×

Celebrities

MASTAA BONGO: UTAJIRI HAUAMBUKIZWI KUPITIA TENDO LA NDOA

KUNA mwanaume mmoja alikuja nchini miaka michache iliyopita na ‘kuwaburuza’ dada zetu mastaa kama akatavyo. Kwa masikio yangu alinitamkia kuwa...

READ MORE

KWA MABADILIKO HAYA..LULU WA LEO KABADILIKA AU KABADILISHWA ?

HAPA duniani kila binadamu ameumbiwa matatizo, yaani kila mmoja yanaweza kumpata na yanapomtokea mtu inakuwa ni njia nzuri ya kujifunza...

READ MORE

KAJALA AANIKA MAUMIVU MWANAYE KUFELI

STAA mkali wa filamu za Bongo Muvi, Kajala Masanja amefungukia baadhi ya kejeli na dharau anazorushiwa mtoto wake kwenye mitandao...

READ MORE

Kikwazo Ambacho Tanasha Amemwekea Diamond Kuhusu Ndoa

PAMOJA na kukaribishwa ukweni jijini Dar huku ndoa ikisubiriwa kwa shauku kubwa, ghafla tu mchumba wa staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Ebitoke na Skendo ya Kujichubua

BAADA ya habari kuzagaa kwamba kwa sasa anatumia mkorogo (anajichubua) ndiyo maana amekuwa mweupe ghafla, mchekeshaji maarufu Bongo, Anastazia Exavery...

READ MORE

STEVE AJIGAMBA KULINDWA NA JB

MUIGIZAJI kutoka Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ usiku wa kuamkia Jumatatu alizua gumzo baada ya kujigamba ukumbini kuwa bodigadi...

READ MORE

KAJALA ANAVYOKOSEA KUMGEUZA PAULA SHOSTI YAKE !

KUFAULU mtihani wa kidato cha nne kwa mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Sonia George aliyepata Division One,...

READ MORE

IRENE – “Kajala Mtoto Atajiua Huyo, Mtoe Mitandaoni”- VIDEO

Muigizaji mahiri Bongo, Irene Paul amemshauri muigizaji mwenziye, Kajala Masanja, amtoe mtoto wake Paula mitandaoni na kumzuia kabisa kujihusisha na...

READ MORE

Pumzika Mama Abdul, Hivi Ndivyo Alivyozikwa – VIDEO

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama Abdul leo Januari 28, 2019...

READ MORE

Rekodi Mpya Ya Davido Sambamba Na Kanye West, Drake, Beyonce (VIDEO)

  STAA wa muziki wa Afro Pop kutoka Nigeria, Davido, usiku wa kuamkia Januari 28  mwaka huu ameweka historia ya...

READ MORE

MARY MAWIGI, IRENE PAUL WACHAPANA LOKESHENI

STAA wa filamu za Ki­bongo, Mary Mawigi na mwenzake Irene Paul hivi karibuni walidaiwa kupigana lokesheni walipokuwa wakirekodi mwendelezo wa...

READ MORE

STEVE NYERERE: PAULA Amefeli / Msinifananishe na MANARA – Video

Muigizaji wa Bongo Movie, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’, amesema yeye ni ngoma nzito hivyo watu wasimfananishe na Msemaji wa Klabu...

READ MORE

Hii Ndo Sababu ya Sister Fay Kutomposti Tena Mumewe

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faidha Omari ‘Sis­ter Fay’ ametaja sababu ya kuacha kumposti mume wake Elias Njau ak­idai...

READ MORE

Ubwabwa na Maharage Vyataka Kutoa Roho Mbosso

MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliye chini ya Lebo ya WCB, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso’ amefunua siri yake kwamba...

READ MORE

Monalisa atamani uwepo wa Baba Sonia

MUIGIZAJI maarufu Bongo, Yvonney Cherry ‘Monalisa’ baada ya mwanaye Sonia George Tyson kufaulu kidato cha nne na kupata daraja la...

READ MORE

GARDNER AFUNGUKA KURUDIANA NA JIDE

SIKU zote kuna usemi usemao penzi la kweli halifi! Hivyo ndivyo inavyoonekana kwa ‘maselebriti’ wawili wa Bongo, Mtangazaji wa Radio...

READ MORE

LULU AUZA NGUO ZAKE KUSAIDIA WASIYOJIWEZA

STAA wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo Jumamosi, Januari 26, 2019 amewakabidhi nguo zake watu walionunua katika zoezi lake la...

READ MORE

Monalisa Baada ya Mwanae Kufaulu Kaongea “Baba Ake Kafariki” -Video

 Kitu pekee kinachompa faraja mzazi ni kuona maendeleo ya mtoto wake siku hadi siku hususani kwenye masomo, ndivyo ambavyo...

READ MORE

PAPII KOCHA KURUDI NGWASUMA

MKONGWE wa Muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ amesema kuwa anatarajia kujiunga na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa...

