×

Celebrities

LULU DIVA AANIKA SIRI YA KUUCHA MUZIKI

B AADA ya tetesi kusambaa kuwa ameachana na muziki na kujikita kwenye tamthiliya, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu...

READ MORE

KOLETHA, BEN BRANKO NUSURA WAZICHAPE

NI shida! Mkongwe wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond na msanii mwenzake, Ben Branko hivi karibuni waliponea chupuchupu kuzichapa baada...

READ MORE

SIRI IMEVUJA DIMPOZ, ZARI WALALA NYUMBA YA MONDI

 ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba,...

READ MORE

PETE YA UCHUMBA YA GIGY GUMZO

MREMBO anayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Gigy Money amedaiwa kuvishwa pete na mwanaume mwingine tofauti na Mojay ambaye...

READ MORE

 50 CENT AMKATAA MWANAYE

RAPA kutoka Marekani, 50 Cent ameingia kwenye headline kwa mara nyingine baada ya kumkana hadharani kijana aitwaye Marquise Jackson (21)...

READ MORE

KIDOA AELEZA SABABU UCHUMBA KUVUNJIKA

MSANII wa filamu na video queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ ameibuka na kueleza sababu za uchumba wake kuvunjika. Kidoa...

READ MORE

Exclusive: Baba Amjibu Mama Kanumba; Asema “Anaomba Rambirambi Baa!”- Video

WAKATI ni  miaka saba imekatika tangu tasnia ya filamu Bongo na taifa zima kwa jumla lipate pigo la kuondokewa na...

READ MORE

Mwijaku Afunguka: Alikiba Hajamuacha Mkewe / Diamond Hawezi Kuoa -Video

Muigizaji wa filamu Bongo, Mwijaku, ambaye kwa sasa anatamba na tamhiliya yake ya ‘Mahaba’, amepiga stori na Global TV na...

READ MORE

Ndoa ya Pipili Batili, Mchungaji Afunguka Mazito “Aape Tena” – Video

Miongoni mwa vitu vilivyowashangaza watu kwenye ndoa ya Mchekeshaji, MC Pilipili na mkewe Qute Mena, ni kitendo cha kula kiapo...

READ MORE

TUNDA KAMA MIMBA NISHABAMBIKIWA SANA

Muuza nyago maarufu kwenye video za Kibongo, Tunda amefunguka kuwa kama kubambikiwa mimba anaongoza kwani angekuwa na watoto zaidi ya...

READ MORE

MWANAHERI: SIJAFUATA PESA KWA MUME, NI MAHABA TU!

Yapo mengi ambayo yamezungumzwa kuhusu msanii wa filamu Bongo, Mwanaheri ahmed. Mengine yana ukweli lakini yapo ambayo ni uzushi. Waandishi...

READ MORE

Mama Kanumba Kumrudisha Wema kwa Mungu, Amtaja Steve Nyerere – Video

MAMA wa aliyekuwa staa wa Bongo Movie, marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa, amesema anatamani kukutana na malkia wa tasnia...

READ MORE

HATUA 4 ZA NDOA YAO MONDI, TANASHA WATIKISA AFRIKA

STAA wa Bongo Fleva anayefanya freshi Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mchumba wake, Tanasha Donna Oketch wameshaanza kutikisa katika...

READ MORE

WAKIWA KIMAHABA MSITUNI, BABA D, BABY MADAHA LIVE

KAZI na dawa! Baba wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Juma Abdul ‘Baba D’ amenaswa kimahaba msituni...

READ MORE

Mama Kanumba: Baba Kanumba Alikuwa Mchepuko Wangu Tu! – Video

MAMA wa aliyekuwa staa wa Bongo Movie, marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa, amesema hakuwahi kuolewa na baba wa mtoto...

READ MORE

Miss Universe Afunguka Alivyoifukuzia Ndoto Yake – Video

MSHINDI wa Pili wa Miss Universe Africa mwaka 2016/17, Lilian Loth, amefunguka namna alivyoanza kuitambua ndoto yake ya urembo na...

READ MORE

CHRIS BROWN KUPATA MTOTO WA PILI SOON

MTANDAO wa TMZ umeripoti kuwa mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya RnB, Chris Brown anatarajia kupata mtoto wa pili na...

READ MORE

WEMA ATOKA NA GONJWA GEREZANI

BAADA ya kutupwa Mahabusu ya Segerea jijini Dar kwa wiki moja, Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu amedai kutoka na...

READ MORE

Mashehe Wanaomuombea Wema Sepetu Waonywa

BAADHI ya wanazuoni wa Dini ya Kiislamu na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wamewaonya...

READ MORE

WAKINA NORA WAMESEPA NA SANAA YAO

Mwigizaji wa kitambo wa filamu za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amesema sanaa ya kweli na ya kufurahisha ya maigizo ilikuwa...

READ MORE

Barua yachelewesha dili la Mghana Simba

WAKATI mkataba wa nyota wa Simba, Nicholas Gyan raia wa Ghana ukikoma mwezi ujao, imethibitika kuwa beki huyo anasubiri barua...

