×

Celebrities

DULLY AFURAHIA HARMONIZE ‘KUMKOPI’

MKALI wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amefunguka juu ya kutumiwa kwa melody ya wimbo wake wa muda mrefu...

READ MORE

TAHIYA AMSUSIA BWANA MOBETO

VIDEO Queen Tahiya John ambaye hivi karibuni alifunguka kuchukuliwa bwana na mwanamitindo Hamisa Mobeto ameonekana kumsusia bwana huyo baada ya...

READ MORE

ODEMBA KUIBUKA SIKU YA WANAWAKE

MWANAMITINDO maarufu ndani na nje ya Bongo, Miriam Odemba anatarajia kuwa mmoja wa wanawake watakaohudhuria katika Onesho la Tanzanite Women...

READ MORE

MRISHO MPOTO AMUITA DIAMOND AMZIKE RUGE

MSANII wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, maarufu kama ‘Mjomba’ amevunja ukimya na kumtumia ujumbe wa wazi msanii...

READ MORE

WEMA AELEZA ALIVYOPIGWA MILIONI 64

 UKURASA mpya! Mwanadashosti kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameeleza kuwa ameanza upya maisha kutokana na misukosuko aliokutana...

READ MORE

ALIKIBA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na mkurugenzi wa Rockstar, Alikiba amethibitisha kupata mtoto wa kiume baada ya mke wake,...

READ MORE

MJADALA HOT: MSANII KUBISHANA NA WAZIRI NI SAHIHI?

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, jana aliliamuru Jeshi la Polisi na Baraza la Sanaa la...

READ MORE

HATIMAYE DUDU BAYA ANASWA NA POLISI

KAMANDA wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema msanii, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha...

READ MORE

ESMA AWA MBOGO ZARI KUTELEKEZEWA WATOTO!

Esma Khan ambaye ni dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amegeuka mbogo kwelikweli baada ya mwanahabari wetu...

READ MORE

KALA JEREMIAH: Pengo la Ruge Haliwezi Kuzibika Kabisa – Video

MWANA Hip Hop nguli Bongo, Kala Jeremiah, amesema kamwe pengo la aliyekuwa Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba haliwezi...

READ MORE

Maneno Mazito ya MAMA SALMA KIKWETE Msibani kwa RUGE – Video

  MKE wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete, jana aliwasili msibani nyumbani kwa Baba mzazi wa...

READ MORE

LULU AVUNJA REKODI YA ZARI

DAR ES SALAAM: Kamwene Lulu! Ndivyo unavyoweza kumsalimia mwanadada mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ukikutana naye...

READ MORE

WOLPER Amlipua DUDU BAYA / DIAMOND Hajamposti RUGE Mhm! – Video

Muigizaji Jackline Wolper, ametoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kuomboleza msiba wa Ruge Mutahaba, na kuachana na maneno ya...

READ MORE

Steve Nyerere: Dudu Baya Aombe MSAMAHA au Atengwe – Video

Muigizaji nguli wa filamu nchini, Steve Nyerere, amesema kama kuna msanii anamzungumzia vibaya marehemu Ruge Mutahaba kwa sasa jkama anavyofanya...

READ MORE

MWALA ADATISHWA NA MADEMU WA KIBONGO

MSANII wa filamu za maigizo kutoka nchini Kenya maarufu kwa jina la Mwala ambaye Jumamosi iliyopita alikuwa ndani ya Ukumbi...

READ MORE

SZIFF ILIVYOWALIZA MASTAA BONGO

RICHARD BUKOS USIKU wa kuamkia juzi (Jumapili) Jiji la Dar es Salaam lilisimama kwa muda kushuhudia sherehe za utoaji wa...

READ MORE

DIAMOND HUTAPATA BABA MZAZI MWINGINE, EPUKA HII LAANA!

NIMESHITUSHWA sana na hali aliyofikia mzazi wa msanii Diamond. Namzungumzia Abdul Juma anayesumbuliwa na matatizo ya miguu yake ambayo imevimba...

READ MORE

SIKU 7 BAADA YA KUOANA… NDUGU WACHARUKA NDOA YA KINYAIYA

MAMBO ni mengi tatizo ni muda! Siku saba baada ya kufunga ndoa na kuibua mjadala mzito, mtangazaji na mwigizaji maarufu...

READ MORE

Orodha ya Washindi Tuzo Za Oscar 2019

  USIKU wa Jumapili, Februari 24, 2019,  mjini Los Angeles, Marekani, kulikuwa na utoaji wa tuzo za filamu maarufu duniani...

READ MORE

WASANII WALIOIWAKILISHA GLOBAL TV TUZO ZA SZIFF WAAHIDI MAKUBWA

Wasanii wa filamu za maigizo ambao michezo yao inarushwa na luninga ya Globa TV, Sango Johanes na Rhoida Richard ambao...

