenya, Eliud Kipchoge, amekuwa binadamu wa kwanza kukimbia mbio ndefu (marathon) kwa kutumia muda wa saa 1 dakika...

READ MORE

Wasio na KONEKSHENI’ hawajaona ila imetosha!

KUNA matukio ambayo siku za hivi karibuni yametokea kwenye ulimwengu wa maisha ya mastaa Bongo na kushitusha sana. Nazungumzia matukio...

READ MORE

Pharrell Williams Anaichukia Mistari Ya Ngoma Zake

MWANAMUZIKI kutoka pande za Marekani, Pharrell William amefunguka kuhusu mistari ya ngoma zake za zamani ilikuwa mibaya hapendezwi nayo tena....

READ MORE

Sasa ni zamu ya wakaazi wa Dodoma, Tigo Fiesta 2019 Chemsha Bongo

Kampuni inayolenga kuleta mageuzi ya kidigitali katika maisha ya watanzania, Tigo, leo imetangaza promosheni kabambe ijulikanayo kama Tigo Fiesta 2019...

READ MORE

Wenye Video Chafu za Meninah Kimenuka!

HAKUNA aliye salama! Hiyo ndiyo taarifa kutoka Jeshi la Polisi ambayo imetua kwenye Dawati la Gazeti la Ijumaa Wikienda kwamba,...

READ MORE

Hot 97 Wakanusha Taarifa Za Kutopiga Muziki Wa Tekashi 69

MTANGAZAJI  Ebro Darden wa Hot 97 amekanusha taarifa zilizotolewa na mtandao wa TMZ kuhusu kituo chao cha radio Hot 97...

READ MORE

Cristiano Ronaldo aweka rekodi nyingine kubwa duniani

Mshambuliaji wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo jana usiku ameweka rekodi ya kuwa mchezaji...

READ MORE

Diana hapawezi mamtoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli...

READ MORE

Nandy madili ya mamilioni kama yote!

SEXY lady kunako Bongo Flevani, Faustina Charles ‘Nandy’, anaendelea kulamba madili ya mamilioni kama yote. Wiki iliyopita alisaini mkataba wa...

READ MORE

Tamasha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako lafana Sumbawanga

Mtangazaji  wa kipindi cha Double XXL kinachorushwa na radio ya crouds fm ambaye alikuwa moja washereheshaji katika tamasha la Tigo...

READ MORE

Mke wa Rayvanny Abanwa Kumkuwadia Mondi

UKISIKIA mambo ni moto ndiyo haya sasa! Wakati mwandani wa mwanamuziki wa kimataifa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Kanye West Ataki Kumuona Kim Kardashian Kwenye Mavazi Ya Utupu

MWANAMITINDO kim kardashian ameanza kupata wakati mgumu kidogo maana mume wake Kanye West ameanza kushikiria vizuri sheria za wokovu kwa...

READ MORE

Huddah Amtikisa Zari kwa Utajiri

DAR ES SALAAM: Huku wakidaiwa kuchukuliana mabwana, mrembo maarufu Afrika Mashariki anayetokea jijini Nairobi, Kenya, Huddah Monroe ametajwa kuwa miongoni...

READ MORE