READ MORE

Mbasha: Mimi na mwanangu ni vijana!

DAR ES SALAAM: Staa wa muziki wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha amefunguka kuwa anawashangaa wanaomsema vibaya anapojiachia na mwanaye, Elizabeth...

READ MORE

Kumbe Mchumba wa Ngwea Alisepa Zake!

Miaka sita baada ya kifo cha aliyekuwa staa wa muziki wa HipHop Bongo, Albert Mangweha ‘Ngwea’, imeelezwa kuwa aliyekuwa mchumba’ke,...

READ MORE

ZARI, MOBETO VITA MPYA!

MAPEMA wiki hii Mbongo- Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifunguka mengi kiasi cha kuibua vita mpya baina ya wanawake aliozaa...

READ MORE

Harusi ya MC Pilipili: Tazama Baby Wake Akipambwa – Video

Unaambiwa hayawi hayawi, mwishowe yamekuwa! ile siku ya harusi ya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanul mathias aka MC Pilipili na mchumba...

READ MORE

SKENDO YA KUMTAKA KIMAPENZI MCHUMBA’KE, HARMONIZE AMVAA BEN POL

DAR ES SALAAM: Kimewaka! Siku chache baada ya staa wa muziki wa Bongo Fleva, Benard Michael Paul Mnyang’anga ‘Ben Pol’...

READ MORE

Tundaman Kuachia Ngoma Soon! “Siwezi Kuwatungia Wimbo Yanga” – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ambaye alikua golikipa wa Timu ya Bongo Fleva ambayo ilishuka dimbani kuminyana na Global FC...

READ MORE

Jaguar Anyimwa Tena Dhamama, Kusota Mahabusu Siku 5

MBUNGE wa Jimbo la Starehe, Charles Njagua (Jaguar),  ataendelea kubaki mahabusu kwa siku tano katika kituo cha polisi cha Kileleshwa...

READ MORE

AUNT AFUNGUKA KUMWAGA CHOZI MAHAKAMANI

Staa wa sinema za kibongo, aunt Ezekiel amefungukia chozi lake alilodondosha mahakamani wakati shoga’ke, wema isaac Sepetu akisomewa mashtaka yake....

READ MORE

Send-Off: Usiku wa MC Pilipili na Qute Mena Watikisa

MSANII maarufu wa vichekesho Tanzania, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ ametikisa kwenye Send-Off ya mchumba wake, Neema Max ‘Qute Mena’ iliyofanyika...

READ MORE

KIBIBI APIGA CHINI WASIOJIONGEZA

Mwigizaji anayefanya poa kunako Tamthiliya ya Huba, getrude Richard almaarufu kibibi amesema unapoona una rafiki asiyejiongeza, dawa ni kumpiga chini....

READ MORE

MONDI AMPA MSALA KIBA!

DAR ES SALAAM: Weka pembeni nyimbo zake za mwaka huu za Tetema, The One na Inama, sasa ni zamu ya...

READ MORE

CHRIS BROWN AGOMA KUKABIDHI SIMU YAKE KWA WAPELELEZI

MWANAMUZIKI Chris Brown amekataa kukabidhi simu yake kwenye bodi ya upelelezi kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma za ubakaji dhidi...

READ MORE

KISHINDO NDOA YA BEN POL

DAR ES SALAAM: Ni kishindo! Kama alivyoahidi mrembo bilionea wa Kenya, Anerlisa Joseph Karanja Muigai kuwa ndoa yake na staa...

READ MORE

NISHA KIPAJI HAKIZEEKI

LICHA ya kupotea kwamuda mrefu kwenye fani, msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kipaji alichonacho cha...

READ MORE

HAMISA AAPA KUTOZAA TENA BILA NDOA!

BAADA ya kuzaa watoto wawili kabla ya kuolewa huku kila mtoto akiwa na baba yake, mwanamitindo na msanii wa Bongo...

READ MORE

T.I AKABIDHI TUZO YA NIPSEY KWA FAMILIA

RAPA Clifford Joseph Harris usiku wa kuamkia Jumanne, alikabidhi tuzo ya BET ya rapa mwenzake, marehemu Nipsey Hussle.  Katika tuzo...

READ MORE

Filamu ya R KELLY Yashinda Tuzo MTV

FILAMU ya “Surviving R Kelly” iliyoachiwa rasmi Januari 3,2019 ya mkongwe wa muziki wa RnB Ro R Kelly imefanikiwa kushinda...

READ MORE

MAMA MONDI AFUNGUKIA MADAI YA NDOA YAKE KUVUNJIKA

MAMBO ni motrooo! Siku chache baada ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa ndoa yake na mumewe, Maisala Shamte ‘Anko’ imevunjika, mama...

READ MORE

Jaguar Akamatwa Bungeni, Serikali ya Kenya Yamkana – Video

MBUNGE  wa Jimbo la Starehe, Nairobi Kenya, Charles Njagua ‘Jaguar’,  amekamatwa leo Juni 26, 2019 kwa amri ya Mkurugenzi wa...

READ MORE