READ MORE

Diamond Platnumz Kolabo Na Rapa Tyga ni Milioni 300.7 (VIDEO)

  MSANIIwa Tanzania, Naseeb Abdul Juma,  maarufu kama Diamond Platnumz, amefunguka juu ya gharama za kufanya kazi na rapa mkubwa...

READ MORE

FAHYMA ACHEKELEA RAYVANNY KUFUNGULIWA

  MZAZI mwenziye na Mbongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma amefunguka kufurahishwa kwake na kitendo cha baba mtoto wake huyo...

READ MORE

WEMA ALA SHAVU ZANZIBAR

LICHA ya kusemekana kwa sasa ustaa wake umepungua, staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu amekula shavu baada ya kualikwa kama...

READ MORE

MAISHA YAKE YA SASA… DAKTARI AMUONYA ZARI!

DAR ES SALAAM: Kwani anateseka? Kufuatia tetesi za mitandaoni kuwa mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

MUNA, BABA PATRICK VITA MPYA

DAR ES SALAAM: Baada ya sarakasi za hapa na pale kisha ukimya kutawala, hatimaye mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose...

READ MORE

Meek Mill, Jay-Z Waanzisha Taasisi Kusaidia Wafungwa

  MARAPA wawili wa Hip Hop wa Marekani, Jay Z na Meek Mill,  wameanzisha taasisi ya kutoa msaada wa kisheria...

READ MORE

Rapa DMX Kutoka Gerezani Januari 25

  RAPA wa Marekani, Earl Simmons, maarufu kama DMX anategemewa kuachiwa huru siku ya ijumaa January 25 baada ya kutumikia...

READ MORE

KIM NANA HAUZI SURA BILA MILIONI MOJA

MUUZA nyago matata kwenye video za wanamuziki wa Bongo Fleva, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amefu-nguka kuwa kwa sasa hawezi kutumika...

READ MORE

MAPENZI SIYO KIPAUMBELE KWA DIANA

MREMBO wa Bongo Movies, Diana Kimari amesema kuwa yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi, lakini hautilii maanani uhusiano wake huo kwani...

READ MORE

Alichokifanya Diamond Leo Baada Basata Kumfungulia

Msanii anayefanya poa kwenye gemu ya muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema kwamba anamshukuru Mungu baada ya...

READ MORE

Wiz Khalifa Anunua Mjengo Mpya Wa Tsh Bilioni 6.9

  RAPA Mmarekani Wiz Khalifa amenunua mjengo mpya uliopo pande za Los Angeles, Marekani,  kwa kudondosha kiasi cha Dola za...

READ MORE

KAJALA SASA AUCHUKIA MWILI WAKE

MREMBO kutoka Bongo Movies, Kajala Masanja amefunguka kuwa kati ya vitu ambavyo anavichukia kwa sasa ni pamoja na mwili wake...

READ MORE

MAMBO 5 USIYOYAJUA KUHUSU TANASHA

“NI mwa-nam-ke pekee aliyenionesha yupo makini na ana sifa zote za kuingia naye kwenye ndoa na sasa ni rasmi ninatangaza...

READ MORE

TANZIA: NGULI WA MUZIKI AFRIKA, OLIVER MTUKUDZI AFARIKI DUNIA

MKONGWE wa muziki wa Jazz Barani Afrika, Oliver Mtukudzi (66) ‘Tuku’ amefariki dunia katika Hospitali ya Avenues Clinic, Jijini Harare...

READ MORE

Kwa Nini Lulu Ameamua Kuuza Nguo, Viatu Vyake?

  WAKATI Siku ya Wapendanao — February 14 mwaka huu —  inakaribia,  staa wa filamu,  Elizabeth Michael Lulu,  amekuja na...

READ MORE

MOBETO AKOLEZA SKENDO YA KUFUMANIWA ZANZIBAR

SIKU chache baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto kukutwa na skendo ya kufumaniwa na bwana wa mtu ambaye jina...

READ MORE

Polisi Waamua Kuhusu Chris Brown Akituhumiwa Kubaka

  MWANAMUZIKI wa Marekani,  Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown,  ameachiwa huru na polisi bila dhamana jijini Paris, Ufaransa, ...

READ MORE

AUNT AFUNGUKIA ‘TATUU’ YAKE YA PAJA

STAA mwenye mvuto Bongo Muvi, Aunt Ezekiel amefungukia ‘tatuu’ aliyoichora pajani kuwa anashangaa watu wanavyoijadili alichoraje kwani kwake ni kitu...

READ MORE

POSHY AWAJIBU WANAOANDAMA SHEPU YAKE

BAADA ya madai kusambaa kuwa mrembo anayetingisha jiji kutokana na umbo lake namba nane, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ ametengeneza umbo...

READ MORE

Queen Darlin Amchana Tanasha!

  Siku chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kumtambulisha nyumbani kwao mchumba wake Tanasha Donna...

READ MORE

Mwanamke Aeleza Alivyobakwa Na Chris Brown

  MSANII wa Marekani,  Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown,  anaandamwa na tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri...

READ MORE