READ MORE

YAJUE MAISA YA UTOTONI YA SNURA

SNURAMWANAMUZIKI wa miondoko ya mdu­ara, Snura Mushi ameifunua siri ambayo wengi hatuijui, eti kwenye makuzi yake alikuwa ni mvivu sana...

READ MORE

ALIYEZAA NA GOD ZILLA AIBUKA , ANENA

DARE SALAAM SIKU chache baada ya kifo cha msanii wa Hip Hop, Golden Mbunda ‘Godzilla’ kutokea, mzazi mwenzake, Desta Minde...

READ MORE

THEA, MIKE SANGU MAHABA BADO YAPO

MASTAA wa filamu za Kibongo, Mike Sangu na Salome Urassa ambao walikuwa ni mume na mke kabla ya kutengana kwa...

READ MORE

RAYVANNY AWASHANGAA WANAOSEMA ANAJICHUBUA

MSANII wa lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Ray­mond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amewashangaa wanaomsema vibaya kuwa anajichubua, kitendo ambacho hajawahi kukifikiria...

READ MORE

NYOTA WAZIRI: MFUNDAJI ALIYEDUMU NA NJENJE KWA MIAKA 30

Nyota Waziri ni mmoja wa wanamuziki wa kike wakubwa nchini ambaye alianza kufahamika kupitia Kilimanjaro Band ‘Njenje’ aliyoanza nayo tangu...

READ MORE

WASANII GLOBAL TV KUIPEPERUSHA BENDERA FAINALI SZIFF

LEO ndiyo leo! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa, ya utoaji wa tuzo za Sinema Zetu Fil festival (SZIF)...

READ MORE

MC MAARUFU BONGO AKWAA SKENDO YA UTAPELI

PAMELA Mboma ‘Mc Pam Tony’ ambaye ni mshereheshaji wa kwenye maharusi na shughuli mbalimbali, amekwaa skendo ya kudaiwa kutapeli kiasi...

READ MORE

KIM NANA APATA KIGUGUMIZI ‘KUBANJUKA’ NA MTANGAZAJI

MUUZA nyago maarufu Bongo, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye amewahi kutajwa kulionja penzi la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

UWOYA:USITHUBUTU KUOLEWA NA USIYEMPENDA

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameibuka na kuwaasa wanawake kuwa kamwe wasikurupuke kuolewa na wanaume kama moyo wao...

READ MORE

SHETTA KUTOKA KUTENGWA NA BABA HADI KUMILIKI TAASISI

YAWEZE-KANA ulikuwa hujui! 2007 katika mitaa ya Mchiki-chini Boma pande za Ilala jijini Dar kulikuwa na dansa mmoja hatari ambaye...

READ MORE

PRETTY KIND AGEUKIA GOSPO

MSANII wa filamu na muziki wa Kizazi Kipya, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amegeukia kuimba muziki wa Injili ‘Gospo’ kwa kile...

READ MORE

ZARI AJILIPUA KAMA MOBETO

IMEFICHUKA! Alichokifanya zilipendwa wa mwanamuziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (30), Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ (40) kimeendelea...

READ MORE

UWOYA NOMA AWAKALISHA WEMA, AUNT

HII ni noma! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya kufanya kufuru ya aina yake...

READ MORE

 WASANII WAGUSWA NA UGONJWA WA RUGE

ZIKIWA zimepita siku kadhaa tangu kaka wa Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, Mbaki aeleze hali ya...

READ MORE

IRENE PAUL: Situmii Gharama Kujichubua!

MWIGIZAJI mkali anapokuwa mbele ya kamera, Irene Paul ameamua kuwahamasisha mastaa na watu mbalimbali kuepuka gharama ya kujitengeneza badala yake...

READ MORE

ZAMARADI AELEZA SABABU ZA KUMCHANGIA RUGE

UBINADAMU kwanza! Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha filamu cha Take-One kilichokuwa kikirushwa na Televisheni Clouds, Zamaradi Mketema ‘Zama’ ambaye pia...

READ MORE

PENNY AJIPODOA KUFICHA SHIDA ZAKE

KUMBE! Kama ulikuwa hujui, basi chukua hii kutoka kwa mtangazaji wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Magic Swahili, Penniel...

READ MORE

NDOA YA KINYAIYA, KAPUYA…NANI ANATESEKA ?

DAR ES SALAAM: Gumzo la aina yake limeibuka mitandaoni baada ya picha ya ndoa ya Waziri wa Zamani wa Ulinzi...

READ MORE

MAKONDA AMTEMBELEA CASSIAN WA BSS MUHIMBILI – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Alhamisi, Februari 21, 2019 amemtembela aliyekuwa Mshindi wa Bongo Star...

READ MORE

Tuzo za Brit zatua kwa Drake, Ariana, Ed Sheeran & The Carters

TUZO kubwa duniani za 39 za Brit Awards 2019 (mastercard) zilizofanyika nchini Uingereza, zimemalizika vizuri usiku wa kuamkia leo, Februari...

READ MORE