×

Celebrities

Cardi B Apoteza Mamilioni Kwa Upasuaji

RAPA wa kike anayetikisa kunako Muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Cardi B amekiri kupoteza mamilioni ya shoo kisa kufanya...

READ MORE

 LULU AJIRI BODIGADI WA KIKE

 MWANAMUZIKI anayetamba na wimbo wa Mapopo ulio hewani kwa sasa, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’ baada ya pesa kumtembelea ameajiri bodigadi...

READ MORE

Snura: Watoto Wangu Wamenifundisha Maisha

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii ya Staa na Familia, kama ilivyo ada ya safu hii ni kuwasaka...

READ MORE

PENNY, HABARI YA NDOA NITASHANGILIA WENZANGU TU, MIMI HAPANA!

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusi Yetu kupitia Runinga ya Magic Swahili, Penieli Mwingilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa anafurahi anapoona wenzake wakifunga...

READ MORE

SIWEMA AFUNGUKA KUMUONA MTOTO WAKE

MZAZI mwezie na mwanamuziki mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay’, Siwema Edson amekanusha madai ya kutomtembelea mwanaye Cartes.  ...

READ MORE

PETIT MAN : NIKIOA, NISIOE KUNA MTU ANATESEKA?

Meneja wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamadi Manungwi ‘ Petit Man’ amefunguka kuwashangaa watu wanaomsakama kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefunga...

READ MORE

WEMA : SIJAZOEA HUU MWILI , NAPEPESUKA

Staa mwenye jina lake Bongo, Wema Abraham Sepetu amesema kuwa hata yeye mwenyewe huo mwili alionao hajauzoea hata kidogo maana...

READ MORE

TANASHA ANAVYOTEKETEZA MAMILIONI YA MONDI

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mchumba wake kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna ndiyo ‘kapo’ inayotikisa kwa...

READ MORE

Mazishi ya Mama Yake, Isha Mashauzi Afunguka: Hajaniachia Nyumba Wala Gari! – Video

MWILI wa msanii Bi Rukia Jumaa ambaye ni mama mzazi wa mwimbaji maarufu wa Taarab, Isha Mashauzi umezikwa jana Alhamisi,...

READ MORE

POSHY SILAZIMISHI SANCHI KUNIFAHAMU

Mrembo ambaye jina lake limekuwa kubwa mjini kutokana na umbo lake tata, Jacqueline Obeid ‘Poshy’ amemfungukia mrembo mwenzake, Jane Rimoy...

READ MORE

Lulu Diva: Nampenda Belle 9, nimemfanyia video

  MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ameweka kumpenda msanii mwenzake, Abdenego Damian ‘Belle 9’ kwa kusema alimsaidia...

READ MORE

CHUCHU: GABO NI ZAIDI YA FURAHA KWANGU !

CHUCHU Hansi amefunguka kuwa, kila anapopata nafasi ya kukutana na muigizaji mwenzake Salim Ahmed ‘Gabo’ anapata amani ya moyo kwani...

READ MORE

SAJENTI: NGUO FUPI HAZIMHARIBU MTOTO

MUIGIZAJI Husna Idd ‘Sajenti’ amesema kitendo cha yeye kumvalisha mwanaye nguo fupi hakimaanishi kwamba mwanaye ataharibikiwa kitabia.    Sajenti amesema,...

READ MORE

NDOA YA LULU SINTOFAHAMU

DAR ES SALAAM: Moja ya ndoa za mastaa Bongo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa ni ya msanii wa filamu, Elizabeth...

READ MORE

Kauli ya Kwanza Nzito ya Jacqueline kwa Marehemu Dkt. Mengi

MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe,  kwa mara ya kwanza...

READ MORE

MUNA: ULOKOLE SIYO KUJIBWETEKA

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi ambaye kwa sasa amemrudia Mungu, Rose Alphonce ‘Muna’ amesema watu wengi wanafikiri mtu akiokoka, basi muda...

READ MORE

POSHY RAMMY MSHIKAJI TU

SIKU chache baada ya kuonekana wakiongozana kama mtu na mpenzi wake katika futari maalum iliyoandaliwa na msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

TANSHA ATAJA SABABU ZA KUITOSA WCB

W AKATI ngoma yake ikiwa ‘hot’ katika redio mbalimbali nchini Kenya, demu wa staa wa Bongo Fleva, Tanasha Donna Oketch...

READ MORE

MENINAH AGEUKIA U-MC

SIKU chache baada ya kutangaza kugeukia kwenye uigizaji, msanii wa Bongo Fleva, Meninah Atik ameamua kugeukia pia kwenye ushereheshaji wa...

READ MORE

G Nako ahamia Kwa Watoto Wa Kike

WAKATI may 28 ilikuwa ni kilele cha maadhimisho ya Siku ya Hedhi Duniani, rapa anayefanya poa kutoka Kundi la Weusi,...

READ MORE

Kimenuka Tena! Mapacha wa P-Square Kuburuzana Mahakamani

WASANII maarufu nchini Nigeria, ambao ni mapacha Peter na Paul Okoye (P-Square) huenda wakaburuzana mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa Paul...

READ MORE

ROMA ATUPIA DONGO: UNAFUTURISHA WASIOFUNGA ILI UPOSTIWE?

RAPA maarufu wa Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’,  ametupa dongo kwa watu maarufu ambao wamekuwa wakifuturisha mastaa wenzao na wengine...

READ MORE

NEVER GIVE UP YA HARMONIZE NA ELIMU YA KUKATA TAMAA KIBWEGE!

usiku nikiwa ndani ya gari yangu maeneo ya Mwenge jijini Dar kuelekea nyumbani kwangu Goba. Ni eneo linalosifika sana kwa...

READ MORE

Rayvanny kuimba nyimbo 25 Dar Live

ALICHOPANGA kufanya Rayvanny siku ya Idd Pili pale Dar Live kitalisimamisha jiji, kwa sababu atapiga nyimbo zake 25 bila kupumzika....

READ MORE

Maisha ya Sister Fay Kuanikwa Akifariki

STAA wa muziki wa Hip Hop na filamu Bongo, Faiza Omary ‘Sister Fay’ ameibuka na kusema kuwa maisha yake halisi...

READ MORE

Farid Uwezo Alivyochezea Kichapo kwa Kudokoa Maandazi

MSANII wa filamu na ‘Kameraman’ maarufu kwenye maandalizi ya tamthilia ya Kapuni na filamu mbalimbali za Kibongo, Farid Jamali ‘Farid...

READ MORE

AUNT: HAMJUI TU, COOKIE NDO TAA YANGU

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu. Kawaida ya safu hii ni kuwadadavua mastaa mbalimbali wa Bongo na kujua maisha yao halisi...

READ MORE

Kanye, Kim, Wadaiwa Kufoji Cheti cha Kuzaliwa

WAKATI wakisherehekea kutimiza miaka mitano tangu wafunge ndoa na kubahatika kupata watoto wanne, utata umeibuka kwa mtoto wao aliyezaliwa hivi...

READ MORE

KIDUME AJITOSA KUZAA NA WEMA

BAADA ya mwigizaji bei mbaya Bongo, Wema Sepetu kusaka mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio, kidume cha mbegu, amejitokeza na...

READ MORE

Fahyma Atamba Anachompa Rayvanny

WAKATI wengine wakisubiri penzi la Mbongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ na mama mtoto wake Fahyma waachane, mambo yamekuwa tofauti kwani...

READ MORE

GIGY ACHOMOA BIFU NA MO J

MSANII wa kizazi kipya, Gifty Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa hana bifu lolote na mzazi mwenzake Mourad Alpha ‘Mo j’...

READ MORE

Mastaa kumwangushia Johari pati…

WATU wajipange kukuandalia pati ya kukupongeza kwa kukaa mwezi mmoja bila kunywa pombe; maana yake nini, kama wewe si ‘chapombe’?...

READ MORE

ZARI KUHAMA KIBABE MJENGO WA MONDI

DAR ES SALAAM: MWENYE pesa si mwenzako! Hayo ni maneno ya Wimbo wa Mtu Pesa wa Bendi ya The African...

READ MORE

JEURI KAMA YOTE, DIMPOZ AWAVIMBIA KIBA, MONDI

DAR ES SALAAM: Dunia inakwenda kasi sana na ni vigumu mno kuisimamisha! Miezi kadhaa baada ya afya yake kuyumba kisha...

READ MORE

TIFFAH AIWEKA PABAYA FAMILIA MONDI

DAR ES SALAAM: MTOTO wa nyoka ni nyoka! Ndivyo unavyoweza kusema. Kama ilivyokuwa kwa baba yake, staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

IFTAR ya HARMONIZE: DIAMOND, MBOSSO, RAYVANNY, JOKATE NDANI! – VIDEO

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka WCB Wasafi, jana Alhamisi, Mei 23, 2019 aliandaa hafla ya kufuturisha katika Ukumbi wa...

READ MORE

Kisa Kukosoa Maandiko ya Biblia, Nabii Amtaka Nikki Wa Pili Atubu – Video

Nabii wa Kanisa la Ufukufu kwa Bwana amemtaka Rapa maarufu nchini, Nikki Wa Pili kutubu kutokana na kauli yake aliyoandika...

READ MORE

BATA LA YOUNG DEE MAREKENI KWELI…BONGO BAHATI MBAYA

Maisha ndo’ hayahaya, so n’taenda wapi, Bongo bahati mbaya, Hollywood yetu Masaki, Usishangae natamba, Halafu we’ hauna chambi, mi mwembamba...

READ MORE

IYOBO AINGIA MITINI BIRTHDAY YA COOKIE

DAR ES SALAM: Dansa maarufu anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo ‘Moze’, anadaiwa kuingia mitini kuhudhuria birthday...

READ MORE

KUTOKA ‘SEBULENI ‘ HADI VIWANJANI

MAISHA yanakwenda kasi kweli! Wasanii wengi kwa sasa wanakimbizana na dijitali! Leo hii huyu anakimbiza kupata views kwenye Mtandao wa...

READ MORE